Eti hii ishu Mwanaume kuweka picha yake kwenye screen saver Imeakaaje

Hili swala la mwanaume kula na mkono inakuaje?

Unakulaje na mikono hivi mwanaume kwanza unaanza kwa kunawa mikono, inafuata unasugua mikono

Wengine wanakunguta mikono

Ni hayo tu
Ngoja "Proud to be..."
Waje hapa 🤣🤣
Niliisikia sehemu kula na kijiko ni Haram
 
siku ile ya kikao mbona hukuyasema haya
 
Mmh hiv anaepitisha mswaada na kutunga sheria zetu wanaume ni nan?
Mbona sheria znataka kuwa nyingi?
 
Hili swala la mwanaume kula na mkono inakuaje?

Unakulaje na mikono hivi mwanaume kwanza unaanza kwa kunawa mikono, inafuata unasugua mikono

Wengine wanakunguta mikono

Ni hayo tu
Yani huu uanaume umekuwa mgumu sana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…