Eti mtu anajisifia ni PhD, halafu PhD ambazo hazina mchango wowote kwenye maendeleo ya nchi hii

Kulist community development umechemka...hao ndio injini ya maendeleo..inaonekana wewe huna elimu ndio maana unawivu na elimu za watu...ruka urukavyo,sema usemavyo ila elimu sio ya kuibeza hata kidogo
 
Professor Kitila Mkumbo na PhD yake ya Sociology,hivi Rais alishauliwa na nani kumteua mtu wa sociology kuwa Waziri wa mipango na Uwekezaji!🤣🤣🤣🤣
Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea hazisaidii kuleta maendeleo zaidi nchi inaenda kudidimia tu na watu kukalia uchawa tu kwa PhD ambazo
hazina mbele wala nyuma

Shame on them
 
Asome mwingie aje kukusaidia wewe? Umemlipia ada? Wewe nani kakutaza kusoma au kwanini ndugu zako hawajasoma waje kukusaidia? Kila mtu anasoma kwa faida yake mwenyewe kwanza hayo mambo ya kusaidia wengine ni hisani sio lazima. Haya malalamiko peleka kwa ndugu zako hasa wazazi wako.
 
Wewe unayo ipi? Na imeshaleta tija gani katika Jamii inayokuzunguka?
 
Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea hazisaidii kuleta maendeleo zaidi nchi inaenda kudidimia tu na watu kukalia uchawa tu kwa PhD ambazo
hazina mbele wala nyuma

Shame on them
WEWE unayo au unajisemesha semesha tu kama yule sungura aliyesema 'sizitaki mbichi hizi' baada ya kujaribu na kuzikosa?

Wacheni roho mbaya hiyo na wewe nenda ukajaribu kama ni rahisi.
 
Asome mwingie aje kukusaidia wewe? Umemlipia ada? Wewe nani kakutaza kusoma au kwanini ndugu zako hawajasoma waje kukusaidia? Kila mtu anasoma kwa faida yake mwenyewe kwanza hayo mambo ya kusaidia wengine ni hisani sio lazima. Haya malalamiko peleka kwa ndugu zako hasa wazazi wako.
Such a short minded Fela
 
Such a short minded Fela

Yes, indeed. Siwezi kusoma mimi nije kukusaidia wewe au wewe upambane uje kunisaidia mimi wakati sina msaada wowote kwako. Hii entitlement ndo imefanya mitanganyika muwe maskini wa kutupwa. Maendeleo yako ni juhudi zako. Mwingine jana kasema matajiri wa bongo hawana msaada wowote kwa jamii zao, yani mtu apambane afu wewe upigie hesabu mali zake, manumwa nyie.

Hizi hasira kwanza kabisa jipeni wenyewe kwa kushindwa kufikia malengo yenu, pili serikali yenu kwa kushindwa kutumia kodi zenu vizuri. Elimu ya mtu na utajiri wake ni vyake na famili yake. Akiwapa nyie watu baki ni hisani sio lazima. Siku ukijua hilo utatoboa.
 
Kwanza sihitaji msaada wako cha kwanza, najitosheleza personally! Cha pili Phd kwa nchi maskini kama Tanzania ni investment ya talent ya taifa na inadaiwa kusaidia kuendeleza jamii sio kusaidia watu binafsi, nchi maskini imesomesha hizi mbuzi kwa gharama kubwa sana na zinatakiwa morally kureturn investment iliyofanywa na walipa kodi maskini kule nanjilinji kwa korosho zao. Zingine zimepelekwa picadiri (in jiwez voice) na zikarudi kuomba ajira kwa MO badala ya kucreate ajira kwa watu waliokosa hizo privileges. Usilinganishe Phd ya mtu wa nchi iliyoendelea aliyoinvest yeye binafsi na hizi za shithole countries zinazotumia resources za nchi, unadaiwa morally kulipa fadhila za walipa kodi. Serikali maskini ikupeleke Swiss ukasome kwa $200,000 uje kufanya kazi ya kupiga meza Dodoma na kusifia wanasiasa kama zuzu return ya investment ipo wapi? Its common sense japo naheshimu sana mawazo yako
 
Lakini bado kuna wachumi kama kina Prof.Lipumba kuna wanasheria kama Prof.Kabudi na kina Prof.Kitila wote awa ni kizigo kwa taifa au sisi wananchi ndio mizigo tunaoshindwa kuwawajibisha.
Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea hazisaidii kuleta maendeleo zaidi nchi inaenda kudidimia tu na watu kukalia uchawa tu kwa PhD ambazo
hazina mbele wala nyuma

Shame on them
 
Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea hazisaidii kuleta maendeleo zaidi nchi inaenda kudidimia tu na watu kukalia uchawa tu kwa PhD ambazo
hazina mbele wala nyuma

Shame on them
Mkuu hakuna kitu ambacho hakina umuhimu hapa duniani tunaishi kwa kumtegemeana,

Mfano: wanasema raisi ni Taasisi we unafikiri nyuma ya raisi kuna kina nani?

Hawa wasomi (masters, PhD, professors) ndio watendaji wanaoendesha nchi katika wizara Taasisi shilika na bodi mbalimbali (ndio CPU za nchi na hao viongozi unaowaona asilimia kubwa ni sawa na monitor tu za nchi)

Nchi ina mambo mengi ya aina tofauti tofauti na mwisho wa siku inatakiwa yafanye kazi na kufikia lengo moja kama nchi.

Ili nchi ikamilike inategemea mifumo ifanye kazi kwa ufanisi, sasa hiyo mifumo tofauti tofauti Ninahitaji vichwa smart ambavyo ndio hizo PhD tofauti na hapo nchi inakua ni failed state...

muda mwingine hizi PhD zinakodiwa na mataifa makubwa na mashirika ya kikanda na kimataifa wanapenda ku set mfumo ambao matokeo yake ni indirect ila ni makubwa mno.
 
Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea hazisaidii kuleta maendeleo zaidi nchi inaenda kudidimia tu na watu kukalia uchawa tu kwa PhD ambazo
hazina mbele wala nyuma

Shame on them
Bwana wee wakati kuwa donor country unahitaji phd za mathematics physics chemistry biology ziwe bwelele na institutes of advanced studies zimetapakaa kila mkoa
 
To each his/her own...
 
Kwanza sihitaji msaada wako cha kwanza, najitosheleza personally! Cha pili Phd kwa nchi maskini kama Tanzania ni investment ya talent ya taifa na inadaiwa kusaidia kuendeleza jamii sio kusaidia watu binafsi, nchi maskini imesomesha hizi mbuzi kwa gharama kubwa sana na zinatakiwa morally kureturn investment iliyofanywa na walipa kodi maskini kule nanjilinji kwa korosho zao. Zingine zimepelekwa picadiri (in jiwez voice) na zikarudi kuomba ajira kwa MO badala ya kucreate ajira kwa watu waliokosa hizo privileges. Usilinganishe Phd ya mtu wa nchi iliyoendelea aliyoinvest yeye binafsi na hizi za shithole countries zinazotumia resources za nchi, unadaiwa morally kulipa fadhila za walipa kodi. Serikali maskini ikupeleke Swiss ukasome kwa $200,000 uje kufanya kazi ya kupiga meza Dodoma na kusifia wanasiasa kama zuzu return ya investment ipo wapi? Its common sense japo naheshimu sana mawazo yako

Wewe unaongelea state-sponsored PhDs wakati mleta uzi kasema PhDs zote.

State-sponsored PhDs ziliisha miaka ya Nyerere huko, sikumbuki mara ya mwisho kusikia mtu anasomeshwa na serikali ya JMT. Wengi wamesoma PhDs kwa sponsorship ya nchi za nje na mashirika binafsi. If anything, ilibidi wawe loyal kwa nchi au makampuni yaliyowapa hizo sponsorship.

Kufikia tu vigezo vya kupata hizo sponsorship mtu anaweka juhudi zake binafsi kubwa sana. Sasa atoboe huko afu wewe uanze kupigia mahesabu elimu yake?

Wapi bongo unaweza apply scholarship ya kusoma PhD kwa fedha za ndani?
 
Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea hazisaidii kuleta maendeleo zaidi nchi inaenda kudidimia tu na watu kukalia uchawa tu kwa PhD ambazo
hazina mbele wala nyuma

Shame on them
Kwa mtazamo huu hata cheti cha NECTA cha O-Level hakina maana. Tuishie tu na elimu ya Std VII ya kujuwa kusoma na kuandika
 
Back
Top Bottom