CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Siyo Chadema tu itaathirika bali hata CCM. Tuhuma zilizopo ni kuwa CCM inatumia mabilioni kuwahonga badhi ya viongozi wa Chadema wahamie CCM, na Lissu ni mwana sheria sidhani kama ametoa madai tupu yasiyo na ushahidi usio tia shaka, kabla hajaondoka ataumwaga hadharani na ndiyo hapo watu wengi watakosa imani na CCM.Najua kwenye uchaguzi CCM itapeta kwa mbinu halali naharamu lakini image yake na serikali yake kimataifa itakuwa imechafuka sana.