Wote ni watawala na si viongozi.Heche na lissu wanaweza kwa pamoja, wakipangana vizuri, Ccm hawatalala pale Lumumba nakwambia
Nahisi wataharibu. Labda mmoja awe katibu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote ni watawala na si viongozi.Heche na lissu wanaweza kwa pamoja, wakipangana vizuri, Ccm hawatalala pale Lumumba nakwambia
Lissu akiwa Mwenyekiti wa Chadema, CCM itamtafuta mgombea Urais Mwanaume mwenye hofu ya Mungu na anayechukia rushwa na ufisadi.Wataishia jela na kuwa mwisho wa Chama
Japo akishika madaraka hawezi kutenda anavyowasimulia nyie nyumbu au hamjamsikia akisema atarudi kwenye maridhiano ya kweli?
Yuko wapi Mwabukusi au Bado hujanielewa? 😂😂😂😂
Chukueni Lisu unganisheni na yeyeote mumtakaye ila hakuna wa kumshinda Samia na ndio Faid wako Hadi 2030 ni utake au usitakeLissu akiwa Mwenyekiti wa Chadema, CCM itamtafuta mgombea Urais Mwanaume mwenye hofu ya Mungu na anayechukia rushwa na ufisadi.
Itakuwa CCM wakikimbia Nchale wakisimama Nchale...😁😆Tutashuhidia maccm yakiomba uraia nchi jirani kukimbia moto wa chadema.
Mungu ibariki chadema.
Vipi anayesifia wanakijani anawajua?Mtu anayesifia chochote kwa lema ni wazi kuwa hamjui
Mkuu, na watu wakisoma coment yako watajua tu kwamba huyu naye kichwani ni kopo pia.Kuna mwanafalsafa Mmoja aliwai kusema ongea usifike au kakaa kimya usidharaulike ..
Yule jamaa the way ana ropoka ropoka kimihemko,,yah off course inampatia cheap popularity Kwa wajinga wengi, ila Kwa wenye akili timamu ukimskiliza tu unajua hili kopo.
au cyo.Mkuu, na watu wakisoma coment yako watajua tu kwamba huyu naye kichwani ni kopo pia.
Kwani na wewe siulisema utakuwa mmoja wa wachukua fomu hapo kwenu halafu unajizugisha hapa?Chukueni Lisu unganisheni na yeyeote mumtakaye ila hakuna wa kumshinda Samia na ndio Faid wako Hadi 2030 ni utake au usitake
Kabla ya CCM, Mbowe na chawa wake wanalikubali hilo?CCM hawawezi ruhusu hilo litokee
Ana haki na sababu ya kutusikiliza wanachama.Kabla ya CCM, Mbowe na chawa wake wanalikubali hilo?
Mkuu, huku kwetu TADEA fomu ni moja tu.Kwani na wewe siulisema utakuwa mmoja wa wachukua fomu hapo kwenu halafu unajizugisha hapa?
Ila kule pori la kijani zitamwagika kama njugu.Mithili ya waenguaji na wasimamizi wakuu.Mkuu, huku kwetu TADEA fomu ni moja tu.
Hata ndio unakosea. Aibu itaenda kutokea maana mbeleko haitakuwepo. Pia CCM haiwezi kufanya makosa kumpa nafasi Mgombea Urais ambae kumnadi ni changamoto kwani hakutakuwa na wizi wa kura. Bora kwenye Uchaguzi uliopita wangefumba macho kuepuka uchafuzi wa uchaguzi. Kwa yaliyotokea kwenye Uchaguzi uliopita wameharibu kabisa maana wamekula na Kipofu wakamshika mkono.Chukueni Lisu unganisheni na yeyeote mumtakaye ila hakuna wa kumshinda Samia na ndio Faid wako Hadi 2030 ni utake au usitake
Yote majanga sisiemu wezi CHADEMA wahuniVipi anayesifia wanakijani anawajua?
Lema ni chawa wa mzee mbowe,Lissu piga chini hii nyumbuTutashuhidia maccm yakiomba uraia nchi jirani kukimbia moto wa chadema.
Mungu ibariki chadema.