Embu tuchambue Siasa kidogo kutokana na haya matukio

Naomba kukwambia haya. Kwenye maswala ya nchi, siasa yako juu sana kwako. Kuanzia uchambuzi hata kutoa hoja. Ungeacha yakupite, huwa naona comment zako, kwenye siasa ni kama unafata tu mkumbo. Ulichoandika nimeishia kusoma kwa TAL, kiufupi hakuna unachokijua temana nayo.
 
Huyu ni kijakazi wa ponjoroo😂
 
Sipo upande wowote ila nimejaribu kuwaza hivi tu

Nianze kwa lissu
Huyu kweli mwanzo alikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa upande wangu na mtazamo wangu ila kwa sasa naona hana ushawishi anatembea na upepo wa kupigwa lisasi kama ni kigezo cha yeye kuwa kiongozi au kupata sapoti

Kwanini Lissu yupo hapa mda mrefu sana ila hoja zake kubwa amebeba kwenye ubaguzi kitu kinacho hatarisha mgawanyiko ubaguzi kwenye dini na pia kumnyooshea mtu kidole kisa ni mzanzibari hii kwangi haipo sawa

Nafikiri angejikita kwenye kutafuta zaidi mapungufu ya serikali na kuwaweka watu katika umoja hao wanzanzobari na waislamu ndio hao hao anao wategemea kuwaomba wampigie vote

Tuje kwa Gwajima
Gwajima kipindi hayo yote yanatokea alikuwepo lakini leo hii anakuja mbele za watu na kusema kuwa kwamba serikali ni mbovu means na yeye ni mbovu kwa maana nyingine mimi na mchukulia kama mtu ambaye anataka madaraka ila kwa alivyo ona kwamba mwaka uhu kama yupo nje ya mchezo so anatafuta namna ya kurudi mjengoni so ana amua kutoa siri ila mtu kama huyu ni mbaya sana katika ustawi wa taifa hafai kuwa kiongozi

Hawa wawili kwangu naona bado wanapwaya sana na viongozi wa dini ni mara nyingi naona viongozi wa dini wanaitwa ikulu wanaongea na Rais wyh mawazo yao na mitazamo yao wasitoe wakati uho na waende madhabahuni kutoa matamko ili serikali ifwate matamko yao?

Kuna vitu vya kujiuliza sana na kuumiza kichwa na kuwaza kwa upana zaidi
Chawa ni mdudu mchafu anayekaa mazingira machafu.
 
Ujakosea kabisa ila kuna vitu ukifikiria unaona kabisa hakuna utekelezaji ni siasa tu

Mbona hii sio siasa bali ukosoaji wa watu binafsi?
 
Ponjoro wee
 
Jikiteni kwenye hoja zaidi hii ni ubaguzi TZ inasifika hakuna ubaguzi ila now unataka kuja kwa kasi
Tanzania kuna ubaguzi wa hali ya juu sana. Uliona wapi shughuli za kiserikali, ambazo zinahusu wananchi wote bila kujali itikadi, viongozi wa upinzani wa kweli wamehusidhwa? Muasisi wa ubaguzi ktk taifa hili ni ccm.
 
Samia ni Mzanzibari si Mzanzibari?
Hii nchi inaitwaje? Nyie mbwa koko huu muungano ni tunu hakuna anayeweza kuuvunja, km alishindwa aliyekuwa Rais wa Zanzibar Aboud Jumbe ni kima gani tena akiwa nje ya system anaweza kuuvunja? We ni mavi iliyooza, eti siyo mzanzibari? Niambia maana ya Tanzania ambayo ndiyo nchi yetu.
 
Tanzania kuna ubaguzi wa hali ya juu sana. Uliona wapi shughuli za kiserikali, ambazo zinahusu wananchi wote bila kujali itikadi, viongozi wa upinzani wa kweli wamehusidhwa? Muasisi wa ubaguzi ktk taifa hili ni ccm.
Una ushahidi kuwa hawapewi taarifa ya kuhudhuria tukio usika?

Au ni upinzani umeamua kujitenga na serikali?
 
Back
Top Bottom