Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Sipo upande wowote ila nimejaribu kuwaza hivi tu
Nianze kwa lissu
Huyu kweli mwanzo alikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa upande wangu na mtazamo wangu ila kwa sasa naona hana ushawishi anatembea na upepo wa kupigwa lisasi kama ni kigezo cha yeye kuwa kiongozi au kupata sapoti
Kwanini Lissu yupo hapa mda mrefu sana ila hoja zake kubwa amebeba kwenye ubaguzi kitu kinacho hatarisha mgawanyiko ubaguzi kwenye dini na pia kumnyooshea mtu kidole kisa ni mzanzibari hii kwangi haipo sawa
Nafikiri angejikita kwenye kutafuta zaidi mapungufu ya serikali na kuwaweka watu katika umoja hao wanzanzobari na waislamu ndio hao hao anao wategemea kuwaomba wampigie vote
Tuje kwa Gwajima
Gwajima kipindi hayo yote yanatokea alikuwepo lakini leo hii anakuja mbele za watu na kusema kuwa kwamba serikali ni mbovu means na yeye ni mbovu kwa maana nyingine mimi na mchukulia kama mtu ambaye anataka madaraka ila kwa alivyo ona kwamba mwaka uhu kama yupo nje ya mchezo so anatafuta namna ya kurudi mjengoni so ana amua kutoa siri ila mtu kama huyu ni mbaya sana katika ustawi wa taifa hafai kuwa kiongozi
Hawa wawili kwangu naona bado wanapwaya sana na viongozi wa dini ni mara nyingi naona viongozi wa dini wanaitwa ikulu wanaongea na Rais wyh mawazo yao na mitazamo yao wasitoe wakati uho na waende madhabahuni kutoa matamko ili serikali ifwate matamko yao?
Kuna vitu vya kujiuliza sana na kuumiza kichwa na kuwaza kwa upana zaidi