Endapo Lisu atakuwa Mwenyekiti, Makamu mwenyekiti Heche na Katibu Mkuu awe Lema. Patachimbika!!

Endapo Lisu atakuwa Mwenyekiti, Makamu mwenyekiti Heche na Katibu Mkuu awe Lema. Patachimbika!!

Uongozi sio kupiga makelele na kupinga kila jambo. Chama cha siasa hakina hati miliki ya mtu na kinapaswa kisiwe na chuki dhidi ya watu wa vyama vingine maana muda wowote wanaweza kuhamia chama kutoka chama hiki kwenda kule na kukisaidia chama. Na ieleweke sio kila mtu maarufu anafaa kuwa kiongozi na sio kila mtu maarufu lazima yeye ndio agombee kila nafasi bali unaweza kutumia umaarufu wako kuwapikia kampeni wala unaohisi wamekuzidi wewe kwenye nafas fulani ya uongozi.

Ninachokiona Chadema wao kila mtu maarufu wanadhani anafaa kuwa kiongozi, na wasipoangalia wanaweza kujikuta wanapoteza nafasi yao kwa ACT wazalendo. Let say wakajichanganya 2025 akatokea mgombea mwenye ushawishi from no where akaenda kugombea urais kupitia ACT naamini chadema watakuwa kwenye nafasi mbaya sana Zitto yupo smart anawazoom tu.
 
Back
Top Bottom