Underthesea
JF-Expert Member
- Jul 8, 2021
- 327
- 882
So mke wako anatimiza unabii 😂Hiyo ni kweli..! Ila ukubali kale kakifungu ka biblia wake 7 kumung'ang'ania mume mmoja huku wakisema watajihudumia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So mke wako anatimiza unabii 😂Hiyo ni kweli..! Ila ukubali kale kakifungu ka biblia wake 7 kumung'ang'ania mume mmoja huku wakisema watajihudumia
Akili yako ni fupi kama mkia wa pimbi, au wenda ata hiyo akili hauna na kama unayo itakuwa haina akili.. [emoji23][emoji23]Oh so you're a house Husband!!
Whatever works for you guys man!
Ndomaana Kuna wanawake hawazai wanasema hawataki watoto, they are just not instinctively maternal....na Kuna wanaume kama wewe hapo wanataka wabaki home wanyonyeshe.
Haya maisha bwana.... inasemekana eti kuna over 30 genders eti and not just two. Probably the source of all this confusion.
anyways is this how you ride your wife after she comes back from work?
View attachment 2116975
View attachment 2116976
Mods spare me [emoji23]
Inasemekana kule idadi ya wanawake ni kubwa saaaana kuliko wanaume
Atawale milele
Katika hali isiyotarajiwa King Mswati wa Swaziland ametoa amri kwa Kila mwanaume nchini kwake kuoa wanawake watano. Kinyume na hapo atakaepinga atawajibika kutumikia kifungo cha maisha jela.
Hayo yamesemwa tarehe 10 February 2022 na Mfalme huyo mwenye wake wengi na watoto wasiokua na idadi. Aidha ameongeza kua serikali ipo tayari ku-cover gharama za ndoa zote pamoja na kumjengea nyumba Kila mwanamke atakayeolewa.
Vipi wadau mnaonaje hii sheria ikaanzishwa hapa kwetu [emoji12]?
Uzi tayari...
Dah jamaa bonge la genius....haya ndio maendeleo tunayoyatakaMfalme Mswati III wa nchi ya Swaziland ametangaza kwa wanaume nchini humo kuoa wake kuanzia watano au kwenda jela maisha lengo likiwa ni kila mwanamke apate mume.
Taarifa ilitoka kwa mfalme huyo imesema kua wanaume wote wanatakiwa kuoa wake watano na serikali nchini humo itagharamia harusi yote na kuwanunulia nyumba.
Source: Marry 5 wives or be jailed - Swaziland King orders country men - Adomonline.comView attachment 2118667
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Naulizia kama kuna ubalozi wa mswati hapa bongo? Naomba location , lengo kubwa ni kwamba nahitaji vizaMfalme Mswati III wa nchi ya Swaziland ametangaza kwa wanaume nchini humo kuoa wake kuanzia watano au kwenda jela maisha lengo likiwa ni kila mwanamke apate mume.
Taarifa ilitoka kwa mfalme huyo imesema kua wanaume wote wanatakiwa kuoa wake watano na serikali nchini humo itagharamia harusi yote na kuwanunulia nyumba.
Source: Marry 5 wives or be jailed - Swaziland King orders
Serikali itagaramia kila kitu kama kipindi cha Moumar Gadaf nchini Libya.Atawasaidia kuwalisha au?..
Mfalme Mswati III wa nchi ya Swaziland ametangaza kwa wanaume nchini humo kuoa wake kuanzia watano au kwenda jela maisha lengo likiwa ni kila mwanamke apate mume.
Taarifa ilitoka kwa mfalme huyo imesema kua wanaume wote wanatakiwa kuoa wake watano na serikali nchini humo itagharamia harusi yote na kuwanunulia nyumba.
Source: Marry 5 wives or be jailed - Swaziland King orders country men - Adomonline.comView attachment 2118667
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Je, mgeni ukienda huko utabanwa na sheria hiyo?Mfalme Mswati III wa nchi ya Swaziland ametangaza kwa wanaume nchini humo kuoa wake kuanzia watano au kwenda jela maisha lengo likiwa ni kila mwanamke apate mume.
Taarifa ilitoka kwa mfalme huyo imesema kua wanaume wote wanatakiwa kuoa wake watano na serikali nchini humo itagharamia harusi yote na kuwanunulia nyumba.
Source: Marry 5 wives or be jailed - Swaziland King orders country men - Adomonline.comView attachment 2118667
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Mzeya kule mbabane na manzini tunatia mguu bila visaNa
Naulizia kama kuna ubalozi wa mswati hapa bongo? Naomba location , lengo kubwa ni kwamba nahitaji viza