Eti mtu anajisifia ni PhD, halafu PhD ambazo hazina mchango wowote kwenye maendeleo ya nchi hii

PDh za engineering
Mimi Sina PhD lakini mtu wa sayansi. Hoja ya huyu OP haijanishawishi naona ufanisi wa wabongo unalingana nyanja zote. Namaanisha wa sayansi na teknolojia, arts, social science wote ufanisi au mchango mdogo sana kwa maendeleo ya taifa letu.
Labda sekta ya afya kwa mbaaliii naona output nzuri.
Engineers, wachumi, social sciences wote hutana mchango mkubwa.
We both a bunch of utter useless school goers. We attended college but we are not elites in our respective professions. Engineers with zero innovation. We can't even make sewing machines, bicycles, needles, sky scrapers, sunspension bridges, SGR railways, vaccines, highways, tractors, ploughing machines, pair of flipper, hydro electric dams, dry cells, solar panels, bulbs, e.t.c.
Kila kitu ni mchina, mzungu, Mwarabu au Mturuki.
Sisi wa sayansi na hasa hao wahandisi tumebaki na misifa ya kijinga tu eti tumesoma masomo magumu. So what?
 
Watu ambao hamjasoma huwa mna chuki mno dhidi ya wasomi. Jilaumu kwa kutopenda shule
 
Wazungu wameleta hizo shule kutupoteza. Hata hii mitaala Kuanzia chekrchea mpaka university ni useless. Jamaa zetu wengi

wanasoma masters ili wapande vyeo hopeless kabisa.
Wizarani ya elimu ilileta sylubus mpya ya advm kwa. Mbwbwe eti Kuna combination mpya ya Islamic knowledge na divinity
 
Chuki dhidi ya wenye PhD.
 
πŸ€”πŸ˜³πŸ˜²
 
🀣 🀣 🀣
 
PhD uchwara
Aisee kuna shida mahali kwenye hii nchi. Kwamba mtu wa sociology, accountant na hr nk hawana umuhimu kabisa na PhD zao ni uchwara haaaaa. Hii ni dhihaka kubwa sana kwa wasomi
 
Unabidi ujue haya mambo

Shule au chuo - ni sehemu ambayo Elimu inatolewa Ila Elimu IPO kila sehemu .

Kumlalamikia MTU mwenye PhD ni kupoteza muda na kutojua maana ya Elimu.

Hata wewe ukiamua kuwa na maarifa ya vitabu Kama MTU wa PhD is possible sasa kwanini ulalamike

PhD ni karatasi tu .

Kuna watu wamesoma QT, then PC na mwisho wamemalizia na open university hawalijui darasa na hawajawahi kukaa darasani .

So usilalamikie MTU yeyote
 
Mkuu Maseke mtu ana PhD tena anakuwa mbuzi???

Hata kama kuna mtu wa PhD amekukera sio wote! Kweli Mkuu??

Tafadhali waombe watu msamaha kwa maneno haya!!!
 
πŸ™‹β€β™‚οΈπŸŽ―πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘πŸ€πŸ™πŸ›‘οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…