Eswatini: Mfalwe Mswati atoa amri kwa wanaume kuoa wanawake watano au kwenda jela maisha

Akili yako ni fupi kama mkia wa pimbi, au wenda ata hiyo akili hauna na kama unayo itakuwa haina akili.. [emoji23][emoji23]

Kwahiyo mke wangu kufanya kazi ukajua yeye ndiyo provider wa familia..? Anyway mimi si muajiriwa ila I'm my own boss pesa haitafutwi inapatikana kwa strategies. Vile tu my wife kaajilwa sehemu nyeti na mimi sitiishwi na mtu na zaidi I love my kids sana. Life kama langu ukilipata utalinga.
 
Atawale milele
 
Dah jamaa bonge la genius....haya ndio maendeleo tunayoyataka
 
Na
Naulizia kama kuna ubalozi wa mswati hapa bongo? Naomba location , lengo kubwa ni kwamba nahitaji viza
 

Ndyo asili ya mwafrika wake wengi
 
Je, mgeni ukienda huko utabanwa na sheria hiyo?
Na utaratibu wa kuhamia huko ukoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…