Elon Musk azikosoa vikali ndege vita za F-35 na mradi mzima wa utengenezaji wa ndege hizo

Kuna nchi fulani kazi yake ni kucopy tu
Ungekuwa unajua kutofautisha kati ya copy and paste na innovation wala usingeandika hiki ulichosema

Huwezi kufananisha J-35 ina more powerful twin engine na better kwenye stealth marvel, software na F-35 ambayo ni single engine setup plus engine and software issues
 
Sijataja nchi lakini
 
Kama F-35 haina lolote tuonyeshe scenario ni ndege gani ya kuipiga F-35.

Kama manned F-35 iliyoanza kazi 2015 ni upuuzi na drones ndio ujanja, tueleze kwanini hao Wachina unaoonyesha wana swarms of drones bado wanaunda J-20 ambazo ziliikuta F-35 na mwaka huu wamezindua mock up ya Baidi, ambayo probably itakuwa operational miaka ya 2030s na mwaka huu wameonyesha J-35 inakaribia kuingia kwenye matumizi?

Yani kwamba Musk na nyinyi mnajua ndege manned ni upuuzi, kwa kutazama drones za Wachina. Ila Wachina hao mnaotazama drones zao bado wana projects za ndege mannned na stealth 3.

J-20
J-35
Baidu

Nyinyi mnajua stealth fighter yenye rubani ni upuuzi ila Urusi wanaendelea kutoa Su-57 na wana project ya Su-75 itakuwa na rubani na itakuwa kwenye soko kwenye late 2020s au early 2030s.

Kwahiyo Waturuki wanaounda stealth and manned TAI TF Kaan ni viazi, nyinyi wajanja. Wajapan wanaounda Mitsubishi F-X stealth and manned wajinga. Waingereza wanaounda BAE Systems Tempest stealth and manned wapuuzi. South Korea wanaounda stealth & manned KF-21 Boramae wendawazimu.

Nyinyi mmesoma Military Academy gani inayopinga kila jeshi kubwa duniani?
 
Ulimwambia kwa kutumia facts zipi? Ukipinge kitu sababu ya kutokipenda unataka watu wakukubalie tu.
Unapozi diss unatumia grounds zipi? Hivi unaijui F-35 wewe? Au una hata ka Idea ka silaha?
 
Yote ni blue print ya f-35 hakuna unique hapo juzi kwenye airshow ilikuwa ina mwaga mimoshi halafu haina nusu miezi 3 tangu izinduliwe
Wavimba macho wa kwabibi nyau mnakelele sana
 
Picha linaanza tu F-35 ina shida kwenye engine

Na mpaka leo hakuna maboresho yaliyofanywa kwenye engine
 
Mjomba achana nao hawa machokuvimba wa kwa mfuga mbwa hawana wanachokijua
Kelele tu
 
Yote ni blue print ya f-35 hakuna unique hapo juzi kwenye airshow ilikuwa ina mwaga mimoshi halafu haina nusu miezi 3 tangu izinduliwe
Wavimba macho wa kwabibi nyau mnakelele sana
F-35 hiyo hapo ikimwaga moshi engine ni takataka humo
Your browser is not able to display this video.



Na wewe nionyeshe picha au video ya J-35 yenye engine ya WS-19 au WS-21 ikitoa moshi
 
Dunia ya sasa iko kwenye innovation mzee

Hujasikia hivi karibuni nchi za Ulaya zinapanga zipate tech transfer ya EVs, EV battery na green tech kutoka China?
China imechukua vingapi kutoka kwao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…