ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Ww unayo.Hizo PHD nizakipumbavu amini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww unayo.Hizo PHD nizakipumbavu amini
Mimi Sina PhD lakini mtu wa sayansi. Hoja ya huyu OP haijanishawishi naona ufanisi wa wabongo unalingana nyanja zote. Namaanisha wa sayansi na teknolojia, arts, social science wote ufanisi au mchango mdogo sana kwa maendeleo ya taifa letu.PDh za engineering
niwenayo nigundue nini ?Ww unayo.
Ili ugundue kwamba haifai.niwenayo nigundue nini ?
Sasa mkuu huo ni uchokozi Sasa 🤣🤣Kwa mfano PHD ya mama Ina muhimu gani?
Wazungu wameleta hizo shule kutupoteza. Hata hii mitaala Kuanzia chekrchea mpaka university ni useless. Jamaa zetu wengiHivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea hazisaidii kuleta maendeleo zaidi nchi inaenda kudidimia tu na watu kukalia uchawa tu kwa PhD ambazo
hazina mbele wala nyuma
Shame on them
Dogo hapa hatuna wasomiWatu ambao hamjasoma huwa mna chuki mno dhidi ya wasomi. Jilaumu kwa kutopenda shule
Huyo ndo kilaza fullKuna mmoja anajiita mtaalam wa uwekezaji anayo ya Saikolojia ya ualimu, anapeleka nchi karne ijayo!
Majengo gani yenye ubora na ubunifu wa kiwango Cha juu?PhD za uhandisi wa majengo angalau kazi inaonekana.
CC Kitila MkumboKuna mmoja anajiita mtaalam wa uwekezaji anayo ya Saikolojia ya ualimu, anapeleka nchi karne ijayo!
Chuki dhidi ya wenye PhD.Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea hazisaidii kuleta maendeleo zaidi nchi inaenda kudidimia tu na watu kukalia uchawa tu kwa PhD ambazo
hazina mbele wala nyuma
Shame on them
🤔😳😲Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea hazisaidii kuleta maendeleo zaidi nchi inaenda kudidimia tu na watu kukalia uchawa tu kwa PhD ambazo
hazina mbele wala nyuma
Shame on them
🤣 🤣 🤣99% ya Watu wenye PhD bongo vitu pekee wanaweza ni kubishana kuhusu Mpira na vichwa vya magazeti (udaku).
Kwenye Mapindizu ya uchumi huko usiwatag mtagombana.
Wengi wao ndo watumwa ndani ya system wakilipwa just 1.5 au 2M per month waona wamemaliza kila kitu kwenye maisha wanaanza kuwarushia mabom majobless wajiajiri serikali haina ajira 😂. Anyway natania 🥴
🙋♂️🎯💉🤝🙏Wewe unayo ipi? Na imeshaleta tija gani katika Jamii inayokuzunguka?
Aisee kuna shida mahali kwenye hii nchi. Kwamba mtu wa sociology, accountant na hr nk hawana umuhimu kabisa na PhD zao ni uchwara haaaaa. Hii ni dhihaka kubwa sana kwa wasomiPhD uchwara
Mkuu Maseke mtu ana PhD tena anakuwa mbuzi???Kwanza sihitaji msaada wako cha kwanza, najitosheleza personally! Cha pili Phd kwa nchi maskini kama Tanzania ni investment ya talent ya taifa na inadaiwa kusaidia kuendeleza jamii sio kusaidia watu binafsi, nchi maskini imesomesha hizi mbuzi kwa gharama kubwa sana na zinatakiwa morally kureturn investment iliyofanywa na walipa kodi maskini kule nanjilinji kwa korosho zao. Zingine zimepelekwa picadiri (in jiwez voice) na zikarudi kuomba ajira kwa MO badala ya kucreate ajira kwa watu waliokosa hizo privileges. Usilinganishe Phd ya mtu wa nchi iliyoendelea aliyoinvest yeye binafsi na hizi za shithole countries zinazotumia resources za nchi, unadaiwa morally kulipa fadhila za walipa kodi. Serikali maskini ikupeleke Swiss ukasome kwa $200,000 uje kufanya kazi ya kupiga meza Dodoma na kusifia wanasiasa kama zuzu return ya investment ipo wapi? Its common sense japo naheshimu sana mawazo yako
🙋♂️🎯👍👌👏🤝🙏🛡️Unabidi ujue haya mambo
Shule au chuo - ni sehemu ambayo Elimu inatolewa Ila Elimu IPO kila sehemu .
Kumlalamikia MTU mwenye PhD ni kupoteza muda na kutojua maana ya Elimu.
Hata wewe ukiamua kuwa na maarifa ya vitabu Kama MTU wa PhD is possible sasa kwanini ulalamike
PhD ni karatasi tu .
Kuna watu wamesoma QT, then PC na mwisho wamemalizia na open university hawalijui darasa na hawajawahi kukaa darasani .
So usilalamikie MTU yeyote
🤣 🤣 🤣Majengo gani yenye ubora na ubunifu wa kiwango Cha juu?
Hawa wa expansion joint pale hostel za JPM Mlimani UDSM?