ERDOGAN: Hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na Israel kwa manufaa ya utu

kwa mujibu wa taarifa za wakoloni wenyewe Uturuki ni nchi yenye jeshi strong sana Middle East atashindwa vipi kumpiga Israel ambaye ametoka kuchapwa na Iran yenye vikwazo vya kiuchumi kwa zaidi ya miaka 10 ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo uturuki ni kibaraka wa NATO hana hiyo roho ngumu aliyeweza hilo ni Iran pekee
 
Congress ya Chamwino Dodoma labda
 
kwa mujibu wa taarifa za wakoloni wenyewe Uturuki ni nchi yenye jeshi strong sana Middle East atashindwa vipi kumpiga Israel ambaye ametoka kuchapwa na Iran yenye vikwazo vya kiuchumi kwa zaidi ya miaka 10 ?

Sent using Jamii Forums mobile app
U Imara wa Jeshi unaujua kwenye uwanja wa vita na wala si vinginevyo!!!!

Nawashangaa sana hasa Wafuga Midevu na Majini kwa kusema kuwa Israel ili pigwa na Iran katika vita vya siku 12 kitu ambacho si kweli ni uongo wa kutaka kujifariji na kujipa moyo kutokana na kipondo walichopewa Iran na Majeshi ya Israel.

Katika vita vya siku 12 Iran iliweza kupoteza Makamanda wake wabobezi 30+ na wanasayansi wa Nuclear 60+ na iliweza kupoteza watu wake zaidi ya 1,000 katika vita hivyo.

Katika vita hiyo Jeshi la anga la Iran halikuweza kuonekana likirusha ndege-vita zake kupambana na Wazee wa anga Israel Air Force (IAF) Jeshi hilo liliufyata mkia mbele ya wababe hao!! Pili Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran haikuweza kufurukuta mbele ya Ndege-vita za Israel hivyo walishindwa hata kudondosha hata ndege-vita moja ya Israel Tatu wanamaji wa Jeshi la Iran huko Bandar Abbas na kwingine walipewa Jambajamba nao hawa kuweza hata kujionyesha tu kuwa wapo. Kwa hali hiyo nashindwa kujua Israel ilipigwaje na Iran

Kwa upande wa Israel ni majengo ya kiraia ndiyo yaliyokuwa yanashambuliwa sana au Kwa wafuga Midevu na Majini ukishambulia maeneo ya raia ndiyo ushindi wenyewe?
 

Attachments

  • IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 23
  • IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 23
  • IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 25
  • IMG_3419.jpeg
    47.3 KB · Views: 21
  • IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 24
  • IMG_3414.jpeg
    197.7 KB · Views: 25
  • IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 27
  • IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 24
  • IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 21
  • IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 24
  • IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 21
Aliyeiomba marekani na Qatar iwaambie Iran vita iishe ndiye aliyedundwa,na Trump alimtaja aliyedundwa,vifo vitani kawaida
 
Mpaka sasa mtemi wa Middle east ni Iran. Wengine hamna kitu
Nungana nawe kweli Iran ni mtemi maana alipokutana na Israel aliweza kupoteza Makamanda wabobezi 30+ na wanasayansi wa Nuclear 60+ kwa siku moja haikuishia hapo katika vita vya siku 12 Iran haikuweza kudondosha hata ndege-vituo moja. Hapo ndipo alionyesha utemi wake!!!!
 
Unaamini kauri za Trump? Kuna uwezekano mkubwa wewe humjui!!!
 
Huko ulaya washajifia wavaa kobasi washaiteka ulaya
Wavaakobazi hawajaiteka ulaya,wazungu kuna jambo wanataka dunia ione ili wakija kulifanya liwe na uhalali wala sio wajinga.

Kobazi wanatafutiwa engo waache wajiingize kichwa kichwa.
 
Wavaakobazi hawajaiteka ulaya,wazungu kuna jambo wanataka dunia ione ili wakija kulifanya liwe na uhalali wala sio wajinga.

Kobazi wanatafutiwa engo waache wajiingize kichwa kichwa.
Endelea kujifariji, kobazi washashika uwaziri mkuu England na Scotland,u-mayor ndo usiseme
 
Erdogan anauma na kupuliza tu, ni msemaji zaidi kuliko mtendaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…