Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

Erick Kabendera: Mwendazake aliendesha genge la wahuni na alikusudia kumkamata Rais Mstaafu Kikwete

Mfanyabiashara maarufu. Labda ana maana Harbinder Sethy Singh. Yule nilidhani bado yuko ndani. Lakini apparently ametoka maanake nilimsikia last week anasema nini sijui, anataka arudishiwe kampuni yake ya IPTL.
Ameteswa gerezani? Well,hili tatizo kubwa sana. Haiwezekani kwangu kutoa comment ( off the bat), yaani,haiwezelani kutoa maoni instantly, immediately.
wai kapimwe akili
 
Kabendera akumbuke hayuko juu ya sheria. Kumsema vibaya kwa tuhuma kama hizi ni kosa kisheria. Hapo haichukuliwi kwsmba anamsema JPM, bali anaisema taasisi ya urais na serikali kwa ujumla ambayo mpaka sasa inaongoza nchi.
Ficha upumbavu wako wewe. Yule fedhuli tutamsema tu. Unadhani Kabendera kakurupuka kupost? Kama ulimsikiliza JK kwenye birthday yake utaelewa hata yeye alikuwa anakerwa na udhalimu wa mwendakuzimu hasa kwenye kutaka kubadilisha katiba kihuni.
 
Thubutu, hakuna tena sukuma gang kupewa nafasi kubwa serikali, Watanzania wamejifunza kwa Mwendazake
Una mawazo finyu sana.Hakika JF ni sehemu ya research.Mbona JPM ndio ametusaidia sana.Maisha ni randomly sio Kama unavyofikiria.
 
ungesema angali akiwa hai,
Hizi ndiyo propaganda zenyewe sasa, kama anazosema alifanyiwa na 'Jeshi la mtu mmoja'

Sisiti kusema na yeye kapewa mshiko ili kuendeleza yaleyale ya ilimradi kumpaka tope kwani huyo dogo kabendera alikuwa kusema haya hapo kabla ya kifo au few days after death?.

Hii njia na zile nyingine nadhani hazitaweza kuwafikisha wanapopataka.
 
Back
Top Bottom