Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Baada ya shinikizo la kukosa misaada naona mmemuachia.Mngemshikilia tu muendelee kuisomaWaliomtuma akachezee Mdomo wa Mamba wamemuacha Solemba, hata zile hashtag za Free Kabendera wamefuta kwny page zao za Mitandao ya Kijamii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajalipa hata shilingi na hawaja mkuta na hatia wamekabwa koo na mabeberu wameona bora wamuachie kwani hawana ushahidi na kisha wameambiwa wakiendelea kumshikilia misaada hawatapewa tena kutoka kwa mabeberuAfadhali yupo huru! Japo amelipa gharama kubwa Sana.
Toka utawala wa JK upite umekuwa hueleweki.Waliomtuma akachezee Mdomo wa Mamba wamemuacha Solemba, hata zile hashtag za Free Kabendera wamefuta kwny page zao za Mitandao ya Kijamii
Sent using Jamii Forums mobile app
Simaanishi hizo pesa.Kwani unafikiri hizo gharama anazilipa leoleo
Kusema kuna dictator mpya kaibuka africa mashariki ni siri ya nchi?
Kuandika kuna watu wanatekwa na kuuliwa na wasiojulikana hii nayo ni siri ya nchi.
Hivi ka shithole kama Tanzania kinaweza kuwa na siri gani ambazo nchi za mabeberu hawawezi kuzijua.
Siri za nchi kama uchumi kudorora na sera mbovu za kiuchumi za JPM?
Unatulazimisha tuhame kwani hii nchi ni ya mama yakoHamieni kwa Mabeberu sasa
Tumewachoka nyie wasaliti wa Nchi