Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,560
- 12,277
Hao Egypt πͺπ¬ na turkey wana nuclear weapons?Na kwa namna Misri naye anavyo jianadaa kijeshi, ni suala tu la muda kabla hawaja shambuliana. Maana kuvumilia ubabe wa kijinga na chokochoko za hao Mayahudi kwa nchi jirani, kunahitaji uvumilivu wa kipekee sana.
Pointless kama Trump alisema Iran ameipiga hasa israel kwa makombora tena alisisitiza very hard leo vilaza kama nyinyi mnabishaHata bondia anayekung,utwa kwa knock out huwa naye amerusha ngumi kadhaa
Hayakua na madhara ndio mana hujaona hata mkuu wawilayakule kabaki rais na ayatollah tu wote walipukutishwaMakombora ya Iran yalikuwa hayachagui kwa kupiga?
Huyo ni domo tu hana loloteErdogan asiwe domokaya tu bila vitendo kama mnyaturu
Kweli we maamuma tena tabolarasa Iran wenyewe wamekiri tena hadharani kula kipondo cha myahudi halafu we mshindia tende za misaada unabwabwaja bwabwajaPointless kama Trump alisema Iran ameipiga hasa israel kwa makombora tena alisisitiza very hard leo vilaza kama nyinyi mnabisha
Wapi trump alisema. Trump alisema mission complete mana vinu vya nuclear vilosafisha tiyari we uko zako namtumbo unatoa wapi taarifaPointless kama Trump alisema Iran ameipiga hasa israel kwa makombora tena alisisitiza very hard leo vilaza kama nyinyi mnabisha
Mzee wa watu anaishi kwa wasiwasi na machale utadhani kibaka wa Kariakoo. Watamuua kwa pressure wazayuniWamshukuru trump wale ayatola mpaka sasa hayupo hadharani
Hataki kuonekanika hewani yawezekana ashakufa anawindwa na wazayuni haswaaMzee wa watu anaishi kwa wasiwasi na machale utadhani kibaka wa Kariakoo. Watamuua kwa pressure wazayuni
Yaani siku hizi ni kawaida ukitazama habari TV kuona shungi mitaani ulaya na marekaniHuko ulaya washajifia wavaa kobasi washaiteka ulaya
Shungi hoyeeYaani siku hizi ni kawaida ukitazama habari TV kuona shungi mitaani ulaya na marekani
Kaongezewa ulinzi baada ya houthi kusema na wao wataua waziri mkuu wa israelUzuri netanyahu hasikilizi hizi porojo za wavaa vipedo
Tatizo mnasubiri ITV habari za kimataifaMoja ya chai bora kabisa za mwaka huu.ππππ
Israel huwa anamtishia misri atapiga bwawa la aswan kwa nuclear liwe contaminated misri ikose maji ya kutumia majumbaniHao Egypt πͺπ¬ na turkey wana nuclear weapons?
Tusije kushangaa Cairo alexandria Ankara Istanbul vinageuka hiroshima na nagasaki
NdiyoMnyaturu huyu huyu Mjela jela wa Mahakamani...
Italian dockworkers threaten to block all shipments to Israel if flotilla with aid for Gaza is stoppedHizi habari utazipata kutoka madrasa gogoni
Acha ujinga kwa akili yako hiyo kiduchu unaamini kauri za Trump?? Iran ilipoteza Makamanda waandamizi wabobezi 30+ na wanasayansi 60+ harafu wewe unakuja hapa kubwabwaja!!Pointless kama Trump alisema Iran ameipiga hasa israel kwa makombora tena alisisitiza very hard leo vilaza kama nyinyi mnabisha