Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Baada ya mlango kupigwa kasia...Mlango ulofunguliwa na air hostess na Eng akaushika for 60m ni huo au mwingne.Tuujue kwanza huo mlango ni upi ili tuchambue kasia Vs dakika 60View attachment 2417394
Na sasa anamdondosha kwa hizi Kejeli ?#MASWALI ni mengi.Naamin wapo weng walioplay key role kweny kuokoa watu ila ni mungu aliamua kumuinua majaliwa [emoji120][emoji120][emoji120]
Koplo mwenyewe ana kinundu...Chama kimeshika hatamu....kwa hisani ya Majaliwa. Na sasa analindwa na koplo mzima.
Sio sahihi kumuita TP kwani kwa machache aliyoshiriki hapo inatosha kabisa.Ha ha ha haaaa....
Ila logically inawezekana yeye alikuwa anagonga gonga kumbe ndani tayari wanafungua hence yeye kudhani ndio amefungua kumbe umefunguliwa na mwingine... (wala hapo sioni tatizo)
Nadhani tatizo hili limetokea kwa Serikali kujifanya wajuaji na wana-uchungu sana wa kuwakumbuka na kuwazawadia hawa ndugu zetu wakati huenda wangewakusanya wote waliohusika kwa kuwapa hata mkono wa pongezi..., after all watu wengine sio kwamba wanahitaji hata kulipwa (sababu hapo hawakuwa kazini na walifanya ubidanamu) bali wanahitaji tu appreciation kwa walichofanya...
Just imagine kama dogo alifanya hata machache mengine akaongezea chumvi ili aonekane RAMBO, sasa kuanza kumuita Tapeli huoni inaleta ukakasi kidogo....
Pressure ndege irukapo angani nikubwa mno sasa kama "KASIA" moja tu mlango wazi... iko haja ya kususia huu usafiri aisee...Mungu humwinua huyu na kumshusha yule. Hongera MAJALIWA maana Mungu amekuinua.
Sidhani kama watu wanafanya uzalendo wema sababu walipwe....Serikali pia siyo ya kuilaumu kwani imefanya hivyo kuencourage vitendo vya kizalendo kwa jamii.
Kwahio ukiona sehemu unasikia kuna Bomu au gari limeanguka watu wakimbilie pale kutaka kuokoa (kuwa heroes) wakati huenda kufanya hivyo kunaongeza hatari kwao na kuwapa shida wataalamu ?Sasa ipo wazi kwamba ukifanya jambo heroic kwa Taifa you will be rewarded accordingly.
Me nilipokaskia hako katoto kanasema kalizamia kakamwona ruban akakapa ishara kavunje kioo mara kakampungia mkono nkastuka hee kumbe ukizama kwenye maji ukifumbua macho unaona [emoji15]hii nchi tunadharauliana mno[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ni Injinia ana proffesion yake, hiyo milion tano ni ndogo sana kwake na ajira ya zima moto haiendani na taaluma yake, he is better than that
Tuukubali ukweli kwamba Majaliwa anatumika kisiasa
Binadam hashushwi na watu wala hapandishwi na watu.Ni mung ndo yupo kazin,majaliwa kuanza kuonekana ni muongo hii inachochewa na waliochukua upande mapema wa wivu juu ya majaliwa.Unajua watanzania tunasafar ndef sana ya kwend.Tuna ujinga wa kumshusha huyu ili apande huyu ni AKILI MBOVU KABISA.Yeah ni kwel serikal imekosea kumsort majaliwa pekee kwa fikra za kibinadam lakin ata hao waokozi wengne wamepata kile mungu wao ametaka wakipate.Nashkur wamepewa pesa ila tatizo lililopo ni WHY MAJALIWA APATE ZAID YAO hili ni swali lililopo vichwani mwa watanzania wasioelewa UFANYAJI KAZ WA MUNGU.Hao wengne itafika wakati wao kuinuliwa wawe na subiraNa sasa anamdondosha kwa hizi Kejeli ?
Hizi ni Blunder walizofanya Serikali kuweka monetary value katika haya mambo ya kiungwana na kufanya haraka haraka, ndio yameleteleza yote haya...., Wote wangekumbukwa kwa kazi nzuri na hata rubani ambaye sasa hivi hayupo na Serikali ipokee lawama zake kwa uzembe.....
Kila mvuvi aliyesogea pale ni shujaa sababu kwa layman unasogea tu hujui kwamba dude linaweza kulipuka au kuzama wakati umo ndani unahitaji kuwa na roho ya upendo (kama tulivyo watanzania wengi huku uraiani);
Huyu dogo katupiga za chembe kaka... refa naye kakimbilia kuhesa hadi 10 kabla hatujaanguka...game kaputi....Me nilipokaskia hako katoto kanasema kalizamia kakamwona ruban akakapa ishara kavunje kioo mara kakampungia mkono nkastuka hee kumbe ukizama kwenye maji ukifumbua macho unaona [emoji15]hii nchi tunadharauliana mno[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Binadam hashushwi na watu wala hapandishwi na watu.Ni mung ndo yupo kazin,
Mkuu hapo umejipinga mwenyewe....majaliwa kuanza kuonekana ni muongo hii inachochewa na waliochukua upande mapema wa wivu juu ya majaliwa.Unajua watanzania tunasafar ndef sana ya kwend.Tuna ujinga wa kumshusha huyu ili apande huyu ni AKILI MBOVU KABISA.
Kwahio Mungu ndio anagawa pesa huyu apate hizi na yule apate kile..., Na ili Majaliwa aje apate pesa kaleta hii ajali ili Majaliwa ndio aokoe na kupata pesa ?Yeah ni kwel serikal imekosea kumsort majaliwa pekee kwa fikra za kibinadam lakin ata hao waokozi wengne wamepata kile mungu wao ametaka wakipate.Nashkur wamepewa pesa ila tatizo lililopo ni WHY MAJALIWA APATE ZAID YAO hili ni swali lililopo vichwani mwa watanzania wasioelewa UFANYAJI KAZ WA MUNGU.Hao wengne itafika wakati wao kuinuliwa wawe na subira
hizo mbwembwe tu, kwa Kasia la Afande Maja hamna kitu hapo.
...kausheni bwanamdogo ale hata mshahara mmoja, hii ni keki ya Taifa tusimfanyie figisu kwenye kitumbua chake.Eng Victor amesema baada ya Ndege ya Precision Air kuanguka alijaribu mara 3 kufungua mlango Bila mafanikio ndipo akaja Muhudumu wa Ndege na kubonyeza mahali mlango ukafunguka
Victor anasema muda wote wa Uokoaji alikuwa ameuzuia mlango kwa mkono takribani Dakika 40-60 na baada ya kuhakikisha Watu wote wametoka aliuachia mlango Ukajifunga kwa sababu ni wa hydroulic
Kabla sijauachia mlango nilimtuma mvuvi mmoja " mdogo mdogo hivi" aokoe mabegi yanayoelea ndani ya Ndege na anitafutie na begi langu lakini begi langu hakuliona
Victor anasema anajisikia maumivu ya hapa na pale na amekubaliana na madaktari wa Bukoba aende Muhimbili kwa Uchunguzi zaidi
Victor anasema Wavuvi wote walimfata na kumkumbatia baada ya zoezi la uokoaji kukamilika naye aliwaambia Nguvu walizomuona nazo kule kwenye Maji siyo zake bali ni muujiza wa Mungu.
Victor alihojiwa na Wasafi tv akiwa ndani ya Ndege ya Precision Air alirejea DSM tayari kwenda Muhimbili
Chanzo: WASAFI TV
Kwahiyo huyo mhudumu baada ya bonyeza mlango afu na yeye aka amua afie ndani ya ndege? Tz ni Taifa la Wajinga hadi Ma Eng wa wasio weza tengeza hata Ufagio wa chooni.
Acha waseme tu,ukweli lazima tuujueUtaambiwa acha wivu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndo maana nkasema ukijua ufanyaji kaz wa mungu hiv vitu uhangaiki.Yeah mung ndo kachukua roho za watu 19 na kuziacha 24 ili kumuinua majaliwa.Hakushindwa kumpa almas kama usemavyo ila ameona hii ndo njia sahih kumuinua majaliwa .NI KAWAIDA KWA MUNGU KULETA MATATIZO ILI KUWAINUA WATU WENGNE NA NI YEY MWENYEW ANAJUA NI KWANIN.Ndo maan alimchukua maguful ili amuinue samia si bahat mbaya ni mipango yake mung.Mkuu hapo umejipinga mwenyewe....
Kwahio Mungu ndio anagawa pesa huyu apate hizi na yule apate kile..., Na ili Majaliwa aje apate pesa kaleta hii ajali ili Majaliwa ndio aokoe na kupata pesa ?
Ndio maana hapo juu nimesema kama issue ni kupata si angeokota tu almasi wakati anavua samaki ? (Yaani apate almasi badala ya dagaa) sio tupoteze watu 19 ili mmoja apate milioni kadhaa !!!!
Kweli mkuuPossibility hii pia ipo.
Na inawezekana pia kasia lake likachangia mlango ufunguke kwa urahisi kutokea ndani.
Kwamba alipokua anagonga huku nje huko ndani kukawa kunalegea legea na hatimae mlango kufunguka.
Mlango wa ndege una system kama kila kitu hakifanyi kazi, kuna handle ukivuta kwa ndani unafyatuka kwa nje bila kutegemea hydraulics zake.Pumbavu zake yule kijana muhuni wa kijiweni aliwachota vilaza wakachoteka. Na hili linanifanya niwaze kama kwa hizi akili tulizochotewa kwa kuukubali uhuni ule kama tutakaa tuendelee kifikra! Yani tunakaa tunakubaliana na upuuzi wa mtu mmoja zero kichwani halafu tunaanza kuupa mapambio.