Endapo Tundu Lissu akiamua kuondoka CHADEMA, ni athari zipi zinazoweza kuikumba?

Sijui umaarufu wa huyu Mheshimiwa, lipi aliwahi kufanya likashtua watu mbali ya ile kushambuliwa?
huenda ni haya ya kutuhumu viongoz waandamizi wenzake pembeni kwa rushwa ,kwenye chama chake mwenyewe na kutishia kuhama chama hicho , ndilo linawafanya wengi wa wafuasi wake wamuone ni jasiri na ni kiongozi muhimu 🐒
 
ila sidhani kama ana mahusiano mazuri na mwenyekiti wake., je, unataka kusema huyo hajitambui?🐒

na kama ana mahusiano mazuri mbona aende kubweka bweka huko kwa wananchi kuhusu rushwa inayotembea uongozini, na asiende kushauriana nae hatua za kuchukua na mbinu za kudhibiti hali hiyo?

na ana mtishia nani sasa kuihama chadema?🤣
Viongozi wa vyama vya upinzani kuchukua Rushwa hawajaanza leo. Na si jambo geni kwa siasa za Tanzania. Rushwa mimi nasema wachukue na wazile kwa sababu ni jasho lao ila wabaki na msimamo ule ule
 
hivi karibini Tundu Lisu amesikika na kuonekana kukikosoa na kukilaumu chama chake mwenyewe kwa kukituhumu kwa kulea rushwa ambayo imekithiri kwa sasa, licha ya kwamba na yeye ni miongoni mwa waandamizi muhimu katika uongozi wa juu wa Chama hicho..

haijulikani na haijafahamika wazi ni kwanini ana hofu na anajitenga kana kwamba yeye hahusiki kudhibiti uovu huo chadema bali kuwanyoosha kidole waandamizi wengine chamani hapo...

bila kutaja wahusika na walengwa wa sakata hilo analolilalamikia na pengine hatua anazoshauri au kupendekeza zichukuliwe kuwadhibiti na kudhibiti kushamiri na kukithiri kwa hali hiyo ya rushwa chamani haipo, Lisu ametishia kukihama chama hicho endapo hali hiyo itaendelea..

haijulikani analenga kumkomoa nani..

sasa je,
endapo atatimiza azma yake hiyo ya kuondoka chadema, unadhani ni athari zipi hasa zinazo weza kuikumba chadema?

ama itakua kawaida tu kama ilivyokua baada ya kufukuzwa uongozini na kuvuliwa uanachama akina zito, Prof. kitila na mwigamba?

au itakua kawaida tu kama alivyong'atuka kwa hasira Dr.slaa, Dr.mashinji, Dr Mollel, Silinde, Lijualikali, shibuda, mnjeja, Lembeli, Masha, katambi, Nassari, hayati E G.Lowasa n.k?

unadhani Lisu ana madhara yoyote na kwamba chadema itastuka au kutikisika? kivip kwa mfano 🐒
Chama chchochote kikianzishwa na kusajiliwa kinakuwa taasisi ya umma kwa hiyo chama sio mtu watu mashuguli na maarufu wanakuja wanapita lakini chama kipo

Hivyo hata Lisu akiondoka hakuna impact yoyoyote itakayotokea kwenye chama ikumbukwe kuwa hakuna mtu aliyekuwa na ushawishi mkubwa kwenye CHADEMA kama BAROZI aliyevuliwa ubarozi Slaa lakini aliondoka chama kikaendelea kuwa imara akiubuka Tundu

Hivyo hata Tundu akiondoka wataibuka kina Wenje
 
Ilitakiwa ujiulize " IKIWA CCM HAWATOIBA KURA KUPITIA POLISI NA WASIMAMIZI NA IKAUNDWA TUME HURU YA UCHAGUZI NINI KINTAWAKUTA CCM".....
 
Lisu anakemea rushwa ndani ya chadema🤔🤔🤔.
Lisu ni mkweli au hawampi mrungala
 
kwahiyo,
kama kiongozi muandamizi, Lisu yupo chadema kwaajili ya kukemea rushwa ndani ya uongozi wa chama chake ambae nae ni miongoni mwao, right?🤣

kwakweli ni mkweli ila ni muoga sijawahi kuona mwanaume muoga kama huyo mjamaa, dah!!

rushwa inatembea ndani ya chama chake anakimbilia kusema kwa wananchi badala ya kuchukua hatua? 🤣
 
hivi karibini Tundu Lisu amesikika na kuonekana kukikosoa na kukilaumu chama chake mwenyewe kwa kukituhumu kwa kulea rushwa ambayo imekithiri kwa sasa, licha ya kwamba na yeye ni miongoni mwa waandamizi muhimu katika uongozi wa juu wa Chama hicho..

haijulikani na haijafahamika wazi ni kwanini ana hofu na anajitenga kana kwamba yeye hahusiki kudhibiti uovu huo chadema bali kuwanyoosha kidole waandamizi wengine chamani hapo...

bila kutaja wahusika na walengwa wa sakata hilo analolilalamikia na pengine hatua anazoshauri au kupendekeza zichukuliwe kuwadhibiti na kudhibiti kushamiri na kukithiri kwa hali hiyo ya rushwa chamani haipo, Lisu ametishia kukihama chama hicho endapo hali hiyo itaendelea..

haijulikani analenga kumkomoa nani..

sasa je,
endapo atatimiza azma yake hiyo ya kuondoka chadema, unadhani ni athari zipi hasa zinazo weza kuikumba chadema?

ama itakua kawaida tu kama ilivyokua baada ya kufukuzwa uongozini na kuvuliwa uanachama akina zito, Prof. kitila na mwigamba?

au itakua kawaida tu kama alivyong'atuka kwa hasira Dr.slaa, Dr.mashinji, Dr Mollel, Silinde, Lijualikali, shibuda, mnjeja, Lembeli, Masha, katambi, Nassari, hayati E G.Lowasa n.k?

unadhani Lisu ana madhara yoyote na kwamba chadema itastuka au kutikisika? kivip kwa mfano 🐒
Ninacho mkubali lissu ana dictate matakwa yake kwa namna ambayo mbowe break hazikabi analazimika hata kama hataki
 
chairman hanaga mbambamba na makelele au mayowe ya mwenye kujifanya mtakatifu kumbe ni puppet tu🐒,

maskini mtu wa watu anapuuzwaga abweke weeee awezavyo, huku waandamizi wenzie kama vile hawamskii 🤣

jamaa mpaka anaamua kuacha tu mwenyewe na kupoa...
mbinu ya maudhi sana anafanyiwa mtu wa watu, maskini dah!🐒
 
kwahiyo,
kama kiongozi muandamizi, Lisu yupo chadema kwaajili ya kukemea rushwa ndani ya uongozi wa chama chake ambae nae ni miongoni mwao, right?🤣

kwakweli ni mkweli ila ni muoga sijawahi kuona mwanaume muoga kama huyo mjamaa, dah!!

rushwa inatembea ndani ya chama chake anakimbilia kusema kwa wananchi badala ya kuchukua hatua? 🤣
Lisu hataki rushwa,ila mwenyekiti wake anakula rushwa.
Hapo lazma pachimbike.
 
Kwa kiasi kikubwa Chama kitatikisika!
Popularity ya Lissu ni kubwa kwa jinsi ambavyo anafumbua macho wananchi na kuwaelimisha kuhusu haki zao za kikatiba.
 
Hizi ndizo mada za maFisiemu (Cha cha Pwani) kujadili tu watu, badala ya kujadili sera za chama na utekelezqji wa miradi na shughuli za kimaendeleo. 🗑🚮
 
upinzani ili kuitioa chama tawala ni lazima waunganike, na siyo..UKAWA ili kuwa katika njia saa hii sema ubanafsi ili vunja ule muunganiko....kuhu lissu na chadema, mie chadema sija wahi kuona kama wapinzani wa kweli na lissu ana pambana kubadilisha mfumo huo. Nadhani akiondoka chadema ita kuwa mwisho kwake na siasa,labda attanizisha chama chake...Sema nafasi serikalini hato kosa
 
hivi karibini Tundu Lisu amesikika na kuonekana kukikosoa na kukilaumu chama chake mwenyewe kwa kukituhumu kwa kulea rushwa ambayo imekithiri kwa sasa, licha ya kwamba na yeye ni miongoni mwa waandamizi muhimu katika uongozi wa juu wa Chama hicho..

haijulikani na haijafahamika wazi ni kwanini ana hofu na anajitenga kana kwamba yeye hahusiki kudhibiti uovu huo chadema bali kuwanyoosha kidole waandamizi wengine chamani hapo...

bila kutaja wahusika na walengwa wa sakata hilo analolilalamikia na pengine hatua anazoshauri au kupendekeza zichukuliwe kuwadhibiti na kudhibiti kushamiri na kukithiri kwa hali hiyo ya rushwa chamani haipo, Lisu ametishia kukihama chama hicho endapo hali hiyo itaendelea..

haijulikani analenga kumkomoa nani..

sasa je,
endapo atatimiza azma yake hiyo ya kuondoka chadema, unadhani ni athari zipi hasa zinazo weza kuikumba chadema?

ama itakua kawaida tu kama ilivyokua baada ya kufukuzwa uongozini na kuvuliwa uanachama akina zito, Prof. kitila na mwigamba?

au itakua kawaida tu kama alivyong'atuka kwa hasira Dr.slaa, Dr.mashinji, Dr Mollel, Silinde, Lijualikali, shibuda, mnjeja, Lembeli, Masha, katambi, Nassari, hayati E G.Lowasa n.k?

unadhani Lisu ana madhara yoyote na kwamba chadema itastuka au kutikisika? kivip kwa mfano 🐒
Sidhani kama Lisu anaweza kuondoka CDM kwa sasa pamoja na kusema CDM siyo baba yake, kuna Fedha nyingi sana ambazo Lisu anasema zimeingizwa CDM kutoka chama tawala na Aliye zitoa hizo fedha Alimuonyesha na list ya watu waliopokea na kiasi cha Fedha walizopokea ingawa hakumtaja wazi wazi kiongozi Wa CDM aliye mleta huyo mtu wa kumuhonga nyumbani kwake lakini anasema ni msamaria mwema na ni mtu mwenye wadhifa mkubwa tu CDM. Yeye mgao wake hakuchukua ila alitaka mgao wake ulipwe kwa mgongo wa fedha za matibabu, akaambiwa apeleke madai yake. Yote kwa yote angeweza kupewa hiyo rushwa kwa Mgongo wa fedha ya matibabu na mafao yake yake ya ubunge lakini kwa ujumla hizi fedha hazitoki hivi hivi tu mpaka ucomply matakwa ya anaye zitoa nadhani Lisu hakukubaliana na hilo ndiyo maana mgao wake hajapata mpaka sasa. Kwahiyo, Fedha kweli anataka kama wezake walivyo zichukua ila hataki ziwe na masharti hapo ndipo patamu, Angependa siku moja atangazwe kuwa ni mmoja wa watakatifu ktk kanisa lake Katholikii,.Mifumo ya dunia hii usipoweza kwenda nayo hata yaMbinguni ni migumu sana kuingia, unapaswa kuwa mjanja na trick nyingi sana, Mwenake Mbowe na wakina Zito wanazidi kughara na kuwa vizuri siku kwa siku kwakuwa wanajua kula na vipofu. Mimi ni mshauri Lisu akombe hizo fedha za shetani, kisha Aendelee kufanya kazi ya Mungu kwani Dunia na vyote vijazavyo ni mali ya Mungu. Fedha hizo kama zipo vizuri yeye akombe tu zitamsaidia hata kwrnye kampeni mwaka kesho, we Komb a tu, Watanzania wenyewe unao watetea hawajielewi Wewe fedha yoyote inayokuja kwako wewe kwala tu ukombozi hapa nchini kwetu bado sana.
 
Back
Top Bottom