English Medium ziko Ovarated sana. Hakuna elimu pale zaidi ya utapeli. Shida ni tumekuwa Brainwashed sana

English Medium ziko Ovarated sana. Hakuna elimu pale zaidi ya utapeli. Shida ni tumekuwa Brainwashed sana

Aset bila Elimu Bora atamalizaa kuhonga zotee na pombe maana discipline ya maisha na umakini wa maamuzi Hana.Ni kweli Kuna kundi la watoto wenye uwezo mkubwa wa kiakili ambao hata bila Mwalimu anafaulu Hawa shule nzima unaweza Kuta 10 kwenye shule ya Watoto 650.

Pima watoto wako ni gifted genius au ugaungaaa?
A
wajinga ndio waliwao! Hasa ambao hawakupata hizi elimu na kutika levels za juu ndio wanaoingia kwenye huu mfumo wa kupigwa pesa.

Mtoto wa chekechea analipiwa ada zaidi ya 5M. Kwa kipi hasa anachoenda kukisoma?
 
Mengi uliyosema hapo ni kweli, ila pia nadhani wazazi wengi wanapeleka watoto wao huko kwa ile nadharia ya mtoto kujua English kwa urahisi.
Mostly watoto wakifika kwenye shule hizi hawatakiwi kuongea kiswahili ni kiingereza kwenda mbele ambapo ni tofauti na shule za serikali.
 
Nasomesha Englisha Medoum ila ukweli ni kwamba sijawaji zikubali hizi shule, Shule zimejaa janja janja nyingi sana kuliko kutoa elimu ni full hadaa na wanajua fika kucheza na akili za wazazi wajinga

Sijawaji amini kwamba kuna elimu bora kwenye shule za English medoum, kuna elimu ya kawaida sana na tofauti yake na shiule za Serikali mimi sioni kabisa ukitoa sisi kuwa Barainwashed.

Niliwahi sema humu Baadhi ya hizi shule huwa hazina mtoto wa mwisho yaani kama Darasa lina wanafunzi 40 huwezi ona mtoto wa 40, wanaishia namba 10 na na wanadaia wamefungana. Namba 1 unaweza kuta watoto 10 huu mchezo wazazi hawajaushitukia.

Ukiondoa kupanda Mabasi asubuhi hakuna kingine ambacho nakiona kwa hizi shule. Wengi wanapondea shule za Serikali kwenda na Mifahia na vidumu vya maji ila ni sehemu ya kufundisha watoto na sio adhabu. Ni wazazi wajinga ndio wanao na mtoto kubeba fahioa kwrnda nao shule ni adhabu au ushamba.

Watoro wanakuwa legelege sana, mtoto wa shule ya Serikali anaweza panda Daladala na akenda shule mwenyewe umbali wa km 15 hapa ni mtoto mdogo darasa la 3, hii mtoto wa English medium hawezi, ni sawa na kuku wa Broiler tu. Matoto yanakuwa legelege tu.Basi la shule likiharibika hakuna kwenda shule.

English medium zimejaa janja janja sana, kuanzia kutoa elimu na hadi michango yao ya kihuni. Hakuna Englisha ya maana inafundishwa pale,watoto wanatoka pale wako kawaida sana hakuna maajabu pale.

Kucheza na akili za Wazazi na ziara zao za kwenda vijwana vya ndege kupigisha watoto picha kule ni full ujinga.Wanakuambia ziara za mafunzo, mtoto yuko Baby class anatakiwa atoe sh 50,000 ya ziara ya mafunzo.

Unatoa 50,000/ wanawanunulia watoto chips kavu, biskut na juice za azam, hapo 50,000/ imakata na ni ziara ya ndani ya mkoa. Mtoto anarudi nyumbani full njaaa ukiuliza mtoto anakuambia walitupatia juice, chips na biscut tu.

Bro tafuta hela
 
Kwa hiyo akisoma Kayumba hawezi fika University? Mbona unaongea kitu ambacho hukijui?
[/QUOTE.Unaonekana mbishi na hujui unataka Nini.Ukipata shule ya Dini makini,mtoto njee ya kufaulu Masomo anakuaimparted misingi ya maisha ya nidhamu sanaaa hususani seminary;hatawaza kirahisi kukitoa kafalaaa
 
Wenye biashara Kariakoo karibu robo Tatu hawajui Kingereza.
Alafu waliowaajiri wanajua.

Kuchangamkia Fursa ni akili ya mtu haihusiani na kujua Lugha Fulani

Mbona Tanzania tunajua Kiswahili kuliko Kenya lakini Wakenya wanatupiga bao Kupata Fursa kimataifa

Usijesema Watanzania hawajui Kingereza
Wapo kariakoo Kwa sababu ya kiswahili chao lakini wangekuwa wanamudu lugha za kimataifa wangefanya biashara zao kimataifa zaidi. Kuhusu wakenya kuchukua fursa za kufundisha kiswahili nje ya Nchi sababu ni hiyo wanajua lugha ya kimataifa maana mtu kumfundisha lugha ambayo yeye haijui lazima uwe unamuelezea Kwa lugha yake anayoielewa(lugha inayozungumzwa na watu wengi ulimwenguni ni kiingereza).Sasa mtanzania kiswahili chenyewe hakijui atamfundisha nini mjapani au mchina wakati kiingereza hakijui.yeye anajua tu ze,ze,ze water Sasa hapo atamfundisha nani?
 
Wapo kariakoo Kwa sababu ya kiswahili chao lakini wangekuwa wanamudu lugha za kimataifa wangefanya biashara zao kimataifa zaidi.Ukienda Kuhusu wakenya kuchukua fursa za kufundisha kiswahili nje ya Nchi sababu ni hiyo wanajua lugha ya kimataifa maana mtu kumfundisha lugha ambayo yeye haijui lazima uwe unamuelezea Kwa lugha yake anayoielewa.Sasa mtanzania kiswahili chenyewe hakijui atamfundisha nini mjapani au mchina wakati kiingereza hakijui.yeye anajua tu ze,ze,ze water Sasa hapo atamfundisha nani?

Wanaojua kingereza mbona hawafanyi hizo biashara za kimataifa?
 
wajinga ndio waliwao! Hasa ambao hawakupata hizi elimu na kutika levels za juu ndio wanaoingia kwenye huu mfumo wa kupigwa pesa.

Mtoto wa chekechea analipiwa ada zaidi ya 5M. Kwa kipi hasa anachoenda kukisoma?
Huna pesaa ndo chanzoo Cha yotee hayooo,pambanaaa. Mimi siwezii mpeleka mwanangu mavumbini hukoo,Vitotoo vyenzake vinatiaa huruma wazazii waoo wanatombeaa tu Hela zao,never.Elimu Bora na Mali nitamwachia za kutoshaa.
 
Kabla ya utawala wa tahira jiwe English medium schools walimu wengi walikuwa ni form six failure.
Sasa kidogo kuna walimu angalau wenye sifa kidogo baada ya janga la ukosefu wa ajira kutanda
 
Kwahiyo kujua kiarabu ndio kuelimika,hivi hujui fursa ngapi watu wengi wanazikosa kwa kutokujua kiingereza lunga ya dunia?
Twenda taaratibu ukimuwekea wahitimu wa STEM Elon musk 10.

Watano kutoka China na watano kutoka Kenya niambie atachukua wa wapi na wapi atawapuuza ?
 
Kitu ambacho sitaki ni mtoto analeta matokeo amekuwa wa kwanza na ajui kitu tena kuhusu lugha ya kiingereza yaani hata umchukue msomi mwenye degree aliekuwa most intelligent in class kama hajui lugha ni bure fursa zitakuja wengine watazichukua
Hata kwenye business utanegotiate vipi price hata mkataba tuu wa hiyo biashara kuuelewa inakuwa ni ishu kubwa
 
Wapo kariakoo Kwa sababu ya kiswahili chao lakini wangekuwa wanamudu lugha za kimataifa wangefanya biashara zao kimataifa zaidi.Ukienda Kuhusu wakenya kuchukua fursa za kufundisha kiswahili nje ya Nchi sababu ni hiyo wanajua lugha ya kimataifa maana mtu kumfundisha lugha ambayo yeye haijui lazima uwe unamuelezea Kwa lugha yake anayoielewa.Sasa mtanzania kiswahili chenyewe hakijui atamfundisha nini mjapani au mchina wakati kiingereza hakijui.yeye anajua tu ze,ze,ze water Sasa hapo atamfundisha nani?
Kati ya wachina na wakenya ni watu gani wana potential katika soko la kimataifa ?
 
Kitu ambacho sitaki ni mtoto analeta matokeo amekuwa wa kwanza na ajui kitu tena kuhusu lugha ya kiingereza yaani hata umchukue msomi mwenye degree aliekuwa most intelligent in class kama hajui lugha ni bure fursa zitakuja wengine watazichukua
Hata kwenye business utanegotiate vipi price hata mkataba tuu wa hiyo biashara kuuelewa inakuwa ni ishu kubwa
Kati ya wakenya na wachina nani ni bora kielimu ?
 
Its a battle between spending money vs saving money kuna jamaa angu moja anapinga sanaa kununua mbonga ya Nyama anasema ni hatari kwa afya ya binaadamu yeye kwake ni mboga za majani na dagaa tu........eti haoni tofauti kati ya mboga ya nyama na maharage.
January ndo kesho na ada inatakiwa na pesa ishakata ghafla kayumba yenye waalimu watano kuanzia 1-7 lazima itaonekane ni nzuri sana 🤣😂😅 na itaonekana ni shule bora sana kuliko ISM, IST,
 
Kati ya wakenya na wachina nani ni bora kielimu ?
Tutumie akili japo kidogo kulinganisha hayo mataifa mawili unakosea sana hivi unajua hata Germany, France na turkey ni sawa sawa tu na china kwenye swala la lugha ya kiingereza.
Unachopaswa kufanya linganisha Msomi au elimu ya Tanzania, kenya uganda maana ni nchi zinazofanana utapata majibu unayohitaji
 
Wakati nasoma o level Shule flani Mbeya. Nilikua napenda kwenda kusomea library za st. francis weekends.

Ile library yao tu, ilinifanya niwe nakua bright sana darasani kwetu, ukilinganisha na classmate zangu.

Ukiacha hayo wale watoto walikua wanafundishwa vzuri mno, kuanzia mazingira, Waalimu mpaka utamaduni wao vyote viko mbingu na ardhi uki compare na kayumba yangu.
 
Back
Top Bottom