English Medium ziko Ovarated sana. Hakuna elimu pale zaidi ya utapeli. Shida ni tumekuwa Brainwashed sana

wajinga ndio waliwao! Hasa ambao hawakupata hizi elimu na kutika levels za juu ndio wanaoingia kwenye huu mfumo wa kupigwa pesa.

Mtoto wa chekechea analipiwa ada zaidi ya 5M. Kwa kipi hasa anachoenda kukisoma?
 
Mengi uliyosema hapo ni kweli, ila pia nadhani wazazi wengi wanapeleka watoto wao huko kwa ile nadharia ya mtoto kujua English kwa urahisi.
Mostly watoto wakifika kwenye shule hizi hawatakiwi kuongea kiswahili ni kiingereza kwenda mbele ambapo ni tofauti na shule za serikali.
 

Bro tafuta hela
 
 
Wapo kariakoo Kwa sababu ya kiswahili chao lakini wangekuwa wanamudu lugha za kimataifa wangefanya biashara zao kimataifa zaidi. Kuhusu wakenya kuchukua fursa za kufundisha kiswahili nje ya Nchi sababu ni hiyo wanajua lugha ya kimataifa maana mtu kumfundisha lugha ambayo yeye haijui lazima uwe unamuelezea Kwa lugha yake anayoielewa(lugha inayozungumzwa na watu wengi ulimwenguni ni kiingereza).Sasa mtanzania kiswahili chenyewe hakijui atamfundisha nini mjapani au mchina wakati kiingereza hakijui.yeye anajua tu ze,ze,ze water Sasa hapo atamfundisha nani?
 

Wanaojua kingereza mbona hawafanyi hizo biashara za kimataifa?
 
wajinga ndio waliwao! Hasa ambao hawakupata hizi elimu na kutika levels za juu ndio wanaoingia kwenye huu mfumo wa kupigwa pesa.

Mtoto wa chekechea analipiwa ada zaidi ya 5M. Kwa kipi hasa anachoenda kukisoma?
Huna pesaa ndo chanzoo Cha yotee hayooo,pambanaaa. Mimi siwezii mpeleka mwanangu mavumbini hukoo,Vitotoo vyenzake vinatiaa huruma wazazii waoo wanatombeaa tu Hela zao,never.Elimu Bora na Mali nitamwachia za kutoshaa.
 
Kabla ya utawala wa tahira jiwe English medium schools walimu wengi walikuwa ni form six failure.
Sasa kidogo kuna walimu angalau wenye sifa kidogo baada ya janga la ukosefu wa ajira kutanda
 
Kwahiyo kujua kiarabu ndio kuelimika,hivi hujui fursa ngapi watu wengi wanazikosa kwa kutokujua kiingereza lunga ya dunia?
Twenda taaratibu ukimuwekea wahitimu wa STEM Elon musk 10.

Watano kutoka China na watano kutoka Kenya niambie atachukua wa wapi na wapi atawapuuza ?
 
Kitu ambacho sitaki ni mtoto analeta matokeo amekuwa wa kwanza na ajui kitu tena kuhusu lugha ya kiingereza yaani hata umchukue msomi mwenye degree aliekuwa most intelligent in class kama hajui lugha ni bure fursa zitakuja wengine watazichukua
Hata kwenye business utanegotiate vipi price hata mkataba tuu wa hiyo biashara kuuelewa inakuwa ni ishu kubwa
 
Kati ya wachina na wakenya ni watu gani wana potential katika soko la kimataifa ?
 
Kati ya wakenya na wachina nani ni bora kielimu ?
 
January ndo kesho na ada inatakiwa na pesa ishakata ghafla kayumba yenye waalimu watano kuanzia 1-7 lazima itaonekane ni nzuri sana 🤣😂😅 na itaonekana ni shule bora sana kuliko ISM, IST,
 
Kati ya wakenya na wachina nani ni bora kielimu ?
Tutumie akili japo kidogo kulinganisha hayo mataifa mawili unakosea sana hivi unajua hata Germany, France na turkey ni sawa sawa tu na china kwenye swala la lugha ya kiingereza.
Unachopaswa kufanya linganisha Msomi au elimu ya Tanzania, kenya uganda maana ni nchi zinazofanana utapata majibu unayohitaji
 
Wakati nasoma o level Shule flani Mbeya. Nilikua napenda kwenda kusomea library za st. francis weekends.

Ile library yao tu, ilinifanya niwe nakua bright sana darasani kwetu, ukilinganisha na classmate zangu.

Ukiacha hayo wale watoto walikua wanafundishwa vzuri mno, kuanzia mazingira, Waalimu mpaka utamaduni wao vyote viko mbingu na ardhi uki compare na kayumba yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…