Mwanafalsafa
Platinum Member
- Jun 24, 2007
- 673
- 865
Akili za kuambiwa inatakiwa uchanganye na za kwako. Washington consensus inatuhusu nini sisi wenye makao makuu Dar es Salaam na Dodoma?Fuatilia vizuri nini kilitokea. Kulitokana na externally pushed move ya currency devaluation kupitia the then called "washington consensus" ikiwa ni policy mojawapo ya kuhuisha uchumi uliokuwa umekufa kabisa. Of course, sera hii haikuleta matokeo tarajiwa kutokana na industrial nature na hali ya uzalishaji iliyokuwepo kwa kipindi hicho.
Kadogosa haondoki leoUna matatizo ya akili wewe,kwani huyo Kasim atakuwa PM wa kwanza Kupigwa chini?
Pabaya kiaje? Kisa Kupigwa chini kwa Royalists wa Mwendazake? Endeleeni kuugulia.
Bado Kadogosa wa TRC
Hao nimewataja kama wawakilishi tu. Tazama hiyo video upate madini.Kumbe ni debunked conspiracy theories tu kuhuwahusi Wayahudi na Rothschild tu unazungumzia, nilifikiri una kitu cha maana.
Mpuuzi wenu aliwafanya muamini nchi ni ya kanda ya ziwa tu,wanaoteuliwa ni watanzania kwa sifa zao ni kwa asili yao!!mkitaka wa kanda ya ziwa subirini Mpina awe raisMtuwekeepo cv zao basi..tujue pia wa kanda ya ziwa ni wangapi kwenye hizi teuzi za huyu ajuza.
Wewe ni mbulula.We ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Yap, ndio DED wetu a.k.a boss wetu.
Licha ya kwamba anajitahidi kuwa chawa Ila atang'oka tuuKadogosa haondoki leo
Hiyo misukule ya mwendazake achana nayo!! Inaamini yule kiumbe alikuwa kama nabii wao kama si mungu kabisa!!Kasoro ya Dr Natu akiwa naibu gavana pale B.O.T ilikua nini mpaka magufuli amuondoe?
Noti ya 10,000 imeanza kutumika wakati wa MKAPA.Mama nasikia ana unasaba na Ali Hassan Mwinyi. Kwa hiyo inaelekea huko ndo anakoazima akili.
Ila wakati wa AHM ndo sarafu ya Tanzania ilishushwa kutoka Tshs. 100/- kuwa ndo noti kubwa kuliko zote mpaka kufikia Tshs. 10,000/- kuwa ndo noti kubwa kuliko zote.
Kwa hiyo mama tusije tukashangaa akiiporomosha sarafu yetu na kuja kutuacha na manoti yenye sifuri nyingi zaidi.
Hizo zilikuwa ni "MUST DO" policies zilizozaa kilichoitwa structural adjustment program (SAP). Nadhani hii SAP itakuwa ulisomeshwa kidogo hata kama ulisoma HKL!Akili za kuambiwa inatakiwa uchanganye na za kwako. Washington consensus inatuhusu nini sisi wenye makao makuu Dar es Salaam na Dodoma?
Vumilia keki sio ugali (sio tusi) namaanisha hamuwezi kula wote keki mkashiba wote hivyo lazima wachache wale keki ili walio wengi mpate ugali wenu na mshibe.Hizi teuzi zinaweza kukupa chuki dhidi ya watawala..Keki ya taifa ni kwa ajili ya wachache mno.
Hawa watu wanaishi kwa hearsay za mitaani na hawana mpango wa kujishughulisha na ukweli. Ni jamii ya akili za mwendazake ambapo anaweza kumchukia mtu bila sababu halisi, almuradi ameaminishwa hivyo.Noti ya 10,000 imeanza kutumika wakati wa MKAPA.
Wewe ndo unaonekana ulisoma HKL. Watu wa HKL wanaabudu sana wazungu, maana hawajui hata ndege inapaaje. Kwao kila kitu cha mzungu ni uchawi wa kuabudiwa.Hizo zilikuwa ni "MUST DO" policies zilizozaa kilichoitwa structural adjustment program (SAP). Nadhani hii SAP itakuwa ulisomeshwa kidogo hata kama ulisoma HKL!
Sina hakika kama ulikuwepo, lakini kuanzia mwanzo I mwa 1980s, uchumi wetu uko collapse kabisa kiasi kula mboga bila chumvi ni jambo la kawaida, hakukuwa na sabuni zaidi ya kutumia tunda za mti wa mharita, nguo ni yale mashuka meupe, na mahindi ya msaada ya njano yaliingizwa nchini kuokoa maisha. Ndipo wenye akili walikaa huko Bretton woods, Washington na kuja na hiyo SAP. Sasa kusema sie wa Dodoma, Washington inatuhusu nini ni kama kutoitendea haki akili yako.
Mkuu bila ya kuwa tayari kufanya maamuzi magumu nchi haitasogea mbele, huwezi kuishi kwa mazoea na uoga, ni wakati wa kufanya maamuzi magumu ikiwa ni pamoja kupunguza ukubwa wa serikali, tunahitaji wabunge wachache, mikoa na wilaya chache, fedha itakayookolewa utumike kusukuma services delivers kwa watanzania, mtanzania anahitaji maisha bora SIO nchi kuwa na mikoa mingi!,we just need 10 to 15 ,majirani zetu wote hawazidi mikoa 20!,tembelea Zambia 🇿🇲 sasa au soma zaidi kinachofanyika pale, wanafanya maamuzi magumu ya kimaendeleoUwaache wenyewe bila usimamizi ili money laundry ishike hatamu.
Hizi nchi zetu huwezi kucha taasis km BOT ijiachie utavuna mabua.
Unataka kusema nini?Wewe ndo unaonekana ulisoma HKL. Watu wa HKL wanaabudu sana wazungu, maana hawajui hata ndege inapaaje. Kwao kila kitu cha mzungu ni uchawi wa kuabudiwa.
Changamoto za kiuchumi haimaanishi kuwa ndo utafute kitonga cha kufuata unachoambiwa na watu wambao ukitumia akili ndogo tu unajua kabisa hawakufagilii kabisa.
Changamoto za kiuchumi kuna nchi ambazo zimepitia na zimetoboa kwa ujanja wao wenyewe.
Mzungu hana urafiki na watu ambao sio wazungu. Urafiki wake na watu wa aina hiyo ni endapo watu hao wanakubali kuwa watwana wake tu.
Si afadhali watu waliaza kujenga kipindi.hicho.kwa hiyo inamaanisha watu ndio walipata pesa za kujenga.ukweli usemwe nyerere alichoweza ni kututafutia Uhuru tu uchumi aliharibu sanaAcha urongo. Mwinyi alikuwa hakusanyi kodi mpaka Nyerere alimchamba kwa suala hilo la kutokukusanya kodi.
TRA alianzisha Mkapa.
Enzi za Mwinyi kulikuwa na idara ya mapato tu katika wizara ya fedha.
Mwinyi ndo aliivuruga hii nchi. Hata katika suala muhimu sana la mipangomiji ilivurugika wakati wa Mwinyi ndo jiji la Dar likaanza kujengwa holelaholela na kuvurugika kama unavyoliona leo. Kulinyoosha tena liwe kama mji wa watu wenye akili ni ngumu sana kwa sasa.