Netanyahu amekana kuhusika na ajali ya Ebrahim Raisi.View attachment 3005004
Israel alisema ni lazima atalipiza kisasi dhidi ya mashambulizi ya Iran maana asipofanya hivyo ni ishara ya Unyonge, hakusema lini na wapi,
tunashangaa tu ukungu huo
Sijui definition yako ya kujitenga ni ipi. Hivi tunavyoandika, USA ina kambi za jeshi huko QatarIla yanajitahidi kujiengua.
Kama Qatar ishajitengenezea domain yake tayari.
Ila subiri tuone maana wameanza kujisogeza Iran taratibu.
Ndio utajua hujui, ulishaambiwa watalipa kisasi sasa usiwe kama kubwa jinga kutojiongeza kwa vitu vidogoNetanyahu amekana kuhusika na ajali ya Ebrahim Raisi.
Wewe unashadadia nini!??
Uislam ni dini ya hovyo sana,uzuri hawawezi ungana mana mara ya mwisho walipoungana walikula kipigo kitakatifu hadi wajapoteana,hakika israel ni kiboko ya magaidi ya kidini
🙂🙂🙂 ... Hawa inabidi wapigwe mpaka wawe wanalala ndani na makopo ya kukojelea..Si apeleke majeshi yake pale Ukanda wa Gaza yakapambane na IDF?
Babu na bibi yangu sio sababu ya mimi kuzaliwa mweusi.Hapana, umeanzia habari katikati.
Yani ni kama unasema wewe ni mtu mweusi kwa sababu baba na mama yako ni weusi.
Wakati kuna babu na bibi zako waliowazaa wazazi wako hujawataja.
Nazani wewe ndio wale mlioambiwa na edogan muungane mkapambane na Israel.Ona ulivyo unachekesha😂😂😂🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️🙆🏿♂️.
Hiyo Spain kuiunga mkono Palestina imepata ushahidi toka pande zote mbili,yani Palestina na Israel,na ushahidi ukapatikanika kuwa Israel ndio imeanza ukorofi August kwa kuvunja nyumba za Jenin.
Aya wewe una ushahidi upi wa kuwa ugomvi ulianza Oktoba 7 badala ya August?
Kuna makala humu ya jana tu inazungumzia Cabo Delgado, hapa hapa jirani Msumbiji kwa siku moja walichinjwa watu 1200 wakiwemo na watoto na waislamu wanajiita Answar nini sijui.Hiyo sera ya jino kwa jino inathibitisha vipi kua waislam wanaua hadi watoto?
Ama lete ushahidi wa waislam wakiua watoto kwa hiyo sera ya jino kwa jino.
Mimi ndio wa kwanza kukuuliza swali. Ulipaswa wew kujibu kwanzaJibu swali langu
Kama babu na bibi yako wasingekuwa weusi, baba na mama yako wangekuwa weusi?Babu na bibi yangu sio sababu ya mimi kuzaliwa mweusi.
Sababu ya mimi kuzaliwa mweusi ni baba na mama walikutana wote weusi.
Kama baba angekutana na mama muhindi ningezaliwa na ka mixer kakihindi.
Historia inayoleta chuki na utengamano sio vyema kuikumbatia.
Palestine na Israel hawatakaa sawa hadi watakapokubali kuishi kama jamii moja.
Mi nimekuuliza nikuwekee Aya ya QUR'AN inayoonesha mtume alikua na sijida?..halafu ukishaona utaacha kuichukia sijida au utazidisha?Mimi ndio wa kwanza kukuuliza swali. Ulipaswa wew kujibu kwanza
Kama babu na bibi yako wasingekuwa weusi, baba na mama yako wangekuwa weusi?
Hujajibu swali nililokuuliza na swali ulilojibu sijaukiza.Babu na bibi walikuwa kwa ajili ya kuwazaa wazazi.
Mimi sijazaliwa na babu na bibi ila nimezaliwa na baba na mama.
Kama baba na mama wangeamua vinginevyo mimi nisingekuwa hivi nilivyo.
Tunajua mkuu zilikuwepo toka zamani.Sijui definition yako ya kujitenga ni ipi. Hivi tunavyoandika, USA ina kambi za jeshi huko Qatar
Hiyo ni sera ya jino kwa jino au ni UGAIDI??Kuna makala humu ya jana tu inazungumzia Cabo Delgado, hapa hapa jirani Msumbiji kwa siku moja walichinjwa watu 1200 wakiwemo na watoto na waislamu wanajiita Answar nini sijui.
Hata waziri wetu wa ulinzi kaliongelea hili bungeni.
Una jingine?
Viongozi wao hawawezi ku-survice bila backing ya USA... sio kwamba wanawapenda, ni survival tacticsTunajua mkuu zilikuwepo toka zamani.
Ila Qatar imeanza kupunguza utegemezi wa USA na wamagharibi,ilianza kidiplomasia ila hatua ya kijeshi ni ngumu sio nyepesi.
Unazungumza ukweli mchungu mkuu,ila matukio yanayoendelea middle east waarabu washaanza kujiona hawako salama wakiungana na USA,maana kama unakumbuka 2016 USA ilimuwekea vikwazo Qatar alipokua ameanza kuwaunga mkono Hamas na Palestina,uhusiano wa vitisho ushawachosha waarabu.Viongozi wao hawawezi ku-survice bila backing ya USA... sio kwamba wanawapenda, ni survival tactics
Unahama hama mada.Nazani wewe ndio wale mlioambiwa na edogan muungane mkapambane na Israel.
Hii kulaani tu na kubweka nyuma ya keyboard haisaidii.
Huko Rafa kipondo kinaendelea, myahudi kaziba masikio.
Kasaidieni kwa vitendo
Egypt walifanya hicho unachokisema, walimtoa Mubaraka, wakamchagua Morsi, hakuchukua muda akatolewa ... huwezi kwenda kinyume na USA au interest zakeUnazungumza ukweli mchungu mkuu,ila matukio yanayoendelea middle east waarabu washaanza kujiona hawako salama wakiungana na USA,maana kama unakumbuka 2016 USA ilimuwekea vikwazo Qatar alipokua ameanza kuwaunga mkono Hamas na Palestina,uhusiano wa vitisho ushawachosha waarabu.
Pia USA ni mlezi wa Israel,kitu ambacho waarabu kinawafanya wajione insecure wakiwa na USA.
Ipo siku hili bomu litalipuka tu.
Uko sahihi mkuu upande mmoja na mwingine laah.Egypt walifanya hicho unachokisema, walimtoa Mubaraka, wakamchagua Morsi, hakuchukua muda akatolewa ... huwezi kwenda kinyume na USA au interest zake