Endapo Lisu atakuwa Mwenyekiti, Makamu mwenyekiti Heche na Katibu Mkuu awe Lema. Patachimbika!!

Endapo Lisu atakuwa Mwenyekiti, Makamu mwenyekiti Heche na Katibu Mkuu awe Lema. Patachimbika!!

Tutashuhidia maccm yakiomba uraia nchi jirani kukimbia moto wa chadema.

Mungu ibariki chadema.
Wataishia jela na kuwa mwisho wa Chama

Japo akishika madaraka hawezi kutenda anavyowasimulia nyie nyumbu au hamjamsikia akisema atarudi kwenye maridhiano ya kweli?

Yuko wapi Mwabukusi au Bado hujanielewa? 😂😂😂😂
 
Lemma Yuko Smart sana
Angekuwa ana ubavu asingemkimbia Kilawile kwenye Uchaguzi wa Kanda ya Kaskazini.Amepima maji akaona ni marefu.
Hana sifa ya uongozi bali bla bla nyingi.Hata Kilawile amemchana vilivyo Lema alipokuwa akirudisha fomu.
 
Kwa bahati mbaya ama nzuri wote ukiowataja hapo hawajakuwepo kwa press yake jiukize.
 
Mungu asaidie kwa mapenzi yake iwe hivyo. Ikiwa hivyo na kura nitapiga mwakani.
 
Mboe hawezi kutoka hapo. Ww subiri uone lissu atavyoanza kushambuliwa na makamanda. Chadema kuna machawa 78975
 
Back
Top Bottom