Tatizo letu pia lipo kwenye hizi hizi imani zetu. Mpaka leo kuna watu wanatoa ushuhuda kwenye maredio kwamba kuna mafuta ukipaka kama ni kipofu unaona. Mafuta ya Tsh 2000 tu huko kwa Nabii fulani.Ee Mungu tuonee huruma na sisi wa Africa ili IQ zetu zipanuke tupate kufanya yanayofanywa na wenzetu.
Hiyo mifumo yao ni hatari na haifai kabisaKuna magaidi wenye upofu??
Tusisahau na kuboresha app za kampuni za kukopesha unazokopa 20,000 ila unapewa 15,000 urudishe 35,000 ndani ya nchi yenye mamlaka, sheria na sera za fedha ili wataalamu wetu wakope wafanye uvumbuzi.Tumalize kwanza kuhakikisha wanafunzi wetu wa shule wana matundu ya kutosha ya vyoo na wanakula chakula bora mashuleni sio makande na ugali maharage tu.
Mfumo wote wa Musk ni wakijinga , kuanzia chip yake mpaka hiko kifaa ...Ukitumia tayari unaweza kufanywa chochote kile kwa mda wowote ule.Ningeshangaa nisingekutana na maoni ya Wanasayansi wa Tegeta.
Sasa wew unafaida gani duniani Zaid ya kutumalizia oxygen tu........Mfumo wote wa Musk ni wakijinga , kuanzia chip yake mpaka hiko kifaa ...Ukitumia tayari unaweza kufanywa chochote kile kwa mda wowote ule.
i always say, kama afrika tusipo amka. basi ni haki yetu kufanyiwa chochote. Hii neuralink toka inaanza tangazwa mwanzoni wengi walidhani mzaha lakini mdogomdogo inakua kitu halisi sasa. Muafrica utakuja msikia tu wanataka watuue, kama kweli wanataka watuue na sisi tuanze kazi sasa ya kujilindaHabari njema hii kama kawaida tech ikifanikiwa tatizo jipya litaibuka.
Miaka 30 ijayo usishangae Africa tukapewa misaada ya kuona kwa vipofu walioongezeka sana kwa masharti fulani fulani.
Teknolojia ya baba yako au una hela ya kununua kweli wewe kapuku !!?Sasa wew unafaida gani duniani Zaid ya kutumalizia oxygen tu........
Hahaha. Kwamba Wanataka kutuua siyo?i always say, kama afrika tusipo amka. basi ni haki yetu kufanyiwa chochote. Hii neuralink toka inaanza tangazwa mwanzoni wengi walidhani mzaha lakini mdogomdogo inakua kitu halisi sasa. Muafrica utakuja msikia tu wanataka watuue, kama kweli wanataka watuue na sisi tuanze kazi sasa ya kujilinda
Tuachane na dini ndo akili zitakua...Ee Mungu tuonee huruma na sisi wa Africa ili IQ zetu zipanuke tupate kufanya yanayofanywa na wenzetu.
Kabisa yaani, jamaa hajawahi kuwaza vitu vidogo kamwe na ndio yupo tofauti sana kuanzia harakati zake za Mars etcHili jamaa linapenda solution ngumu ndio maana linapeta
ndo maneno ya watanzania wengi miaka yote.Hahaha. Kwamba Wanataka kutuua siyo?
Unawekewa chip , unakuwa controlled ikitokea ukahackiwa utafanya nn ? Kucontrol binadamu mpaka kuweza kucontrol conscience yake ni hatari sana ...Japo siamini watu wa NWO ila naanza kupata mashaka .Hahaha. Kwamba Wanataka kutuua siyo?
Kule mnapouziwa Maji na chumvi ya upako,hivyo vitu haviwezi kumfanya kipofu akaona?Allahu Akbar; Allahu Akbar; Allahu Akbar!
Shule tunaenda kusoma, sio kula wala kunyaTumalize kwanza kuhakikisha wanafunzi wetu wa shule wana matundu ya kutosha ya vyoo na wanakula chakula bora mashuleni sio makande na ugali maharage tu.
🤓🤓 DadeQ!Kwa hiyo hiki kichwa Nappe ndo alitaka kije mezani wajadiliane? Kuna watu wana mizaha sana.
Wewe umeacha dini una lipi la kueleta matokeo kwenye jamii? Umelazimishwa kufuata dini ?Tuachane na dini ndo akili zitakua...
Ishu za vipofu zipo mda sana , tena sana nuerolink wana mpango wa kando kabisa ...Hapo mtu atakuwa na uoni usio wa asili .Kwa hiyo hiki kichwa Nappe ndo alitaka kije mezani wajadiliane? Kuna watu wana mizaha sana.
Anza wewe na hiyo kansa na kifo,Ishu za vipofu zipo mda sana , tena sana nuerolink wana mpango wa kando kabisa ...Hapo mtu atakuwa na uoni usio wa asili .
Wangeanza na kansa na mpango wao wa kufufua watu ...Acheni kupumbazwa aguse kansa na kifo aone ....