Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
So what, peleka timu uwanjaniPorojo tu
Cinema ilichezwa tarehe nane kati ya Bodi ya Ligi na KoloWacheze mipira waache cinema
Bodi wapange tarehe ya mechi tuone kama Yanga watagoma kucheza.Mwanzo nilidhani hili jambo litakuwa rahisi kwa Yanga kukubali kucheza mechi bila kufikia hatua hizi, lakini ukimsikiliza kwa umakini Hersi Yanga bado wanasimamia msimamo wao. Hii suala kila siku linazidi kuwa gumu, nadhani TFF na Bodi ya ligiwa wamejifunza.
Wanatafuta vilainishi vya wanachama tu. Dabi ipo, ngoja waendelee na sinema kwanzaViongozi wa Klabu ya Yanga SC wamehitimisha kikao chao na serikali kilichofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili masuala muhimu kuhusu hatma ya dabi ya Kariakoo.
Baada ya kikao, Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said, aliwahakikishia wanachama kuwa uongozi wa klabu upo imara na utaendelea kupigania maslahi yao.
"Tumefikisha ujumbe wetu tuliokuwa nao kwa Waziri, na niwahakikishie wanachama wa Yanga viongozi wao ni imara na tunapigania maslahi ya klabu yetu" -Eng. Hersi
Kwa upande wa Makamu wa Rais wa Yanga Arafat Ally Haji baada ya kikao kizito kati yao Serikali, Bodi ya Ligi pamoja na Shirikisho la Mpira Nchini TFF ametoa neno lake moja juu ya kilichoendelea kwenye Kikao hicho kwa Wanachama na Mashabiki wa Yanga.
Hapo yanga si ndiyo wataenda CAS,na mambo yalivyo,watashindaBodi wapange tarehe ya mechi tuone kama Yanga watagoma kucheza.
Nawashauri Bodi waifanye hii mechi kuwa ya mwisho mwisho mwisho wakati Yanga wamejikusanyia pointing za kutangaza ubingwa. Hapo tutaona jeuri ya Yanga, wasitokee uwanjani halafu taratibu zote zifuatwe na Simba wapewe ushindi wa chee, Yanga watakatwa pointi 15 kwa kutokwenda uwanjani ndipo watapoutema ubingwa rasmi.
Vv