Emmanuel Tutuba ateuliwa na Rais Samia kuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT)

Noti ya 10,000 imeanza kutumika wakati wa MKAPA.
Kumbe wewe ni bwa mdogo chaubishi, halafu unatutukana wakubwa zako.

Elfu kumi ya kwanza ni hii hapa dogo, angalia sura hiyo kama unaijua:



Halafu Mkapa aliposhika hatamu ndo akaleta busara nzuri ya kuachana na utamaduni wa kuuza sura kwenye noti akaleta elfu kumi ya twiga:



Kama umewahi kumsikia mtu anayeitwa Mr. Bluu ubluu wake ulikuwa ni kwa yeye kujifananisha na hizi noti za mwanzoni za elfu kumi (yaani kwamba yeye ndo alikuwa anajiona yuko juu kama Tshs. elfu kumi.)
 
Umetembea mikoa mingapi au Wilaya ngapi za Tanzania? Kukukumbusha tu size ya Tanzania ni kubwa kuliko combined nchi za Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi. Population ya Zambia haijafika watu milioni 20, Tanzania ni zaidi ya milioni 60. Mpangilio huu wa mikoa, Wilaya, kata na vijiji huenda ndio unaona nchi yetu haina maeneo yenye vikundi vya uasi na kuhatarisha amani kama unsvyoskia huko Congo, Uganda, Sudani nk. Kweli, Serikali kubwa ni mzigo lakini usifanye conclusion kwa kuangalia upande mmoja tu.
 
Hapo SA, yes Reserve Bank yao ipo huru na ndio inayopanga repo rates ya nchi, kiuchumi nchi unaharibiwa na black leaders, usilaumu RB yao,hadi leo hakuna nchi inayotawaliwa na black leader hapa duniani iliyo prove wrong kutoka kauli ya kaburu P.W.Botha kuhusu watu weusi, uchumi wa SA kuwa chini ya makaburu sio kweli,uchumi wetu upo mikononi mwetu je tunaendelea?pale BOT ni scandal after scandal za ufisadi, simple solution kuzuia hii ni kubinafisisha BOT ili iendeshwe kitaalamu zaidi na mandates zake ziwe kwa nchi SIO politicians
 
Mkuu government work in complicated way,jamaa kauliza ki cheo nani ni Mkubwa jibu ni Katibu Mkuu-B.O.T ni taasisi ipo chini ya Wizara ya fedha,na kimuundo wa majukumu ana riport kwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha.
 
Ujue kuna watu wakisikia Taasisi Fulani ni kubwa ina jitegemea huwa wanadhani Kiongozi wake itakuwa Mkubwa.
Hawajui hamna Taasisi inaweza kuwa kubwa kuliko Wizara-Wizara ndio final kwa kila kitu.
 
Si afadhali watu waliaza kujenga kipindi.hicho.kwa hiyo inamaanisha watu ndio walipata pesa za kujenga.ukweli usemwe nyerere alichoweza ni kututafutia Uhuru tu uchumi aliharibu sana
Watu kujenga sio shida. Mfumo wa Nyerere ulikuwa tofauti na mfumo wa Mwinyi. Mfumo wa Nyerere ni wa serikali inasimamia karibia kila kitu. Ni mfumo unaohitaji mtu ambaye ameishinda tamaa ya pesa. Nyerere aliishinda tamaa ya pesa. Mwinyi hakuishinda. Familia yake iligubikwa na kashfa kibao za kutumia wadhifa wa baba yao kujitajirisha na kuishi kwa anasa.

Suala la mipango miji ni suala la serikali kutambua kwamba wananchi hatuwezi kujipanga wenyewe, Wanachi tukiachwa tujikatie maeneo na viwanja wenyewe ndo unapata mkutano wa nzi uliopo Dar es Salaam. Sasa hilo halihusiani kabisa na suala la wananchi kujenga au kutojenga.

Serikali inatakiwa iwe mbele kupima maeneo ili wanachi wanapokwenda kujenga wanapata viwanja vilivyopimwa wanajenga kwa mpangilio.
 
Mkuu mimi ninaongelea zaidi kiuchumi sio kisiasa, na tusiendelee kuishi kwa mazoea yenye uoga, huwezi uchumi ukawa unakua kwa 5% to 6%na population tunaongezeka kwa more than 3%,huu ni upumbavu wa hali ya juu, why sisi tuwe 60M na Botswana wawe 2M?,huwezi kuzaa wakati uwezo wa kutunza watoto wako hauna!,ufinyu wa kielimu kwa watanzania ndio mtaji wa politicians wetu,unaambiwa fatwa watoto na wewe unawasikiliza na kuzaa mitoto mingi wakati huwezi kuwamudu kuwatunza!,na awamu ya kwanza walionywa kuhusu ongezeko la watu nchini ila Rais wake akaogopa kuwachukiza watawala wa vatican!(wao Sera yao ilikua watu wazae tu bila kuangalia je uchumi utaendana na ongezeko lao),masuala ya vita,usalama naona politicians wetu wametu brain wash !,ukubwa wa nchi sio kibali cha kuzaliana kama nzige, goggle ukubwa wa Botswana na Tanzania, tofauti labda ni 100, 000 square km, wenzetu wapo 2M na sisi 60M, hii ni craze kabisa
 
Hawa watu wanaishi kwa hearsay za mitaani na hawana mpango wa kujishughulisha na ukweli. Ni jamii ya akili za mwendazake ambapo anaweza kumchukia mtu bila sababu halisi, almuradi ameaminishwa hivyo.
Dogo ni mweupe huyo, nimeshamwelimisha tayari.

Na wewe unayemuunga mkono pitia andiko nililomjibu kuhusu hizo noti utapata kitu.

Kama una akili ndogo huwezi kumwelewa Magufuli hata siku moja. Utabaki kuimba korasi za "ameua demokrasia" na "ameminya uhuru"
 
Kama una akili ndogo huwezi kumwelewa Magufuli hata siku moja. Utabaki kuimba korasi za "ameua demokrasia" na "ameminya uhuru"
Magufuli ana mazuri yake na mabaya yake. From economic and political, perspectives, Magufuli is worst president ever. Uzuri wa Magufuli umeegemea kwenye ukweli kwamba he was a better president in uncivilized society, Tanzania being of it. Sehemu kubwa ya jamii yetu (kutokana na elimu dunk yetu), ipo kama wanyama. Haiwezi kuishi kwa kanuni. Lakini kwenye civilized society, Magufuli hana nafasi.
 
Bado Kassim Majaliwa subirini ngojeni baraza la mawaziri livunjwe naye atemwe ila Samia anatupeleka pabaya japo mnashangilia kila teuzi zikifanyika. Hivi hao mgambo wapo tuu wakiangalia haya??
Ni suala la muda
 
Nipo nawe kwenye hiyo paragraph yako ya mwisho tu, ni wajibu wa serikali kupeleka kwanza social services kwenye eneo ,then wananchi ndio wanakwenda kujenga sio other way round, serikali inatakiwa ipime viwanja,then ipeleke maji,umeme, njia za kimawasiliano, shule, zahanati, shopping malls, police station na fire station ,then ndio wananchi wanakwenda kujenga kwa kufuata mipango iliyopangwa na serikali, na elewa mjengaji binafsi akiamua kufanya mabadiliko yeyote labda kuongeza vymba ni LAZIMA apate ridhaa ya jirani zake na kibali kutoka serikali, huu ndio utaratibu wa kisheria uliopo hapa nchini, Leo wananchi wanajenga pale jangwani (DSM),Serikali inapeleka umeme, maji then inaamua kuwabomolea waliojenga pale!,prove me wrong kuwa hii sio matokeo ya kuishi in a pithole country!
 
Hakuna jamii isiyokuwa na kanuni. Sema wewe ndo unakuwa hujaelewa kanuni zao, au umezidharau. Mfano lugha kama hiyo unayotumia ya "uncivilized society" ni lugha ya dharau.

Kwa hiyo mpaka hapo unapoteza urari wa kumtathmini Magufuli. Maana jamii aliyokuwa anaiongoza wewe umeidharau. Wewe nenda kwenye jamii unayoiheshimu ndo ukawajadili huko viongozi wao.
 
Uwaache wenyewe bila usimamizi ili money laundry ishike hatamu.

Hizi nchi zetu huwezi kucha taasis km BOT ijiachie utavuna mabua.
Tusiishi kwa mazoea mkuu, wenye hisa zao pale BOT hawataruhusu UFISADI huo, mazingira ya sasa ndio unaruhusu ufisadi huu, politicians ndio wanatupangia maisha!na hatuwezi to push them back, mtaji wao ni uoga wa kizuzu wa middle class
 
Kuna technicalities kali sana hapa. Ulichosema ni sahihi na kinyume chake ni sahihi pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…