Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

Bado tu hujapeleka swala hili zito na kubwa namna hii TAKUKURU? Wahitaji kufuatiliwa.
 
Hoja ya 600K ni ya kipumbavu.
Nadhani nimeeleweka.
Mpumbavu isije ikawa ni wewe. Look, Jaji mahiri atajiuliza sana laki sita zitafanya ugaidi wa vipi, ataanzia hapo kuangaliwa ushahidi kwa umakini Sana.

Nakubali hata shilingi Moja inaweza kufanya ugaidi, but inamsitua mtu mwenye akili kujiuliza maswali mengi na hivyo scrutiny ya ushahidi itakuwa Kali. It is an eye catching figure with the intended act.
 
Huyu bibi anapelekwa tu na akina Sirro
 
Basi kama hata shilling moja inaweza kufanya ugaidi ni upumbavu kukataa nguvu ya laki 6.
 
Mungu aliyemwadhibu Nebkadreza bado yuu hai na hachoki kutetea kile kilicho haki. Siasa Ni nzuri lakini isiwe chanzo Cha kuumiza wale wasio madaraka. Nebkadreza alikula majani kondeni mpaka agano lilipotimia. Mh Samia kesi ya mbowe inaweka tongotongo kwenye serikali yako. Tafakari chukua hatua achana na Hawa watesi wa watu. Mungu ibariki Tanzania.
 
Magaidi wakifanya uhalifu na kudhuru watu au mali hutangaza wakiamini kuna watu wataguswa au kupata hasara.

Najiuliza Mbowe angefanya hivyo na kutangaza kama vike ni mhamiaji asiyeijua nchi hii?

Kwamba hiyo ndio njia angepata uungwaji mkono wa umma?

Kwamba hiyo ndiyo njia ambayo serikali ya sasa ingeshindwa kuidhibiti?

Ntashawishika kama kuna njia nyingine lakini eti alitaka watu walipue vituo vya mafuta katu.

Sijui kama mlengwa ni gaidi au hapana lakini nikisikiliza tuhuma na nijuavyo hii nchi ilivyo na nkilinganisha umri wa mlengwa sidhani kama angeweza kuchagua njia anazo tuhumiwa nazo.

Naendelea kufuatilia mwisho wa hili.
 
Umeandika gazeti refuuu lakini limejaa utopolo mtupu! Kwani kufadhiri ugaidi lazima utoe pesa kiasi gani? Unaweza kuwasaidia magaidi hata usafiri tu wakuwatoa point A kwenda point B na ukawa na hatia ya kufadhiri ugaidi. Tumia akili kidogo acha kuwa na akili za kinyumbu mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…