Eti mtu anajisifia ni PhD, halafu PhD ambazo hazina mchango wowote kwenye maendeleo ya nchi hii

Eti mtu anajisifia ni PhD, halafu PhD ambazo hazina mchango wowote kwenye maendeleo ya nchi hii

Acha kuzarau masomo ya socialogy, watu tu hamjashutuka uko ndo kuna pesa vibaya ukiwa na phd ya udaktari utaenda kushinda hospital ila uko mambo ya social tips kama zote program, au campaign zote ela izo au mradi flani mambo ya gender equality ktk mradi au pesa sjui za jambo flani nje ya mshahara unaweza kusanya pesa ndefu sana
 
99% ya Watu wenye PhD bongo vitu pekee wanaweza ni kubishana kuhusu Mpira na vichwa vya magazeti (udaku).

Kwenye Mapindizu ya uchumi huko usiwatag mtagombana.

Wengi wao ndo watumwa ndani ya system wakilipwa just 1.5 au 2M per month waona wamemaliza kila kitu kwenye maisha wanaanza kuwarushia mabom majobless wajiajiri serikali haina ajira 😂. Anyway natania 🥴
Kweli kabisa, yaani mbongo akipokea hiyo salary ndio basi tena haumsikii popote zaidi ya kuwaona majobless wote ni wavivu na hawatumii akili zao vizur.
 
Kwa nchi yetu hakuna cha PHD zipi ni afadhari sijui nyigine nini,ni PHDs za profesional zote tu!
Nikubaliane na wewe kuwa ni wastage of money kusomesha useless PHDs!
Yaani afadhari hata hizi za akina Musukuma!
 
99% ya Watu wenye PhD bongo vitu pekee wanaweza ni kubishana kuhusu Mpira na vichwa vya magazeti (udaku).

Kwenye Mapindizu ya uchumi huko usiwatag mtagombana.

Wengi wao ndo watumwa ndani ya system wakilipwa just 1.5 au 2M per month waona wamemaliza kila kitu kwenye maisha wanaanza kuwarushia mabom majobless wajiajiri serikali haina ajira 😂. Anyway natania 🥴
Hapo kwenye kutania tumechukulia ukweli,
Kuna mzee ana mastery Education, mzee ni msumbufu kila muda anataka kubishana tu,
 
Ni aidha hujasoma au hujui maana ya PhD na hicho unachoita maendeleo
Hujui kuwa elimu au maarifa yanategemeana? Mfno mradi kama wa SGR wanahitajika watu wa karibu taaluma zote ulizotaja na ambazo wewe hazina faida. Hujui kazi za muhasibu? Hr, social workers
Jitahidi kusoma
Dah
 
Leta PhD yako mkuu. 🤣Mm nataka hiyo permanent head damage nikatambie ukweni. Wanipunguzie mahari
 
Asome mwingie aje kukusaidia wewe? Umemlipia ada? Wewe nani kakutaza kusoma au kwanini ndugu zako hawajasoma waje kukusaidia? Kila mtu anasoma kwa faida yake mwenyewe kwanza hayo mambo ya kusaidia wengine ni hisani sio lazima. Haya malalamiko peleka kwa ndugu zako hasa wazazi wako.
🤧🤧
 
Ni aidha hujasoma au hujui maana ya PhD na hicho unachoita maendeleo
Hujui kuwa elimu au maarifa yanategemeana? Mfno mradi kama wa SGR wanahitajika watu wa karibu taaluma zote ulizotaja na ambazo wewe hazina faida. Hujui kazi za muhasibu? Hr, social workers nk
Jitahidi kusoma
Nakazia,
Ajitahidi kusoma
 
Yes, indeed. Siwezi kusoma mimi nije kukusaidia wewe au wewe upambane uje kunisaidia mimi wakati sina msaada wowote kwako. Hii entitlement ndo imefanya mitanganyika muwe maskini wa kutupwa. Maendeleo yako ni juhudi zako. Mwingine jana kasema matajiri wa bongo hawana msaada wowote kwa jamii zao, yani mtu apambane afu wewe upigie hesabu mali zake, manumwa nyie.

Hizi hasira kwanza kabisa jipeni wenyewe kwa kushindwa kufikia malengo yenu, pili serikali yenu kwa kushindwa kutumia kodi zenu vizuri. Elimu ya mtu na utajiri wake ni vyake na famili yake. Akiwapa nyie watu baki ni hisani sio lazima. Siku ukijua hilo utatoboa.
Asante, ila umewafokea mno
 
Wenye elimu watapewa daraja la juu
Tafuteni elimu mpaka Uchina
Acha wivu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea hazisaidii kuleta maendeleo zaidi nchi inaenda kudidimia tu na watu kukalia uchawa tu kwa PhD ambazo
hazina mbele wala nyuma

Shame on them
Wapo vilaza wengi na PhD zao za kiswahili
 
Back
Top Bottom