Endapo Lisu atakuwa Mwenyekiti, Makamu mwenyekiti Heche na Katibu Mkuu awe Lema. Patachimbika!!

Endapo Lisu atakuwa Mwenyekiti, Makamu mwenyekiti Heche na Katibu Mkuu awe Lema. Patachimbika!!

Naomba atutabirie choice,Luka,Comute,Kiparamuya hao kwanza akimaliza namuongezea wengine.
Hao uliowataja ni wadogo kama uduvi, hata hawajulikani kama ni viumbe hai. Lema anatabiri maisha ya mapapa na makambale
 
Tutashuhidia maccm yakiomba uraia nchi jirani kukimbia moto wa chadema.

Mungu ibariki chadema.
Mafahari hao 3 hawawezi kukaa pamoja!
Heche na Lissu hawana subra kabisa sijui kama wanaweza kuwezana.
Lema atakuwa mburuzwaji na hawezi kukubali.
Ni mtazamo tu
 
Unataka kusema nini? Lisu na Mbowe watapata wapi hela ya kutengenezea madawati wakati hawajawahi kushika dola na kukusanya Kodi.

Samia ndiyo anapaswa kubeba lawama A madawati kwa sasa. Hela za Kodi anazitapanya kujenga Samia zoo, Samia sports center, kuandalia Kizimkazi festival na upuuzi mwingine.
Ni kweli uyasemayo ila sina ushawishi sana na siasa za huko ila hata wapinzani jukumu lao ni kuwabana walioko kwenye madaraka kwa kuyaongelea haya kila wakati
Ndio naona hata siasa za upinzani wa majuu wakifanya hivyo
Wangekuwa wanayasema kila leo haya ya kuwasemea wananchi basi sidhani kama wangekuwa hata na nguvu ya kusema neno
Na wananchi wangesapoti zaidi watetezi
Lakini kusikia wakishikana na kutafuta ukubwa hili ndio tatizo
 
Haahaa kivipi mkuu?
Kuna mwanafalsafa Mmoja aliwai kusema ongea usifike au kakaa kimya usidharaulike ..
Yule jamaa the way ana ropoka ropoka kimihemko,,yah off course inampatia cheap popularity Kwa wajinga wengi, ila Kwa wenye akili timamu ukimskiliza tu unajua hili kopo.
 
Tutashuhidia maccm yakiomba uraia nchi jirani kukimbia moto wa chadema.

Mungu ibariki chadema.

Mzee Mbowe machine na hiyo kazi ya malimbikizo. Toka naenda round 5 mpaka nazeeka naishia round 3 yeye bado tu.
 
Kwani sasa hivi wana madhara gani? Au hivyo vyeo vitawapa nini cha ziada
 
Ni maamuzi tu, kwani ni kanuni ama sheria kwamba kila anayetaka kutangaza Nia ya kugombea umwenyekiti ni lazima atangazie makao makuu?

Huyu mpambanaji Luhaga Mpina vipi naye?
Lisu anaandaliwa na wakatoliki kupambana na Mlutheri Mbiwe.

Maaskofu wa RC humtetea Lisu na wale wa Lutheran humtetea Mbowe.
 
Mafahari hao 3 hawawezi kukaa pamoja!
Heche na Lissu hawana subra kabisa sijui kama wanaweza kuwezana.
Lema atakuwa mburuzwaji na hawezi kukubali.
Ni mtazamo tu
Heche na lissu wanaweza kwa pamoja, wakipangana vizuri, Ccm hawatalala pale Lumumba nakwambia
 
Back
Top Bottom