Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Viongozi tulionao kwasasa wapo kutafuta madaraka kisha kujibinafsisha mwisho ndio wananchi na wapo bise na visasiUnadhani kwanini haiwezekani?
wezi kushikwa akili na viongozi wa karne hiiHuyo ni moja ya chawa wa Samia tu hana lolote anatafuta kutupiwa makombo na watawala.
Huyu ni kijakazi wa ponjoroo😂Naomba kukwambia haya. Kwenye maswala ya nchi, siasa yako juu sana kwako. Kuanzia uchambuzi hata kutoa hoja. Ungeacha yakupite, huwa naona comment zako, kwenye siasa ni kama unafata tu mkumbo. Ulichoandika nimeishia kusoma kwa TAL, kiufupi hakuna unachokijua temana nayo.
Umeshaanza kuhamisha magoli sasa, wewe na Lucas Mwashambwa ni kama pipa na mfunikoHaipo hivyo ila mimi si
wezi kushikwa akili na viongozi wa karne hii
Chawa ni mdudu mchafu anayekaa mazingira machafu.Sipo upande wowote ila nimejaribu kuwaza hivi tu
Nianze kwa lissu
Huyu kweli mwanzo alikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa upande wangu na mtazamo wangu ila kwa sasa naona hana ushawishi anatembea na upepo wa kupigwa lisasi kama ni kigezo cha yeye kuwa kiongozi au kupata sapoti
Kwanini Lissu yupo hapa mda mrefu sana ila hoja zake kubwa amebeba kwenye ubaguzi kitu kinacho hatarisha mgawanyiko ubaguzi kwenye dini na pia kumnyooshea mtu kidole kisa ni mzanzibari hii kwangi haipo sawa
Nafikiri angejikita kwenye kutafuta zaidi mapungufu ya serikali na kuwaweka watu katika umoja hao wanzanzobari na waislamu ndio hao hao anao wategemea kuwaomba wampigie vote
Tuje kwa Gwajima
Gwajima kipindi hayo yote yanatokea alikuwepo lakini leo hii anakuja mbele za watu na kusema kuwa kwamba serikali ni mbovu means na yeye ni mbovu kwa maana nyingine mimi na mchukulia kama mtu ambaye anataka madaraka ila kwa alivyo ona kwamba mwaka uhu kama yupo nje ya mchezo so anatafuta namna ya kurudi mjengoni so ana amua kutoa siri ila mtu kama huyu ni mbaya sana katika ustawi wa taifa hafai kuwa kiongozi
Hawa wawili kwangu naona bado wanapwaya sana na viongozi wa dini ni mara nyingi naona viongozi wa dini wanaitwa ikulu wanaongea na Rais wyh mawazo yao na mitazamo yao wasitoe wakati uho na waende madhabahuni kutoa matamko ili serikali ifwate matamko yao?
Kuna vitu vya kujiuliza sana na kuumiza kichwa na kuwaza kwa upana zaidi
Naomba kukwambia haya. Kwenye maswala ya nchi, siasa yako juu sana kwako. Kuanzia uchambuzi hata kutoa hoja. Ungeacha yakupite, huwa naona comment zako, kwenye siasa ni kama unafata tu mkumbo. Ulichoandika nimeishia kusoma kwa TAL, kiufupi hakuna unachokijua temana nayo.
Nani ameongoza TZ toka tupate uhuru? Hawajibiki?Viongozi tulionao kwasasa wapo kutafuta madaraka kisha kujibinafsisha mwisho ndio wananchi na wapo bise na visasi
Mbona hii sio siasa bali ukosoaji wa watu binafsi?Sipo upande wowote ila nimejaribu kuwaza hivi tu
Nianze kwa lissu
Huyu kweli mwanzo alikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa upande wangu na mtazamo wangu ila kwa sasa naona hana ushawishi anatembea na upepo wa kupigwa lisasi kama ni kigezo cha yeye kuwa kiongozi au kupata sapoti
Kwanini Lissu yupo hapa mda mrefu sana ila hoja zake kubwa amebeba kwenye ubaguzi kitu kinacho hatarisha mgawanyiko ubaguzi kwenye dini na pia kumnyooshea mtu kidole kisa ni mzanzibari hii kwangi haipo sawa
Nafikiri angejikita kwenye kutafuta zaidi mapungufu ya serikali na kuwaweka watu katika umoja hao wanzanzobari na waislamu ndio hao hao anao wategemea kuwaomba wampigie vote
Tuje kwa Gwajima
Gwajima kipindi hayo yote yanatokea alikuwepo lakini leo hii anakuja mbele za watu na kusema kuwa kwamba serikali ni mbovu means na yeye ni mbovu kwa maana nyingine mimi na mchukulia kama mtu ambaye anataka madaraka ila kwa alivyo ona kwamba mwaka uhu kama yupo nje ya mchezo so anatafuta namna ya kurudi mjengoni so ana amua kutoa siri ila mtu kama huyu ni mbaya sana katika ustawi wa taifa hafai kuwa kiongozi
Hawa wawili kwangu naona bado wanapwaya sana na viongozi wa dini ni mara nyingi naona viongozi wa dini wanaitwa ikulu wanaongea na Rais wyh mawazo yao na mitazamo yao wasitoe wakati uho na waende madhabahuni kutoa matamko ili serikali ifwate matamko yao?
Kuna vitu vya kujiuliza sana na kuumiza kichwa na kuwaza kwa upana zaidi
Chawa ni mdudu mchafu anayekaa mazingira machafu.
Nje ya mda, kuna uzi ulikuwepo kuhusu shuhuda za wanaharakati wa Kenya, umeondolewa, kuna shida mods?
Ponjoro weeSipo upande wowote ila nimejaribu kuwaza hivi tu
Nianze kwa lissu
Huyu kweli mwanzo alikuwa na ushawishi mkubwa sana kwa upande wangu na mtazamo wangu ila kwa sasa naona hana ushawishi anatembea na upepo wa kupigwa lisasi kama ni kigezo cha yeye kuwa kiongozi au kupata sapoti
Kwanini Lissu yupo hapa mda mrefu sana ila hoja zake kubwa amebeba kwenye ubaguzi kitu kinacho hatarisha mgawanyiko ubaguzi kwenye dini na pia kumnyooshea mtu kidole kisa ni mzanzibari hii kwangi haipo sawa
Nafikiri angejikita kwenye kutafuta zaidi mapungufu ya serikali na kuwaweka watu katika umoja hao wanzanzobari na waislamu ndio hao hao anao wategemea kuwaomba wampigie vote
Tuje kwa Gwajima
Gwajima kipindi hayo yote yanatokea alikuwepo lakini leo hii anakuja mbele za watu na kusema kuwa kwamba serikali ni mbovu means na yeye ni mbovu kwa maana nyingine mimi na mchukulia kama mtu ambaye anataka madaraka ila kwa alivyo ona kwamba mwaka uhu kama yupo nje ya mchezo so anatafuta namna ya kurudi mjengoni so ana amua kutoa siri ila mtu kama huyu ni mbaya sana katika ustawi wa taifa hafai kuwa kiongozi
Hawa wawili kwangu naona bado wanapwaya sana na viongozi wa dini ni mara nyingi naona viongozi wa dini wanaitwa ikulu wanaongea na Rais wyh mawazo yao na mitazamo yao wasitoe wakati uho na waende madhabahuni kutoa matamko ili serikali ifwate matamko yao?
Kuna vitu vya kujiuliza sana na kuumiza kichwa na kuwaza kwa upana zaidi
Tanzania kuna ubaguzi wa hali ya juu sana. Uliona wapi shughuli za kiserikali, ambazo zinahusu wananchi wote bila kujali itikadi, viongozi wa upinzani wa kweli wamehusidhwa? Muasisi wa ubaguzi ktk taifa hili ni ccm.Jikiteni kwenye hoja zaidi hii ni ubaguzi TZ inasifika hakuna ubaguzi ila now unataka kuja kwa kasi
Wanawajibika kwa nafasi zao ila sio kwa matarajio ya wananchi walio nayoNani ameongoza TZ toka tupate uhuru? Hawajibiki?
Hii nchi inaitwaje? Nyie mbwa koko huu muungano ni tunu hakuna anayeweza kuuvunja, km alishindwa aliyekuwa Rais wa Zanzibar Aboud Jumbe ni kima gani tena akiwa nje ya system anaweza kuuvunja? We ni mavi iliyooza, eti siyo mzanzibari? Niambia maana ya Tanzania ambayo ndiyo nchi yetu.Samia ni Mzanzibari si Mzanzibari?
We ni takataka ht huelewi unaishi nchi ganiSamia ni Mzanzibari si Mzanzibari?
Huoni ht aibu we bwege?Sasa kosa la Lissu ni Nini?
Una ushahidi kuwa hawapewi taarifa ya kuhudhuria tukio usika?Tanzania kuna ubaguzi wa hali ya juu sana. Uliona wapi shughuli za kiserikali, ambazo zinahusu wananchi wote bila kujali itikadi, viongozi wa upinzani wa kweli wamehusidhwa? Muasisi wa ubaguzi ktk taifa hili ni ccm.