Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi, tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi?

Mama Samia ana nia nzuri lakini Taadhari muhimu

France fines Google nearly €1 billion in 'historic' tax fraud ruling​


Lazima ajue wakati anatakiwa kutumia nguvu, otherwise asitumie nguvu kukusanya kodi Watanzania wawe Wafanyakazi wa ndani kwenye nchi yao
 
Ignorance Work, hao akina Mo dewji, akina Bakhresa unajuaje hawajapitia mkono wa chuma kwenye ukusanyaji wa kodi??? Hv Mo alitekwa kwa sababu gani vile??
Kile kilichokua kinafanyika enzi za mwendazake ni unyang'anyi tu ndiyo lugha ninayoweza kutumia kuiita!! Et unasema ukiwa na watu watatu we anaolipa vizuri ni Bora kuliko watu mia wasiolipa vizuri??
Anachokifanya mama Samia ni kurudisha ile imani iliyokua imepotea, ili ukusanye kodi vizuri bila walipakodi kukwepa kodi lazima kwanza uwahakikishie usalama wa mali zao hapo utatengeneza wafanyabiashara wengi na wawekezaji wengi then kodi itafuata tu that's principle nothing less nothing more.
 

tutaomba ulaya au kukopa kwa bakhresa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mbwa wewe kodi itaendelea kukusanywa na watu watalipa kodi
Tofautisha kipindi cha Jiwe alikuwa anatumia Ujambazi kupora watu Fedha kwa Kisingizio cha Kukusanya kaodi
 
wewe budget zaidi ya tr 24 kwa mwaka, makusanyo 1 trl kwa mwezi, jiulize lini budget yetu ilishawahi kujitegemea? tunategemea mikopo, miisaada kukidhi budget elewa hivyo.
 
Historia huwa haidanganyi. Nyerere aliiacha nchi ikiwa na uchumi stbla akaja mwinyi akavurugaaaa, mkapa alivokuja akahangaika uchumi ukakaa sawa, akajamkwere akavurugaaaaaa, Akaja buldozer akasimamisha uchumi vizuri sana haya kaondoka kaja huyu mama. Lazima uchumi utashuka sana tu na tutarudi kwenye nchi ya uchumi wa chini kutoka uchumi wa kati.
Kwenye kodi huwa hakuna kuchekeana lazima kila mtu alipe kodi either kwa hiari au kwa nguvu
 
Pesa zitapatikana iwapo nguvu kubwa itawekezwa kwenye biashara zinazoeleweka na zilipie malipo yao kwa njia ya electronic yaani biashara zote na malipo yote yawe hivyo na umachinga uishie mitaani tu usifike mjini na kwenye center kuwe na biashara halali zinazotambulika na ziwe kwenye mifumo hata Supermarket kubwa na biashara kubwa zipewe kipaumbele na kulindwa.
 
Magufuli was worst president than nyerere
 
umemaliza kila kitu acha acheke na nyani shambani
 
Kwani Bimkubwa amesema kodi isikusanywe?
 
Wewe ni mpumbavu huna hekima,Eti waliokimbilia nchi jirani walikuwa hawalipi kodi,kwa hiyo na huko Kenya na Zambia hawatozi kodi?,Kodi inatozwa Tanzania tu hapa Duniani?
Pathetic kabisa wewe, MUNGU kafanya la maana sana kumchuka mtu wenu alikuwa mkosi kwa Taifa.
Unaandika mada ndefu ya kipumbavu sana
 
Mtoa mada ni zezeta sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…