English Medium ziko Ovarated sana. Hakuna elimu pale zaidi ya utapeli. Shida ni tumekuwa Brainwashed sana

Ndio wazazi sisi wa mwendo kasi tunataka, Shule Daily ni Homework, mtoto yuko Babyclass homeworl ujinga mtupu.

Shule unakamuliwa ada na baadae tuna unakamuliwa kuambiwa tuition hapo hapo kwenye shule uliolopa ada kubwa sana, yaani Ada haitoshi unakamuliwa tena na anacho pata mtoto hukiokioni.

Kitoto kina miaka 5 kinawekwa shule hadi jioni na kikirudi na Homework,

Hakuna elimu pale ukitoa kuwa Brainwash
 
Utofautii ni mkubwaa mnooo, commitment kwenye public schools ni zeroo kabisaa ni huu umaskini wetu tu lkn hapafai, imagine darasa linawanafunzi 300 nini kinafanyika hapoo. Tusidanganyaneee public wanaambiwa waandike notes tu.
Huo utofauti unaupimaje? hebu tupe vipimo vya hio Commitment, zile sanaa za kuwatengenezea watoto matokeo ndio commitment?
 
wangapi wamefanya hivyo na hizo English? Wale wote wanao start Biashara Pale kariakoo ni wa kawaida tu wametoka vijijini huko. English ya English medium ikufanye ufanye biashara za kimataifa? acha mzaha
 
Kila mtu Yuko huru kusomesha anakopna kunafaa.kuna mwingine atapeleka international,medium mwingine hizo zenu za kayumba ambazo vibaka wengi hutokea huko
English medium sizipinhi kwa sababu ya gharama zake hapna ni utapeli mkubwa ulioko pale, hiwezi kuta huo utapeli kule International School. Napingana na utapeli
 
Nasikia akili za mtoto hutegemea pia uwezo kiakili wa Mzazi.
Wanasema kama ukijina ulikuwa vizuri, itakuwa ni faida sana ukimpeleka kwenye shule nzuri, ila eti kama kiakili ulikuwa ni maamuma na mbumbumbu mzungu wa reli, basi usipoteze hela zako kumpeleka mtoto huko, hakuna English Media itakayomsaidia eti kule hawatengenezi akili na kuwamiminia watoto vichwani bali wanapandia kwenye msingi wa mtoto aliozaliwa nao.
 
Sikiliza swala sio uwezo, swala ni hakuna kitu pale, swala sio uwezo mimi nalipaga ada ya mwaka mzima, ila hakuna maajabu pale.
Swala ❌ suala ✅ English Medoum ❌ English Medium ✅ .. mimi nadhani wewe ni mzazi kilaza ambaye hata ukimpeleka mtoto English Medium anaweza asifanye vizuri kwasababu akirudi nyumbani anakutana na mzazi ambaye hata kuandika kiswahili ni shida.
 
Ni kama vile wanajaribu kutwambia kwamba kwingine koote kwenye public sector watumishi ni wabaya kasoro kwenye elimu tu😀
 
English medium sizipinhi kwa sababu ya gharama zake hapna ni utapeli mkubwa ulioko pale, hiwezi kuta huo utapeli kule International School. Napingana na utapeli
Kila sehemu mapungufu hayawezi kukosekana ukizingatia Kila Nchi inatamaduni zake lakini huko kayumba ni matatizo lukuki kuliko international na English medium.mfano ulishaona mtoto wa mwanasiasa yeyote kuanzia mkuu wa wilaya,mkoa,katibu tawala,mkurugenzi,waziri na rais anasoma kayumba?Hao ndiyo utajua kuko hakuna kitu.
 
Hiyo inachangia lakini na mazingira ya mtoto huchangia zaidi kuwa na uwezo kimasomo au kimaisha Kwa ujumla.
 
Mkuu, kutibiwa Kairuki au Mwananyamala hospital, wapi kuna huduma nzuri? Kwanini?
 
Mkuu elimu yetu imetanzika sana. Yaani pa kukimbilia hakuna.
 
wangapi wamefanya hivyo na hizo English? Wale wote wanao start Biashara Pale kariakoo ni wa kawaida tu wametoka vijijini huko. English ya English medium ikufanye ufanye biashara za kimataifa? acha mzaha
Watu wanaleta utani humu.

EMS zimegeuka dini/imani kwa wazazi hivyo mabaya yake wengi hawayaoni ila ukweli ni kwamba pale elimu hamna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…