The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,541
Gaidi alitaka kuchoma vituo vya mafuta tokea mwaka jana, wakamuacha tu azurure mwaka mzima. Leo tunaambiwa amefikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya uhujumu uchumi...
Mahakama ipi?Mbowe's Dog... naona mmeanza kubweka. Wapi imeelezwa kwamba Bajeti ya mbowe kufadhili ugaidi ni laki 6 kwa mwaka? Mbona Sabaya alivyoambiwa ameiba simu ya techno mliona inawezekana?...
Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo...
Tuache kunanga kiasi hicho cha fedha kinachoelezwa kutumiwa na Mbowe kufadhili ugaidi. Eti ni kidogo kwa ugaidi. Jambo la ajabu sana. Kuna mahali nililazimika kumuuliza mshabiki mmoja wa Mbowe kuwa nyumba anayokaa inahitaji dumu la petroli na kiberiti cha shilingi ngapi ili kuungua na kumteketeza na familia yake?..
Ndiyo mnachokosea Chadema. Badala ya kujibu hoja za msingi, mnaishiaga tu kutukana. Mvua 30 zinamhusu gaidi Mbowe. Endeleeni tu kusema ni kesi fake.UPUUZI MTUPU hakuna kesi hapa zaidi ya kesi FAKE.
NIsaidieni. Alitoa laki sita kufadhiri ugaidi upi? Hao magaidi aliokuwa anayafadhiri ni akina nani? Kesi yao ya ugaidi iliendeshwa lini? Ni ugaidi upi hasa? hapo bado niko nje, naomba mnijumuishe ili niweze kuchangia.Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo...
Weye una akili Sana naunga mkono hoja yakoMkuu fanyeni upuuzi woooooooooooooote lakini hili la ukabila achaneni nalo kwani kila mtu atakuwa mhanga maana kila mtu ana kabila lake. Hii ni sawa na kuchoma nyumba ambayo uko ndani yake.
sidhani kama hii issue ni kuhusu kabila. sioni relation ya kabila hapa zaidi ya interest za kisiasa.Mbowe lazima afungwe, naona mwanaharakati wa kichagga anamtetea mchagga mwenzake aliyeanzisha chama chakuwatetea wachagga Tanzania, mashahidi na mawakili wengi kwenye kesi ya Sabaya ndio nyie nyie, inatia mashaka.
Muangalie huyo wakili anamsimamia Sabaya koa mpaka dactari aliyekuja kutoa ushahidi mahakamani. Duh! Laana ya ukabila mbaya sana
Acha bangi mkuuHiyo laki sita mbona nyingi Kuna wale wanaojilipua wa imani Kali hupewa tu nauli ya daladala kuwafikisha eneo la kujilipua na mabomu
Kufadhili ugaidi si mamilioni ya hela waweza tu lipia tu shilingi Mia tatu ya nauli ya daladala ukadakwa kwa kufadhili ugaidi
Upuuzi mtupu hamjui hata kutengeneza kesi za kubambikia watu1. London Jul 2005 magaidi wanne waliua raia 52 walitarget system za usafiri.
Walitumia gharama ya kama dola 10,000..
Huyu Malisa aunganishwe kwenye tuhuma za Mbowe haraka anaonekana anajua mengi
USSR
Maswali mazito ambayo MATAGA hawatayajibu!Gaidi alitaka kuchoma vituo vya mafuta tokea mwaka jana, wakamuacha tu azurure mwaka mzima. Leo tunaambiwa amefikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya uhujumu uchumi...