Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Samia ni Mzanzibari si Mzanzibari?Kwanini lissu yupo hapa mda mrefu sana ila hoja zake kubwa amebeba kwenye ubaguzi kitu kinacho hatarisha mgawanyiko ubaguzi kwenye dini na pia kumnyooshea mtu kidole kisa ni mzanzibari hii kwangi haipo sawa
Ndio mzanzibariSamia ni Mzanzibari si Mzanzibari?
Sasa kosa la Lissu ni Nini?Ndio mzanzibari
Jikiteni kwenye hoja zaidi hii ni ubaguzi TZ inasifika hakuna ubaguzi ila now unataka kuja kwa kasiSamia ni Mzanzibari si Mzanzibari?
Why aseme mzanzibari hafai na kwanini asijikite kutoa mapufungufu ya serikali?Sasa kosa la Lissu ni Nini?
Jikiteni kwenye hoja zaidi hii ni ubaguzi TZ inasifika hakuna ubaguzi ila now unataka kuja kwa kasi
Mimi sio mwanccm mkuuView attachment 3353570
Hili bango la wana CCM wenzako umeliona?
Why aseme mzanzibari hafai na kwanini asijikite kutoa mapufungufu ya serikali?
Huoni anaonyesha dhahiri yeye ni mbaguzi?
Ila una haiba ya ki - CCM.Mimi sio mwanccm mkuu
Sio upofu jaribu kufikiria now tz hakuna kiongozi wakuja kutimiza matakwa ya wananchi umejaa na kiu ya mabadiriko kiasi kwamba unaona yupo sawaMtoa post huna hoja zaidi ya upofu. Kanawe uso!!
Ngoja nitafute iyo clip yakeWeka ushahidi wa hayo unayosema.
Utakuwa ponjoro wewe bila ya shaka yoyote.Sipo upande wowote ila nime jaribu kuwaza hivi tu
Nianze kwa lissu
Huyu kweli mwanzo alikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa upande wangu na mtazamo wangu ila kwa sasa naona hana ushawishi anatembea na upepo wa kupigwa lisasi kama ni kigezo cha yeye kuwa kiongozi au kupata sapoti
Kwanini lissu yupo hapa mda mrefu sana ila hoja zake kubwa amebeba kwenye ubaguzi kitu kinacho hatarisha mgawanyiko ubaguzi kwenye dini na pia kumnyooshea mtu kidole kisa ni mzanzibari hii kwangi haipo sawa
Nafikiri angejikita kwenye kutafuta zaidi mapungufu ya serikali na kuwaweka watu katika umoja hao wanzanzobari na waislamu ndio hao hao anao wategemea kuwaomba wampigie vote
Tuje kwa gwajima
Gwajima kipindi hayo yote yanatokea alikuwepo lakini leo hii anakuja mbele za watu na kusema kuwa kwamba serikali ni mbovu means na yeye ni mbovu kwa maana nyingine mimi na mchukulia kama mtu ambaye anataka madaraka ila kwa alivyo ona kwamba mwaka uhu kama yupo nje ya mchezo so anatafuta namna ya kurudi mjengoni so ana amua kutoa siri ila mtu kama huyu ni mbaya sana katika ustawi wa taifa hafai kuwa kiongozi
Haww wawili kwangu naona bado wana pwaya sana na viongozi wa dini ni mara nyingi naona viongozi wa dini wanaitwa ikulu wanaongea na raisi wyh mawazo yao na mitazamo yao wasitoe wakati uho na waende madhabahuni kutoa matamko ili serikali ifwate matamko yao?
Kuna vitu vya kujiuliza sana na kuumiza kichwa na kuwaza kwa upana zaidi
mnachokosea kuweka polisi kwenye siasa ata chadema leo wakisha madaraka bado polisi mta waona wabaya bado kwasababu ya mitazmoHua unafuatilia Hotuba zake Vzuri?
Alishasema hatumpingi samia kwa Uzanzibari wake ila kwa Matendo yake anayofanya kama Rais.
Mapungufu gani hajayaongelea? Mikataba mibovu i.e bandari, Rushwa, Ufisadi na Unyanyasaji wa Raia kupitia Polisi.
Ulitaka angee nini Comrade ndo uone yuko na hoja?
Mimi ni mtz ambaye nataka mabadiriko ila kwasasa sijaona kiongozi anaye wwza leta hayo mabadiriko wote wanapapambania tumbo laoIla una haiba ya ki - CCM.
Unakataa nini nawe unabeba hoja za kiccm? Sifa kubwa ya mwanaccm ni kujitoa ufahamu kama ulivyofanya wewe.Mimi sio mwanccm mkuu