LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
100% Factmbona tumesoma kwenye shule za kayumba na tukatoboa mpk University na kupata hadi Phd.?
Pesa ya kulipia mtoto ada milioni 4 ni bora uwe unamnunulia viwanja kila mwaka ili akikua akute baba yake kashamuandalia assets za kutosha.