Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
- #21
Kibao kauliwa lini?Utakuwa ponjoro wewe bila ya shaka yoyote.
Kibao kauliwa lini?Utakuwa ponjoro wewe bila ya shaka yoyote.
Mkuu lissu anatembea na sababu ya kupigwa lisasi niamini mkuu just thinkUnakataa nini nawe unabeba hoja za kiccm? Sifa kubwa ya mwanaccm ni kujitoa ufahamu kama ulivyofanya wewe.
Nasubiria.Ngoja nitafute iyo clip yake
Hujawahi kumsililiza Lissu, umekaririshwa na chawa wenzako tu hapo CCM.Mkuu lissu anatembea na sababu ya kupigwa lisasi niamini mkuu just think
Mabadiriko ni uandishI wa ki - CCM ila mabadiliko ndiyo takwa la watanzania!Mimi ni mtz ambaye nataka mabadiriko ila kwasasa sijaona kiongozi anaye wwza leta hayo mabadiriko wote wanapapambania tumbo lao
Kamuulize Afande Mafwele anayeongoza kikosi kazi kinachoteka na kuua watu.Kibao kauliwa lini?
Au sioHujawahi kumsililiza Lissu, umekaririshwa na chawa wenzako tu hapo CCM.
Sawa ni kiongozi gani anaweza tekeleza hitaji ilo?Mabadiriko ni uandishI wa k - CCM ila mabadiliko ndiyo takwa la watanzania!
Nijibu nikupe factKamuulize Afande Mafwele anayeongoza kikosi kazi kinachoteka na kuua watu.
Swali lako halihusiani na mada uliyoleta ndiyo maana nimeliweka hivyo, sawa sawa?Nijibu nikupe fact
Uhusiano upo huyo gwajima si kaongelea mauji ya kibao pia au sio kweli?Swali lako halihusiani na mada uliyoleta ndiyo maana nimeliweka hivyo, sawa sawa?
Wanafiki huwa wananza ni maelezo kama yako.Sipo upande wowote ila nime jaribu kuwaza hivi tu
Hapana mkuu ila najaribu kuwaza tu ila kwasasa tz hatuna kiongozi atake kuja kukata kiu yetu wtzWanafiki huwa wananza ni maelezo kama yako.
Upo upande wa mamaSipo upande wowote ila nimejaribu kuwaza hivi tu
Unadhani kwanini haiwezekani?kwasasa tz hatuna kiongozi atake kuja kukata kiu yetu wtz
Huyo ni moja ya chawa wa Samia tu hana lolote anatafuta kutupiwa makombo na watawala.Mkuu uko vzuri kwenye upande wa storiz na upishi but huku umeteleza…Jipe mda tafakari na fatiliq siasa vizuri…Then utaelewa hawq watu wawili wanachopambania.Asante sana.