IfNot WhyNot
Senior Member
- Aug 21, 2013
- 144
- 257
Mhh tajiri namba moja duniani ndo awe muongo muongo??? Na wanasema anaweza akawa ndio trillionaire wa kwanza duniani?? Sidhani kama unayosema ni kweliHuyo jamaa hamna kitu, yuko overrated sana. Ameshakuja na blah blah kibao za kiuvumbuzi lakini kiuhalisia hakuna kitu kinachofanikiwa.
Kiufupi Elon Musk ni muongo muongo, mjanja mjanja na mwizi kimtindo.