Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
hivi karibini Tundu Lisu amesikika na kuonekana kukikosoa na kukilaumu chama chake mwenyewe kwa kukituhumu kwa kulea rushwa ambayo imekithiri kwa sasa, licha ya kwamba na yeye ni miongoni mwa waandamizi muhimu katika uongozi wa juu wa Chama hicho..
haijulikani na haijafahamika wazi ni kwanini ana hofu na anajitenga kana kwamba yeye hahusiki kudhibiti uovu huo chadema bali kuwanyoosha kidole waandamizi wengine chamani hapo...
bila kutaja wahusika na walengwa wa sakata hilo analolilalamikia na pengine hatua anazoshauri au kupendekeza zichukuliwe kuwadhibiti na kudhibiti kushamiri na kukithiri kwa hali hiyo ya rushwa chamani haipo, Lisu ametishia kukihama chama hicho endapo hali hiyo itaendelea..
haijulikani analenga kumkomoa nani..
sasa je,
endapo atatimiza azma yake hiyo ya kuondoka chadema, unadhani ni athari zipi hasa zinazo weza kuikumba chadema?
ama itakua kawaida tu kama ilivyokua baada ya kufukuzwa uongozini na kuvuliwa uanachama akina zito, Prof. kitila na mwigamba?
au itakua kawaida tu kama alivyong'atuka kwa hasira Dr.slaa, Dr.mashinji, Dr Mollel, Silinde, Lijualikali, shibuda, mnjeja, Lembeli, Masha, katambi, Nassari, hayati E G.Lowasa n.k?
unadhani Lisu ana madhara yoyote na kwamba chadema itastuka au kutikisika? kivip kwa mfano 🐒