Eti (king'asti)umeolewa au upo single?mwenzio sijiwezi huku!!!

hiyo ni rushwa ya malavi davi....au nikuanzishie thread!!!! hehehehe....


Umekulia pande gani wewe au ndo mara yako ya kwanza kuishi na babu?

Mjukuu aweza kuitwa jina lolote....mke, mdogo mtu, mchumba, bibi, mama....!!

Babu DC!!
 
Umekulia pande gani wewe au ndo mara yako ya kwanza kuishi na babu?

Mjukuu aweza kuitwa jina lolote....mke, mdogo mtu, mchumba, bibi, mama....!!

Babu DC!!

hehehehehe!!!!! basi mie nachagua kuitwa mchumba. lol.
 
Jumapili yangu ilikuwa bomba sana, sijui yako
Niliitumia ipasavyo mana nililala mpaka saa 10 jioni nikaamka mpaka saa kumi na mbili nikalala tena hadi nilipoamka saa nne!
 
Niliitumia ipasavyo mana nililala mpaka saa 10 jioni nikaamka mpaka saa kumi na mbili nikalala tena hadi nilipoamka saa nne!
Hongera.....
btw, @amu ulimpata? maana tangu uweke ule uzi hatujapata feedback, au mimi ndo nimechelewa kupata taarifa?
 
Hongera.....
btw, @amu ulimpata? maana tangu uweke ule uzi hatujapata feedback, au mimi ndo nimechelewa kupata taarifa?
Naona sijui kakimbia mji maana hata ukimquote holla!!wala ujachelewa nikuwa naona bado atakuwa anajifikiria!
 
unamtaka KING'asti muke ya Paw? Huogopi IP ban weweee?????
 
Last edited by a moderator:
Poa mkubwa mwenzangu,

Mie niliona kama unaongeza pressure ya kumjenga hofu ili a drop out..

Mpeni moyo basi mwenzenu ili walau ajibiwe..

Babu DC!!
ha haaa, mkubwa mwenzangu kuna kutiana moyo kwa hili?
kila mtu na anavyojisikia......
 
@mandieta una akili sana wewe kama yule kiungo mkabaji namesake wako,time for King'asti to move on jamaa anamzeesha kumwoa hamuoi,kumzalisha hamzalishi ili mradi tu na King'asti uzee ndo huooo unapiga hodi.
kopi: Mamndenyi unauonaje huu ushauri maridhawa?
 
Last edited by a moderator:
Ahsante mkuu!
Ila mtu mwenyewe asemi kitu wala hajatoa kauli yoyote mpaka sasa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…