Endapo Tundu Lissu akiamua kuondoka CHADEMA, ni athari zipi zinazoweza kuikumba?

aise,
mbona umefunguka mambo mazito ya ukweli yasiyopenda kuzungumzwa na kusikika kwenye jamii gentleman 👊💪
 
Uzuri wa Lisu yeye huwa hatengenezi Chawa yeye anahuusiano mzuri na watu wanao jitambua na siku zote anasema yeye atakuwa mtu wa mwisho kuhama CDM kutokana na mahali chama hicho kilipo fikia kwa sasa. Kupata chama kingine chenye mtandao kama CDM kwa sasa si rahisi
 
tofautisheni kulalamika na kutoa maoni SHIDA uvccm iko kwenye tafsiri
kwahiyo kwa IQ yako yale zile sio tuhuma dhidi ya waandamizi wenzake uongozi bali ni maoni 🤣

maoni ya makamu mwenyekiti yaliyoambatana na vitisho vya kukihama chama 🤣

atapuuzwa tu kama awali
 
ila sidhani kama ana mahusiano mazuri na mwenyekiti wake., je, unataka kusema huyo hajitambui?🐒

na kama ana mahusiano mazuri mbona aende kubweka bweka huko kwa wananchi kuhusu rushwa inayotembea uongozini, na asiende kushauriana nae hatua za kuchukua na mbinu za kudhibiti hali hiyo?

na ana mtishia nani sasa kuihama chadema?🤣
 
anaaminika kwa lipi wakati hana ujasiri wa kuwachukulia hatua wala rushwa chadema?

anabweka bweka tu nje sasa sijui anambwekea nani [emoji205]
CHADEMA ni taasisi, unataka Lissu awachukulie vipi hatua hao watu? Shida mmezoea mfumo wa zidumu fikra za mwenyekiti! Hoja yako elekeza kwa chama kama taasisi iwachukulie hatua hao watu ana si Lissu ambaye ni sehemu tu ya taasisi hiyo, yeye kwa upande wake kachukua hatua hiyo ya kukemea na kukishtua chama kuwa kuna mambo meusi nyuma ya pazia. Ni jukumu la taaisis kupitia idara zake kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wahusika.
 
Uko sahihi, kasoro kwenye udini tu...

Kwenye ukanda na ukabila uko sahihi...

Tazama wanaomtetea Mbowe wanatoka wapi, then rudi kwa wanachadema wanaomtetea Lissu utapata jibu...

Huwa najaribu kuwakumbusha kina ery... kwamba chama si chao ila wagumu kuelewa...
 
Kama vipi wagawane mbao ili kila mtu akajenge anakoona kuna mfaa.
mbao zenyewe zipo basi, ni ujuaji na midomo tu ndio inawapa kiburi na jeuri, lakini hakuna hata cha kugawana pale chadema, ofisi yenyewe ni ya kupanga lakini imechakaa balaa 🐒
 
taasisi gani sasa haina umoja wa kujadili na kuchukua hatua dhidi ya dosari na kasoro zinazofanywa na waandamizi wake, zinazoichafua image na heshima ya taasisi yenyewe kwa umma?

au waandamizi wanaogopana na hawaelewani?

kwahiyo kuripoti tuhuma za rushwa za taasisi yako kwa umma ndio kunasaidia nini sasa, zaidi ya kuipambanua tu vizuri kwamba taasisi yako ni vinara wa masuala ya rushwa na hamna hatua tutachukua dhidi ya yeyote aliye husika, na endapo itatokea tena nitakuja kuwaambia ndugu wananchi, si ndio?🐒
 
Chadema bila Lissu ni joka lisilo na sumu.
Lissu nje ya Chadema ataaminika zaidi na kujijenga vema bila "udhibiti" wa chama.
anaogopa sana kutoka chadema akihofia, kwamba akipata shida atachangiwa na nani? 🐒
 
Itakuwa kawaida tu kama alivyong'atuka kwa hasira Dr.slaa, Dr.mashinji, Dr Mollel, Silinde, Lijualikali, shibuda, mnjeja, Lembeli, Masha, katambi, Nassari, hayati E G.Lowasa n.k
Tena vigogo kuliko Lissu. Mimi namuunga sana mkono ila Kwa hili atakuwa naye kalamba anazuga
 
Simple mind discuss ....
 
Sijui umaarufu wa huyu Mheshimiwa, lipi aliwahi kufanya likashtua watu mbali ya ile kushambuliwa?
 
Sera ni propaganda tu hazina ukweli wowote zimetungwa kuwarubuni wapumbavu....
 
Kwangu Mimi namuona Mh.Lissu kwa sasa ndio mtu aliebeba taswira ya upinzani wa kweli ktk nchi hii. Hivyo kuondoka kwake kutawavunja moyo sanaaaa watu ambao Bado tunaimani kubwa na upinzani ( japo lissu hawezi kuondoka lkn hata akiondoka hawezi kwenda CCM hasirani)

Kwa sasa nchi hii hakuna mpinzani anae aminika kama lissu hivyo kama ikitokea akandoka chadema impact yake itakuwa ni kubwa sanaa kiasi kwamba upinzani itabidi uanze upya.

Na Mimi naamini ktk vitu ambavyo CCM wanaviombea ni kusikia lissu kakihama chama chake, huyu mtu anamisimamo isiyoyumba sasa watawala hawawataki watu wa namna hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…