Uko vizuri halafu hujui Maisha club imehama muda mrefu??!!! By kesho pale watakuwa washazungusha mabati kuvunja lile jengo tayari kupandisha tower mpya.Hahaha!kama kuna sehemu yoyote ya jiji hili aulize tu niko vizuri kulijua nje ndani.
Inabidi jamaa ajue kuwa mtu huwezi kujua kila kitu at once..Inawezekana anakaa dsm lkn hayupo updated kama anavyodhania
Posta,nafikiri hipo karibu na PPF tower,barabara mojaEmbassy Hotel iko wapi?
Kaka usiangaike kumwelekeza,huyu anataka umweleleze kupitia hii njia ya msasani(CCBRT) ndo anaonekana kaikaririSasa Maisha club nimebugi wapi?unajua shule ya sekondari Oysterbay ilipo?ngoja nikuelekeze utaelewa tu,ukitoka St.Peter kabla mataa ambayo sasa hayapo unanyoosha hiyo barabara kuna hotel jina limenitoka sasa kabla hujafika hicho kilima na kabla ya kituo cha mafuta Puma na ni upande huo huo wa shell ndipo maisha ilipo,kuna watu watasaidia ninachokwambia.
Ndio mkuu jamaa wameshaniambia...Posta,nafikiri hipo karibu na PPF tower,barabara moja
Duh!!!! Jambo usilolijua..usikariri kiongozi..Kaka usiangaike kumwelekeza,huyu anataka umweleleze kupitia hii njia ya msasani(CCBRT) ndo anaonekana kaikariri
Tangu lini imeamishwa makumbusho???Mkuu Maisha Club now ipo jengo la LAPF tower pale makumbusho.. na ipo underground so inaitwa Maisha Basement.
Haaaaaaaaaaaaaa nilikuwa sipo update bana maana kitambo sana sipo dar,nipo mkoani nakula matunda ya nchi haaaDuh!!!! Jambo usilolijua..usikariri kiongozi..
Haha h sawa kiongozi.. Mwenzako kanibishia hadi mwisho kakimbia...mimi nilikubali kuwa sijui ilipo embassy hotel japo nimefanya kazi hapo bustani karibu na ifm kwa zaidi ya mwaka...Haaaaaaaaaaaaaa nilikuwa sipo update bana maana kitambo sana sipo dar,nipo mkoani nakula matunda ya nchi haaa
Toka mwaka jana kiongozi..Tangu lini imeamishwa makumbusho???
Mjini kila siku vitu vinachange,nakumbuka tu iliunguaga wakaikarabati upya lakin sikuwa na taarifa kuhusu kuamishiwa makumbusho,...nachojua makumbusho kitambo kulikuwa na mzalendo pub na kila ijumaa kulikuwa na jide paleHaha h sawa kiongozi.. Mwenzako kanibishia hadi mwisho kakimbia...mimi nilikubali kuwa sijui ilipo embassy hotel japo nimefanya kazi hapo bustani karibu na ifm kwa zaidi ya mwaka...
Kaka kweli mkoani kumenoga.. Mzalendo sasa hivi haipo tena pale kuna jengo linapandishwa pale...Mjini kila siku vitu vinachange,nakumbuka tu iliunguaga wakaikarabati upya lakin sikuwa na taarifa kuhusu kuamishiwa makumbusho,...nachojua makumbusho kitambo kulikuwa na mzalendo pub na kila ijumaa kulikuwa na jide pale
Duh!!kweli hatare sanaaa,mzalendo palikuwa poa sanaaa na zile kwato style music za yule dj haaaa,so yule dj yupo wapi kwa sasa??na hile restaurant pale chini millinium tower hipo pale au imehama pia???Kaka kweli mkoani kumenoga.. Mzalendo sasa hivi haipo tena pale kuna jengo linapandishwa pale...
Hata mimi nimeona kama vile wanataka kuanza ukarabati. Hiyo hoteli iliuzwa wakati wa ubinafsishaji na kama sikosei ni Ndesamburo kupitia Keys Hotel ndiyo walionunua. Baadaye ukazuka mgogoro juu ya madai ya waliokuwa wafanyakazi dhidi ya PSRC au LART wakitaka walipwe stahiki zao ndiyo umiliki uhamishwe. Hapo hapo kulikuwa na wahindi kupitia KJ Motors nao walikuwa wakidai, nadhani nao walikuwa na hisa.Wadau siku ya Tatu sasa napita eneo hili naona mafundi wakichomelea bodi ya gari(Lori).
Ina maana ssasa ni karakana rasmi kwa kazi hiyo!?
Tujuzane jamani!
Posta opposite na imalaseko supermarketEmbassy Hotel iko wapi?
Sasa hiyo ni Maisha club au ni Maisha Basement?Mkuu Maisha Club now ipo jengo la LAPF tower pale makumbusho.. na ipo underground so inaitwa Maisha Basement.
Ww ni mzuri kama katika hiyo profile yako au??U have a sweet name victoirePosta opposite na imalaseko supermarket
kupita hapo,thanksWw ni mzuri kama katika hiyo profile yako au??U have a sweet name victoire