Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

Hoja ya 600K ni ya kipumbavu.
Nadhani nimeeleweka.
JIBU LA KIPUMBAVU KABISA....NADHANI UMENIELEWA...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
You are objective in very minor SCOPE, still you need to remove Illusions on the way
 

tatizo lenu kubwa ni kuonaga kama mbowe kawa malaika flan ivi
 
Only in Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ that $250 can sponsor terrorism.
 
Mbowe's Dog... naona mmeanza kubweka. Wapi imeelezwa kwamba Bajeti ya mbowe kufadhili ugaidi ni laki 6 kwa mwaka? Mbona Sabaya alivyoambiwa ameiba simu ya techno mliona inawezekana?

Halafu huyo mchungaji anaedai Mbowe hawezi kumuua Sabaya ila Sabaya anaweza kumuua Mbowe, yeye ni nani? Ni malaika? Kwamba neno lake akilisema basi wote tunatakiwa kuliamini. Tunajuaje uhusiano wake binafsi na Mbowe? Hawa wachungaji wengi ni wachumia tumbo, wazinzi wanajificha kwenye mwamvuli wa uchungaji.

Hebu tutoleeni upuuzi wenu. Subirini Mahakama ifanye kazi yake.
 
Umeongea maneno mengii halafu yote ni upuuzi mtupu. Yaani wewe unaweza kuwa na weledi zaidi kuliko vyombo vya usalama? Unawezaje kumkamata mtu kabla hujakamilisha ushahidi wa kumfikisha mahakamani? Tena kwa mtu kama Mbowe ambae ana mbwa wengi wa kubweka kama nyinyi.
 
JIBU LA KIPUMBAVU KABISA....NADHANI UMENIELEWA...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ€£πŸ€£πŸ€£
🀣🀣🀣🀣 Kwa kifupi ni upumbavu tu... Tutakua tumeelewana
 
Naunga mkono hoja
 
Hivi unawezaje kudhibitisha bila kuacha chembe ya shaka dhamira ya mtu kutenda jambo ambalo halikutendeka? Ili tuhuma ya ugaidi idhibitike bayana ni lazima hujuma halisi iwe imetokea au kuwe na ushahidi wa moja kwa moja kwamba hujuma husika ilikuwa inakwenda kufanyika bila chembe yoyote ya shaka! Yaani tulipaswa kuwe na matukio ya ulipuaji wa vituo hivyo vya mafuta na hao viongozi kunusurika katika jaribio halisi la kuwaua! Yaani, angalao wawe implicated kwenye matukio halisi ya kiuhalifu wa kigaidi yaliyokwishatendeka hata kama labda hawahusiki moja kwa moja.

Mfano mzuri ni kilichotokea Zanzibar kipindi kile hadi mashekhe kadhaa wakakamatwa na kuwrkwa ndani. Kuna watu waliuawa, na wengine kumwagiwa tindikali! Maana yake kulikuwa na vitendo halisi vinavyoashiria ugaidi. Mfano mwingine ni kule Kibiti. Yalifanyika mauaji halisi si ya kuhisi na wapo waliokamatwa kwa kuhusishwa na tuhuma hizo.

Kinyume cha hapo inabaki ni hisia tu! Hivyo ni ngumu sana kuthibitisha mahakamani bila kiacha chembe ya shaka kwamba mtuhuhumiwa alikusudia kufanya ugaidi.

Shtaka la ugaidi ni kubwa sana. Lina adhabu kubwa sana. Mahakama yenye weledi haiwezi kuruhusu kukosea katika hili. Ni bora ikosee kwa kumuachia mtuhumiwa huru kuliko ikosee kwa kumfunga.

Hivyo, basi ile tu kwamba hakuna tukio halisi la kigaidi lilifanyanyika bali inadhaniwa tu kwamba watu hawa walikuwa wanapanga kutekeleza tukio la kigaidi ni inatosha kabisa kuacha mashaka ya msingi. Ni ngumu kudhibitisha bila shaka kwamba hilo ndilo lilikuwa linakwenda kutokea hata kama ni kweli walikuwa na mpango huo! Ndio maana kesi za namna hii mtu anawekwa ndani na upelelezi haukamilki hata miaka 5 au 10 kwa ugumu wa kupata ushahidi wa moja kwa moja.

Ni mahakama isiyo na weledi pekee inaweza kumtia mtu hatiani kwa kosa kubwa namna hii kwa ushahidi wa kuhisi, kudhania au wa kuungaunga! Kesi ya Mbowe ingekuwa na uzito kama wangemshtaki kwa makosa madogo. Hili la ugaidi ni kubwa mno. Linahitaji ushahidi mzito usioacha chembe ya shaka., ikiwemo ni pamoja na mtuhumiwa kuwa na rekodi ya vitendo vya kiuhalifu wa kigaidi, jambo ambalo mpaka sasa maelezo ya tuhuma walizosomewa hayaoneshi dalili hizi! Labda tusubiri tuone kama kuna cha zaidi!

Otherwise, tunachokitafuta kama nchi tutakipata soon.
 
 
Ulivyomshauri ni sawa ila damage cost lazima itakuwepo na itatugharimu sana kama nchi hasa katika sekta kama uwekezaji na utalii.
Suala la Katiba ya Wananchi ndipo linapokolea umuhimu.CCM hawana huruma na Wananchi wanalinda maslahi ya chama chao.
 
Ugaidi ni roho ya mtu, wengi wanajitoa mhanga bila kupewa hata senti1

Hiyo Laki6 ni hela ya maji huko njia wakipata kiu
 
Aisee. Kama ukimtumia mtu laki 6 ni kufadhili ugaidi basi sitashangaa nikiona headline inayosema. Tanzania may have among the leaders with lowest IQ ever.
 
Malisa angekuja hapa kuitetea hii mada yake ingependeza sana.

Btw, ugaidi haupimwi kwa wingi au uchache wa pesa inayotumika. Bali thamani ya pesa kukamilisha lengo/tukio ovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…