DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Naweza kusema TL ndo kaibeba chadema Ila chadema haijambeba TL.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aise,Sio rahisi CHADEMA kuathirika sababu misingi yake imejikia kwenye ukanda ,ukabila, na udini
Wengi wanachama wanatoka Kanda ya kaskazini na wamezagaa nchi nzima na ni wengi na hawayumbi misimamo
Pili wengi ni walutheri dini ya mheshimiwa Mbowe hawayumbi
Lisu katokiki ,wakatoliki wengi wako CCM sio Chadema
Ndio maana Hata alipoondoka Slaa mkatoliki Chadema haikuyumba na hata alipoondoka Mchungaji Msigwa ambaye sio Mlutheri ni mbaptisti Chadema haijayumba
Ukanda anaotoka Tundu Lisu Hauna wanachama wengi sana kama Kanda zingine wengi ukanda huo ni CCM
Hivyo kuondoka kwake athari zitakuwa sawa na zero tu
Kifupi Chadema kina wenyewe na Lisu sio mmojawapo wa wenyewe
Uzuri wa Lisu yeye huwa hatengenezi Chawa yeye anahuusiano mzuri na watu wanao jitambua na siku zote anasema yeye atakuwa mtu wa mwisho kuhama CDM kutokana na mahali chama hicho kilipo fikia kwa sasa. Kupata chama kingine chenye mtandao kama CDM kwa sasa si rahisihivi karibini Tundu Lisu amesikika na kuonekana kukikosoa na kukilaumu chama chake mwenyewe kwa kukituhumu kwa kulea rushwa ambayo imekithiri kwa sasa, licha ya kwamba na yeye ni miongoni mwa waandamizi muhimu katika uongozi wa juu wa Chama hicho..
haijulikani na haijafahamika wazi ni kwanini ana hofu na anajitenga kana kwamba yeye hahusiki kudhibiti uovu huo chadema bali kuwanyoosha kidole waandamizi wengine chamani hapo...
bila kutaja wahusika na walengwa wa sakata hilo analolilalamikia na pengine hatua anazoshauri au kupendekeza zichukuliwe kuwadhibiti na kudhibiti kushamiri na kukithiri kwa hali hiyo ya rushwa chamani haipo, Lisu ametishia kukihama chama hicho endapo hali hiyo itaendelea..
haijulikani analenga kumkomoa nani..
sasa je,
endapo atatimiza azma yake hiyo ya kuondoka chadema, unadhani ni athari zipi hasa zinazo weza kuikumba chadema?
ama itakua kawaida tu kama ilivyokua baada ya kufukuzwa uongozini na kuvuliwa uanachama akina zito, Prof. kitila na mwigamba?
au itakua kawaida tu kama alivyong'atuka kwa hasira Dr.slaa, Dr.mashinji, Dr Mollel, Silinde, Lijualikali, shibuda, mnjeja, Lembeli, Masha, katambi, Nassari, hayati E G.Lowasa n.k?
unadhani Lisu ana madhara yoyote na kwamba chadema itastuka au kutikisika? kivip kwa mfano 🐒
kwahiyo kwa IQ yako yale zile sio tuhuma dhidi ya waandamizi wenzake uongozi bali ni maoni 🤣tofautisheni kulalamika na kutoa maoni SHIDA uvccm iko kwenye tafsiri
ila sidhani kama ana mahusiano mazuri na mwenyekiti wake., je, unataka kusema huyo hajitambui?🐒Uzuri wa Lisu yeye huwa hatengenezi Chawa yeye anahuusiano mzuri na watu wanao jitambua na siku zote anasema yeye atakuwa mtu wa mwisho kuhama CDM kutokana na mahali chama hicho kilipo fikia kwa sasa. Kupata chama kingine chenye mtandao kama CDM kwa sasa si rahisi
CHADEMA ni taasisi, unataka Lissu awachukulie vipi hatua hao watu? Shida mmezoea mfumo wa zidumu fikra za mwenyekiti! Hoja yako elekeza kwa chama kama taasisi iwachukulie hatua hao watu ana si Lissu ambaye ni sehemu tu ya taasisi hiyo, yeye kwa upande wake kachukua hatua hiyo ya kukemea na kukishtua chama kuwa kuna mambo meusi nyuma ya pazia. Ni jukumu la taaisis kupitia idara zake kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wahusika.anaaminika kwa lipi wakati hana ujasiri wa kuwachukulia hatua wala rushwa chadema?
anabweka bweka tu nje sasa sijui anambwekea nani [emoji205]
Uko sahihi, kasoro kwenye udini tu...Sio rahisi CHADEMA kuathirika sababu misingi yake imejikia kwenye ukanda ,ukabila, na udini
Wengi wanachama wanatoka Kanda ya kaskazini na wamezagaa nchi nzima na ni wengi na hawayumbi misimamo
Pili wengi ni walutheri dini ya mheshimiwa Mbowe hawayumbi
Lisu katokiki ,wakatoliki wengi wako CCM sio Chadema
Ndio maana Hata alipoondoka Slaa mkatoliki Chadema haikuyumba na hata alipoondoka Mchungaji Msigwa ambaye sio Mlutheri ni mbaptisti Chadema haijayumba
Ukanda anaotoka Tundu Lisu Hauna wanachama wengi sana kama Kanda zingine wengi ukanda huo ni CCM
Hivyo kuondoka kwake athari zitakuwa sawa na zero tu
Kifupi Chadema kina wenyewe na Lisu sio mmojawapo wa wenyewe
Chadema bila Lissu ni joka lisilo na sumu.I guess, nje ya Chadema the gentleman is completely useless [emoji205]
mbao zenyewe zipo basi, ni ujuaji na midomo tu ndio inawapa kiburi na jeuri, lakini hakuna hata cha kugawana pale chadema, ofisi yenyewe ni ya kupanga lakini imechakaa balaa 🐒Kama vipi wagawane mbao ili kila mtu akajenge anakoona kuna mfaa.
taasisi gani sasa haina umoja wa kujadili na kuchukua hatua dhidi ya dosari na kasoro zinazofanywa na waandamizi wake, zinazoichafua image na heshima ya taasisi yenyewe kwa umma?CHADEMA ni taasisi, unataka Lissu awachukulie vipi hatua hao watu? Shida mmezoea mfumo wa zidumu fikra za mwenyekiti! Hoja yako elekeza kwa chama kama taasisi iwachukulie hatua hao watu ana si Lissu ambaye ni sehemu tu ya taasisi hiyo, yeye kwa upande wake kachukua hatua hiyo ya kukemea na kukishtua chama kuwa kuna mambo meusi nyuma ya pazia. Ni jukumu la taaisis kupitia idara zake kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wahusika.
Tena vigogo kuliko Lissu. Mimi namuunga sana mkono ila Kwa hili atakuwa naye kalamba anazugaItakuwa kawaida tu kama alivyong'atuka kwa hasira Dr.slaa, Dr.mashinji, Dr Mollel, Silinde, Lijualikali, shibuda, mnjeja, Lembeli, Masha, katambi, Nassari, hayati E G.Lowasa n.k
Simple mind discuss ....Athari number moja ni kwamba ccm watajitathmini kwa kuwa vivuruge wa vyama vingine...
Sijui ni kwa nini hizi thread za Lissu zimezidi sana humu ndani sana, hii ni athari nyingine ya huyu Lissu, atakuwa "font peji" sana kitu ambacho hata ccm hawataki...tunajadili sana watu badala ya sera zitakazo tukwamua hapa tulipo kwenda mbele...
Sera ni propaganda tu hazina ukweli wowote zimetungwa kuwarubuni wapumbavu....Athari number moja ni kwamba ccm watajitathmini kwa kuwa vivuruge wa vyama vingine...
Sijui ni kwa nini hizi thread za Lissu zimezidi sana humu ndani sana, hii ni athari nyingine ya huyu Lissu, atakuwa "font peji" sana kitu ambacho hata ccm hawataki...tunajadili sana watu badala ya sera zitakazo tukwamua hapa tulipo kwenda mbele...