ERDOGAN: Hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na Israel kwa manufaa ya utu

Wewe ni gallasa kama jina lako unajua washirika wa Israel

USSR
 
Jihadists wamerudi tena, kila mara wao ni kutafuta cheap publicity tu. Bure kabisa.
 
Na kwa namna Misri naye anavyo jianadaa kijeshi, ni suala tu la muda kabla hawaja shambuliana. Maana kuvumilia ubabe wa kijinga na chokochoko za hao Mayahudi kwa nchi jirani, kunahitaji uvumilivu wa kipekee sana.
 
Netanyahu kavunja dili la gas kwa misri baada ya misri kusogeza vikosi Sinai
Huenda kobazi wanamlia timing mtu
 
Hizi habari utazipata kutoka madrasa gogoni
 
Endelea kujipa moyo na kujifariji!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…