Eti mtu anajisifia ni PhD, halafu PhD ambazo hazina mchango wowote kwenye maendeleo ya nchi hii

Acha kuzarau masomo ya socialogy, watu tu hamjashutuka uko ndo kuna pesa vibaya ukiwa na phd ya udaktari utaenda kushinda hospital ila uko mambo ya social tips kama zote program, au campaign zote ela izo au mradi flani mambo ya gender equality ktk mradi au pesa sjui za jambo flani nje ya mshahara unaweza kusanya pesa ndefu sana
 
Kweli kabisa, yaani mbongo akipokea hiyo salary ndio basi tena haumsikii popote zaidi ya kuwaona majobless wote ni wavivu na hawatumii akili zao vizur.
 
Kwa nchi yetu hakuna cha PHD zipi ni afadhari sijui nyigine nini,ni PHDs za profesional zote tu!
Nikubaliane na wewe kuwa ni wastage of money kusomesha useless PHDs!
Yaani afadhari hata hizi za akina Musukuma!
 
Hapo kwenye kutania tumechukulia ukweli,
Kuna mzee ana mastery Education, mzee ni msumbufu kila muda anataka kubishana tu,
 
Dah
 
Leta PhD yako mkuu. 🤣Mm nataka hiyo permanent head damage nikatambie ukweni. Wanipunguzie mahari
 
🤧🤧
 
Nakazia,
Ajitahidi kusoma
 
Asante, ila umewafokea mno
 
Wenye elimu watapewa daraja la juu
Tafuteni elimu mpaka Uchina
Acha wivu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wapo vilaza wengi na PhD zao za kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…