ERDOGAN: Hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na Israel kwa manufaa ya utu

Mturuki hapeleki jeshi lake lipigane na Israel hata siku moja. Cyprus hawezi kukubali kuwa uwanja wa vita. They have too much to lose.
Hii inabaki kuwa mikwara tu. Gharama za vita na Israel ni kubwa sana.
 
Moja ya chai bora kabisa za mwaka huu.😀😀😀😀
 
Uzuri netanyahu hasikilizi hizi porojo za wavaa vipedo
 
Naona Erdogan kachoka kunywa sharubati za tende anataka kufwekwa awahishwe kuzimu
 
Lilitekwaje??Maana Iran alishambulia israel kwa makombora mengi ya masafa marefu sasa unatekaje anga la mtu na yeye bado anaendelea kukushambulia??
Israel alikua anachagua pa kupiga. Makombora hata hamas wanarusha mbona
 
Lilitekwaje??Maana Iran alishambulia israel kwa makombora mengi ya masafa marefu sasa unatekaje anga la mtu na yeye bado anaendelea kukushambulia??
Hata bondia anayekung,utwa kwa knock out huwa naye amerusha ngumi kadhaa
 
Huo mchezo mbona ni mtamu wanakaribishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…