Endapo Tundu Lissu akiamua kuondoka CHADEMA, ni athari zipi zinazoweza kuikumba?

Siyo Chadema tu itaathirika bali hata CCM. Tuhuma zilizopo ni kuwa CCM inatumia mabilioni kuwahonga badhi ya viongozi wa Chadema wahamie CCM, na Lissu ni mwana sheria sidhani kama ametoa madai tupu yasiyo na ushahidi usio tia shaka, kabla hajaondoka ataumwaga hadharani na ndiyo hapo watu wengi watakosa imani na CCM.Najua kwenye uchaguzi CCM itapeta kwa mbinu halali naharamu lakini image yake na serikali yake kimataifa itakuwa imechafuka sana.
 
Hiyo ndo demokrasia...demokrasia siyo kumziba mtu mdomo. Lissu anao uhuru wa kutoa maoni yake kama kiongozi na mwanachama, ila katika hili Lissu ametahadharisha wanachama kuwa makini na pesa chafu zinazosabazwa na vibaraka wa mbogamboga na kama una D 2 utagundua kuwa lengo lilikuwa kuwafikishia ujumbe mbogamboga kuwa mchezo wanaocheza umejulikana! Kuna wakati huhitaji nguvu nyingi kuchanganua mambo.
 
anaogopa sana kutoka chadema akihofia, kwamba akipata shida atachangiwa na nani? [emoji205]
Huwa anachangiwa na Chadema au wananchi? Alafu hana shida hizo kama wewe, anajimudu vizuri sana yule. Pia hao wanaochanga atahama nao maana matumaini yao yapo kwake.
 
Huwa anachangiwa na Chadema au wananchi? Alafu hana shida hizo kama wewe, anajimudu vizuri sana yule. Pia hao wanaochanga atahama nao maana matumaini yao yapo kwake.
angekua anajiamini na kujimudu asingekua anababaika pembeni kwa woga namna ile πŸ’
 
demokrasia ya kuchochea migawanyiko na mipasuko kwenye taasisi moja right?πŸ’

ndio maana hiki chama kina husishwa na ubinafsi, kwamba ni cha mtu binafsi, ndio mambo haya unayoyatetea...

eti kumziba mdomo 🀣

kila mtu humu nchini yuko huru kujieleza na hakuna wa kumziba mdomo mwingine kwa mujibu wa katiba....

kinachoshangaza ni muandamizi kulalamikia uovu nje ya uongozi anao ulalamikia, na eti anamtishia kabisa kukihama chama 🀣
 
Lissu akili kubwa, alilenga ujumbe uwafikie wafadhiri wahizo pesa na kweli milio imeanza kusikika!
 
🀣sasa ndio kiongozi gani huyo tena mwanasheria mbobevu 🀣

eti ana ushahidi usio na shaka,
sasa kama anao, akiutaja au akibaki nao itamsaidia nni bila kuchukua hatua?πŸ’

ama kweli uoga wako ndio umakini wako, uoga na unyonge ni kitu mbaya sana aiseπŸ’
 
Timing tu. Atakapolimwaga segere ndiyo utaelewa, kwa sasa unaweza ukadharau na kukejeli .
 
Lissu akili kubwa, alilenga ujumbe uwafikie wafadhiri wahizo pesa na kweli milio imeanza kusikika!
akili kubwa ya kubweka bweka pembezoni mwa nyumbani, right?πŸ’

awali alipuuzwa na bilashaka atapuuzwa vilivyo tena πŸ’
 
Mngempuuza msingeanzisha uzi. Sindano imegusa mfupa.
wabobevu hatuwezi kuacha kitia neno wala kukaa kimya kwasabb yoyote ile,
ndio sababu tumeenda shule,

kiongozi muandamizi huyu ni miongoni mwa viongoz waoga na dhaifu sana aise dah πŸ’
 
Kumbe huwa anababaika!? Binafsi sijawahi kuona. Siwezi kupinga ulichoandika maana wewe ndo mkewe unayajua mengi tusiyoyajua.
anababaika sana na ana bweka bweka mno halafu mwishowe anapuuzwa anabaki na woga wake 🀣
 
wabobevu hatuwezi kuacha kitia neno wala kukaa kimya kwasabb yoyote ile,
ndio sababu tumeenda shule,

kiongozi muandamizi huyu ni miongoni mwa viongoz waoga na dhaifu sana aise dah [emoji205]
Mnapotezaje muda na kiongozi dhaifu? Kwanini msimshambulie Lipumba au Zitto ambao kwenu ni viongozi shupavu!?
Sindano imegusa mfupa.
 
Mnapotezaje muda na kiongozi dhaifu? Kwanini msimshambulie Lipumba au Zitto ambao kwenu ni viongozi shupavu!?
Sindano imegusa mfupa.
🀣 kwenye ukweli sio sula la kupoteza muda, ni kuwekana sawa tu kitaalamu,

unaelewa upepo wa political dynamics saa zingine ukimzonga mwanasiasa vizuri anakua useless kabisa kama huyo muungwana πŸ’
 
kwahiyo Imani yako ni kwa mtu binafsi ambae ni Lisu, na sio kwa upinzani kama Taasisi, right?πŸ’
 
Sera ni propaganda tu hazina ukweli wowote zimetungwa kuwarubuni wapumbavu....
wakati huo muerevu umekaa pembeni unapiga myayo tu nyuma ya keyboard 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…