Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Exception ipo kwenye kila kitu lakini hauwezi ukaitumia kufanya general conclusion. Kwaiyo wewe usipokuta bikira tupa kwenye dustbin uko, achana na story za exception sijui labda ilitoka kwa kuendesha baiskeliKwahiyo Mwanamke yeyote ambaye hana Bikra unamwita Malaya bila kujua hata hiyo bikra imetokaje na kwa mazingira gani?
Anaweza asiwe na Bikra lakini sio Malaya, bikra inatoka kwasababu mbalimbali ingawa wengi wamegawa sana
Harudi tena 😂Nina uhakika, wewe unaweza kutuonesha Mwanaume asiye na Bikra kwa uthibitisho?
Hivi watanzania mnaona bikira ni big issue sana enh!!!!!Ndugu zangu hasa wanaume ambao wanatarajia kuoa jambo muhimu hua mnalisahau labda kutokana na kukolezwa na mapenzi kutoka kwa mchumba unayetarajia kumuoa..
Kuna mambo ya msingi inabidi kuzingatia sana ili kulinda heshima yako na kutodharauliwa na mkeo mkiwa ndani ya ndoa..
Jambo la kwanza: Mwanamke ambaye umekuta tayari hana bikra na ameshabadili wanaume wengi wa kila aina ametoa mimba nyingi mpaka wewe unakutana naye na still anakudai mahari broo shtuka unaingia kwenye mtego ambao utadharauliwa maisha yote ya ndoa na ukizubaa unabambikwa na watoto..
Kumlipia mahari Malaya ni dharau kubwa sana kwako mlipaji hata ndugu wa mwanamke wanaojua mapito ya Binti yao wanakuona boya umejichanganya ushikishwe kimeo ukaangaike nacho 😂 kabla haujashtuka.
Mwanamke ambaye hujamkuta na bikra kamata weka ndani ila mahari usitoe kwanini uuziwe ndaza wakati nyama za leo zipo nyingi mtaani hataki piga chini akaolewe na waliomfumua bikra zake
..shtuka mwana kwetu
Endelea kutafuna vibuduMada zingine upuuzi mtupu Kuna ambaye hakuwa bikra?? au bikra ndo nn hasa mwili ni wake ana mamlaka nao zaidi ya ujuavyo
🤣🤣🤣🤣🤣😹😹😹 Nowdays bikra ya mwanaume ya kijambio muhimu kuliko ya mwanamke..!!
Maisha yamebadilika mpaka raha.!!
Tunzeni bikra zenu huko mbele tutaangalia km mmejitunza?
Upuuzi mtupuEndelea kutafuna vibudu
Mimi natoa mahari pamoja na kubeba majukumu ya wazazi wakeWewe pia una bikra au unataka awe nayo mwenzio tu?
Kwani kakwambia anataka kuoa ndugu zakeLeo kila nyuzi ni wanawake, si muoane wenyewe mxiew! Waite wapuuzi wenzio uwajaze huo upupu eti bikra nyoo! Kwenu wote wana bikra au na wao malaya kama sisi🙄
mkuu, tuache kuwazungumzia mabikra wa duniani badala yake tuwaangazie kwa kina wale 72 walioko pepeoni ambako ndo makazi yetu ya milele.Kwaheri nisije nikasema vibaya leo sabato
Kabsa mkuumkuu, tuache kuwazungumzia mabikra wa duniani badala yake tuwaangazie kwa kina wale 72 walioko pepeoni ambako ndo makazi yetu ya milele.
Sawa sawa?
🔥🔥Kabsa mkuu
Akiwa nayo utamlipia mahari??Wewe pia una bikra au unataka awe nayo mwenzio tu?
Hivi Natafuta Ajira hii sio akaunti yako kweli?
Mimi naona kila mtu ana vigezo vyake. Mwanamke akisema hataki kuolewa na mwanaume asiye na pesa, haangalii kama yule mwanaume ametoka kwenye familia duni, haangalii kazi ya yule mwanaume, haangalii chochote. Hawezi ku lower standards zake kwa ajili ya yule mwanaume kwa hiyo, kama mtu anaona kuoa mwanamke bikira ni flex kwake, basi atafute na aoe, kama anaona sio ni sahihi pia. Kila mtu ana standards zake na kila standards za mtu ziheshimiwe. Kwa upande wangu sishangai kuona mtu anasema hivyo, ni matakwa yake na tunatofautiana.-ukipata mwanamke oa, siyo kila binti ambaye si bikra aliipoteza kwa kupenda.
1. Mwanaume mwenzangu usiite mabinti za watu malaya KABLA YA KUJUA HISTORIA YA MAMAKO ILIKUAJE ENZI ZA UBINTI WAKE.
2. Hakuna mahusiano ya ndoa na ubikra (unaweza oa bikra, ndoa ikamshinda ukabaki, na unaweza oa mwanamke ambaye hana bikra na ndoa yenu ikadumu hadi raha)
3. ndoa ni muunganiko kati ya mke na mme wanaojua maana ya ndoa na wana akili timamu. na si muunganiko wa bikra.
4. KABLA YA KUITAFTA BIKRA YA MABINTI WENGNE, MAMAKO ALIOLEWA AKIWA BIKRA?
najua vijana wengi hamna akili timamu, tujitahd angalau kuwa heshima kidogo kwa akina mama hawa.
Ubarikiwe mwambaMimi naona kila mtu ana vigezo vyake. Mwanamke akisema hataki kuolewa na mwanaume asiye na pesa, haangalii kama yule mwanaume ametoka kwenye familia duni, haangalii kazi ya yule mwanaume, haangalii chochote. Hawezi ku lower standards zake kwa ajili ya yule mwanaume kwa hiyo, kama mtu anaona kuoa mwanamke bikira ni flex kwake, basi atafute na aoe, kama anaona sio ni sahihi pia. Kila mtu ana standards zake na kila standards za mtu ziheshimiwe. Kwa upande wangu sishangai kuona mtu anasema hivyo, ni matakwa yake na tunatofautiana.
Uko sahihi kabisa mwanangu, ila wajinga ni wengi dunia hii watakupinga. Sio kila mwanaume anajielewa kikamilifu linapokuja suala la kuoa. Wengi wanaoa ili kufurahisha watu kama vile wazazi, ndugu, majirani na wanakosali.Ndugu zangu hasa wanaume ambao wanatarajia kuoa jambo muhimu hua mnalisahau labda kutokana na kukolezwa na mapenzi kutoka kwa mchumba unayetarajia kumuoa..
Kuna mambo ya msingi inabidi kuzingatia sana ili kulinda heshima yako na kutodharauliwa na mkeo mkiwa ndani ya ndoa..
Jambo la kwanza: Mwanamke ambaye umekuta tayari hana bikra na ameshabadili wanaume wengi wa kila aina ametoa mimba nyingi mpaka wewe unakutana naye na still anakudai mahari broo shtuka unaingia kwenye mtego ambao utadharauliwa maisha yote ya ndoa na ukizubaa unabambikwa na watoto..
Kumlipia mahari Malaya ni dharau kubwa sana kwako mlipaji hata ndugu wa mwanamke wanaojua mapito ya Binti yao wanakuona boya umejichanganya ushikishwe kimeo ukaangaike nacho 😂 kabla haujashtuka.
Mwanamke ambaye hujamkuta na bikra kamata weka ndani ila mahari usitoe kwanini uuziwe ndaza wakati nyama za leo zipo nyingi mtaani hataki piga chini akaolewe na waliomfumua bikra zake
..shtuka mwana kwetu