Tetesi: Eti yule askari aliyemsukuma Lissu pale kizimbani alishayaaga mashindano

Aliuawawa kwa kupigwa visu wakigombea mwanamke mitaa ya Ukonga.Anaitwa Elias Charles, babake ni mwalimu mstaafu mwenyeji wa Kiomboi Iramba mkoani Singida.Tumemzika juzi makaburi ya Kiomboi mjini.
 
Kama Mr Mkumbo kathibitisha na wote ni wanyiramba wa kiomboi basi sina shaka juu ya hili.

Mtani wenu Lisu ana nguvu za ajabu sana
 
Aliuawawa kwa kupigwa visu wakigombea mwanamke mitaa ya Ukonga.Anaitwa Elias Charles, babake ni mwalimu mstaafu mwenyeji wa Kiomboi Iramba mkoani Singida.Tumemzika juzi makaburi ya Kiomboi mjini.
Jamii forum usipokuwa makini unalishwa sana matango pori
 
Tuoneshe picha akiwa anapandishwa cheo😃
 
Kwa 100% naamini yupo jehenam kwa lucifer, mshahara wa dhami ni mauti na bado wengine wa namna hii Amina.
 
Wewe ndiye bwg
sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…