Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi, tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi?

Mwamba alikua hakusanyi alikua anachukua kwa nguvu sasa mama anaona aibu hawezi kufanya kama mkuu wa malaika
 

Id hii na ya mleta uzi ni Id za mwishoni mwa 2017, what a coincidence! Wote mnaongea vitisho vya aina moja. Ni wapi mama kasema kodi haitakusanywa? Kutaka kodi halali ni kosa? Ni kweli enzi za utawala wa yule mtu muovu tuliona kodi za dhuluma, hilo halina mjadala. Umetaja baadhi ya wafanyabiashara ili kubeba Utetezi wako, kwani kila inapotokea vita watu wote hufariki? Je kutofariki watu wote ni ishara kuwa hakuna vita? Ni hivi, muda wa Utawala wa kidhalimu umefika mwisho, sasa hivi Mtakula vya halali, kama kodi ikikusanywa ya halali mapato yatashuka, huo ndio uhalisia.
 
Mheshimiwa Rais kasema tutumie akili zaidi kuliko nguvu kwenye kukusanya kodi, hilo lina tatizo kwako?! Anajua umuhimu wa kodi na haja sema zisikusanywe, nadhani tuendelee kuchapa kazi!
Tatizo ni kwamba walivyoelewa watu, hiyo ina maanisha hapo awali kuna mtu alikuwa anatumia nguvu kuliko akili katika kukusanya kodi!! Watu bado wanamkumbuka aliyekuwa anahamasisha kukusanya kodi na kudai risiti! wamejisikia vibaya! Watu wanajiuliza ni nani huyo aliyekuwa anatumia nguvu kuliko akili katika kukusanya kodi? Hawawezi kuepuka kuhisi kuwa wampendaye sana mtetezi wa wanyonge ndiye mlengwa wa kauli hiyo (hata kama huenda siyo!). Tukubali kuwa kuna kundi kubwa la watu wameumia!! Ni mapema mno! Ni vizuri kuepuka kutumia kauli tata ambazo zinatoa mwanya wa tafasiri nyingi!!
 
Akili yako imejaa maji mkuu,
 
Kodi ni fedha inayotozwa kwenye vyanzo mbalimbali kwa mujibi wa sheria

Rais kasema anahitaji Kodi halali sio dhulma

Mnyonge hajui madhara wala uchungu wa dhulma kwa kuwa Yeye ni mnyonge ( Maskini) hajui uchungu wa kuporwa chako
 
Kama huamini kuwa Magufuli amekufa Nenda Chato kaone kaburi lake. Acha kutuletea ujinga ujinga usio na kichwa wala miguu. Hotuba ya Samia imetoka Jana tu, wapi kasema hataki watu walipe kodi?
Meko empire bado hawaamini ni kweli utamu ndio umekata ghafla hivyo??kwani walikuwa wanakamua nchi kwa kujifanya wazalendo!!kuna mmoja alijiita mzalendo namba mbili alikuwa board member wa TASAC!!bwana ukimsema meko umetafuta ugomvi , ndio hao waliotumia bilioni moja kwa vikao vya bodi!!!
 
Sikia hujaambiwa kuwa hawatokusanya kodi hapana .
Ila sio watu wakusanye kodi hadi faida ya mwisho ya mfanyabiashara je ukimchukulia yote utakusanya nini tena wakati mwingine?
Kwa hiyo lazima wakusanye kwa haki ,
Pia idadi inayotakiwa naserikali napia hizi sheria zakila saa wanazotumia kuwatesea nazo wafanyabiashara zitolewe watu waishi kwa amani.
Unadhani hata hao watatu wakiwa nayo kwa muda huo itafikia hadi wao wanafunga sasa maana hawapumziki kubanwa hadi tone lamwisho.
Katika biashara unatakiwa uchukue asilimia fulani tu bhana sio hadi kila faida ya mwishooo.
Faida ndio kila kitu katika biashara .
Nitafurahi ikiwa kama zamani .
Sawa tukope tu benki ya dunia shida iko wapi ?
 
Akili za mataga

Nenda kaangalie numbers halafu uje hapa uangalie ulichoandika. Zaidi ya hapo ni chuki binafsi tu
 
Namwonea huruma mpango na maagizo yake kwamba waende wakakusanye kodi na ifikapo Dec wawe wanauwezo wa kikusanya 2 T,,hivi hata 1 T itakuwa shida kwa kila mwezi,
Wimbi la wahindi na wachina kujazana kama expatriate litarudi kwa speed kubwa

Tunakutakia kila la kheri mama yetu
 
Yaani kwenye kodi ANGEWAACHA TRA waka fanya yaooo
 
Kodi ni fedha inayotozwa kwenye vyanzo mbalimbali kwa mujibi wa sheria

Rais kasema anahitaji Kodi halali sio dhulma

Mnyonge hajui madhara wala uchungu wa dhulma kwa kuwa Yeye ni mnyonge ( Maskini) hajui uchungu wa kuporwa chako
unajitekenya pumbavu ni mfanyabiashara gani atalipa kodi kwa kubembelezana
 
Duh! Bashite tena! Mwacheni apumzike.😀
 
Team Jiwe kazini .
 
Ila mataga wa lumumba wamechanganyikiwa kabxa,nmekutana na mmoja anasema kwamba sababu ya voda na tigo kutorudisha huduma ni serkali imewakopa hela za mwez huu kulipa wafanyaka,
 
I chose to be serious kwenda kisukuma na Magu...

Sasa zamu yenu maisha laini... anzeni mazoezi ya kudanga....

Simama atafungua milango kama JK?

Ama hamjuwi mnachoshangili??[emoji16][emoji16]
Na wewe ni zamu yako ya kuwa mdangaji sasa ili uzifaidi hizo 6millions za mawigi
 
Haya maneno ya JK aliendesha nchi vizuri yanatoka kwa chadema waliosemaga tunahitaji Raisi Dikteta (Msigwa)....
Kwani jk alifanyaje! Mbona aliendesha nchi vizuri kushinda jiwe na hakuwakandamiza Sana watu na makodi ya ajabu na ndo aliongoza kuajiri lakini Kodi hakuwa harsh kivile!
 
Mataga safari hii mkishindwa kutaga basi mtaqunya kabisa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…